barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,405
- 29,802
For a woman, as you take a break, time is not on your side! The train (age) is pulling away from you so fast!! No wonder you are so cunning!Inatokana na kubeba mzigo moyoni utokanao na mahusiano yaliyopita.
Ndo maana huwa nasema baada ya mahusiano, watu wapende kuchukua break ya kupumua na kujifundisha kitu kutokana na mahusiano, ku recover kabla ya kusonga mbele.
Bila hiyo tunaishia kuchukia jinsia tofauti na kuwajumlisha katika makosa ambayo hawakututendea.