Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 51,095
- 122,457
Umeona mwenyewe kushare ilivo ngumu eeh, no one wants!!
Labda wanawake wa kiislamu though not sure if they really want it, au it's just beyond their will
Hahaaa. Nimeona aisee.
Umeona mwenyewe kushare ilivo ngumu eeh, no one wants!!
Labda wanawake wa kiislamu though not sure if they really want it, au it's just beyond their will
Akikujibu nistue mamiiWill you stay single forever?
Usiniangushe bhana hebu nitumie huko pm bhana hilo jina lako la huko ili nikakumwagie malikeHii ni sawa na kuniuliza jina langu halisi. Naomba kujua la kwako kwanza
Haaaaaa cajojo ntake radhi kuniita dogo kaka akoBuhahahahh acha utundu dogo
No,I will not be single for ever but for now being single is cool mos.Will you stay single forever?
Unataka sh ngap binti wa jombe mji nitakutumia tu si unajua natokea mbao fcMalike nitakula mimi nikajua utasema nikupe namba unitumie hela ya sikukui
Oooh kumbe!!Hata mimi sijui mwenza nimekopi tu na kupesti
![]()
![]()
uoga wako ndio umaskini wako. Hakuna mkate mgumu mbele ya chai
Same reason here bruh,Coz we broke!
I don't even know my Star sign!
Kicheche anaangukia wapi?View attachment 662528
Nimeitoa hukoo
Haya bana bro guzmanHaaaaaa cajojo ntake radhi kuniita dogo kaka ako
Sawa sis capipiHaya bana bro guzman
Ukiwa kwny mahusiano na aneflirt wth everyone unafanyaje zaidi ya copy and paste?.Wanawake, hiyo YOU FLIRT WITH EVERYONE inawakost sana. Mwanaume hawezi oa mwanamke anachekacheka tu na kila mwanaume, never!!