network search
Member
- Dec 27, 2017
- 6
- 5
Haya mkuu..
khee kheeee kheeeee!Aarg bwana wee mtuwache. Tukiwa serious mnasema we are unapproachable
Hizo point kamuulize yeyote ambaye hajaoa/ hajaolewa, sababu kubwa ni hizo sababu, yawezekana mhusika akawa hajui sababu ila ndio sababu kuu hizi. Ukicheza nazo utaoa/ utaolewa.Watu sijui akili zao zimejaa matope, yaani utabiri(kitu kisicho na uhakika) wa nyota ndio utoe definition ya jinsi ulivyo?! Waafrika tuna sehemu ya akili zetu haiko sawa.
Mmh maneno tu hayo, kwenye uhalisia ndo shughuli ilipo![]()
![]()
uoga wako ndio umaskini wako. Hakuna mkate mgumu mbele ya chai
Don't take life too seriously mkuu. Hata kama sio kwa kuangalia nyota unaweza kuangalia sifa gani unayo hapo inayokucheleweshaWatu sijui akili zao zimejaa matope, yaani utabiri(kitu kisicho na uhakika) wa nyota ndio utoe definition ya jinsi ulivyo?! Waafrika tuna sehemu ya akili zetu haiko sawa.
Wenyewe watakwambia una wivu balaa plus gubuWanawake, hiyo YOU FLIRT WITH EVERYONE inawakost sana. Mwanaume hawezi oa mwanamke anachekacheka tu na kila mwanaume, never!!
Are you still single?Yes, many of you are unapproachable kwa kweli, mnatuchamba mno mnooo
Yes, many of you are unapproachable kwa kweli, mnatuchamba mno mnooo
Hakuna kitu kama hicho. Mimi niko single na hakuna sababu hapo.Hizo point kamuulize yeyote ambaye hajaoa/ hajaolewa, sababu kubwa ni hizo sababu, yawezekana mhusika akawa hajui sababu ila ndio sababu kuu hizi. Ukicheza nazo utaoa/ utaolewa.