Kicheche anaangukia wapi?
Naelewa. Huna jibu.Hiyo sio sababu ya kutokuolewa/kuoa
Hahha cajojo halina maana yoyote hata ukigoogle zaidi ya vifupi vya majina yangu.Sawa sis capipi
Ni wapi sema haraka usianze kujifanya Gemini au Virgo wakati Libra [emoji13] [emoji13]
Sasa jogoo ndo yupi hapo mimi viswahili vyake sivijui
Sio kwamba maandishi siyaoni lugha haipandi[emoji4] [emoji4]
[emoji23] [emoji23] kwa kunisumbua huku ngoja nikutafutie ya kwako hapo
I am working on it manPunguza aibu sasa mwanaume