This is Rostam I know... The Story Behind the Man

acheni mawazo yetu hewani kama hayana matusi au lugha mbaya ufutaji wa post zenye mwelekeo tofauti na wengi si uungwana na haisaidii kuondoa mawazo naimani ya mtu
 
Si umeandika?

Mkuu, uko huru kuandika lakini tunaangalia pia ulichoandika kinalenga nini. Ukichafua hewa, tunasafisha au sio?

Pole sana
 
Jasusi ushaanza kufikiria RA ni sleeper? Prince William naona umeamua kumkoma Nyani Giladi kikweli kweli.
 
Hivi tuna uhakika jina lake la kuzaliwa ni Rostam.. (the conspiracy continues)..
 
Je kujua asili yake kunatusaidia kujua ufisadi wake?

Mwanakijiji Mbona unaogopa kuitaja CCM, RA hana nguvu kama mnazotaka kuziamini anazo, CCM siku zote hawawezi kumkumbatia mtu anayeua Brand yao, Ukweli ni kwamba Kama watamkolimba RA basi itatikiwa wauwane wote, Everyone in CCM high leadership has the share in this , Ndio maana hawana Nguvu ya kufanya chochote.

Unamkumbuka Mlingwa , alifungwa less than a year kutupaka matope after that akaachiwa kudunda mitaani, Hizi kesi za EPPA kama watu mnamtarget mtu mmoja watafungwa miezi sita harafu watatoka, kuja kuliendeleaza libeneke, Please be staright let take on CCM, if you cant just declare you have personal issues with RA
 
Du! Kazi ipo nimesoma na nimeendelea kusoma shutuma anazobandikiwa Rostam, kila shutuma aidha iko nusu nusu, au nyingine jungu kamili.

Watu wamekuwa wanaongea kama wanajua wanachosema lakini inasikitisha sana page ya 17 hii kumbe hata hawajui huyu mheshiwa amesoma wapi... this is real a big shame to wale wanaomhukumu huyu mtu,,, yet hata hawamjui.

Well... kuhusu shule kuna facts kwamba huyu jamaa amesoma shule nzuri... na ma-graduates waliosoma year 1 to last year shule hizo nzuri... sijaconfirm vizuri it is either Havards or Oxford ni Rostam na Manji...

Inasikitisha mtu aliyekulia Tanzania hata kama ni kuanzia miaka 22, magazeti yetu yanayoitwa ya uchambuzi, still hayajui yanamshutumu mtu wa namna gani... surely this is bullshit country... pwapwapwa nyingi.... lakini tunarudia maneno yale yale... hakuna jipya...
Till todate... Bado Rostam sijaona mahali panapoonyesha clearly kama ni fisadi papa.
 
Alivyoandika dikteta
"Rostam alizaliwa hospital ya mission ilioko kijiji cha mwamalwa,mpaka masista watu waliomuhudumia mama yake bado wako hapo hai,katika tarafa ya Bukene wilaya ya Nzega akiwa mtoto wa kwanza wa marehemu Aziz.Aidha babu yake na bibi yake walizkwa wilaya ya Bukene walikokuwa wakiihi tokea ujana wao,Babu yake Rostam alikuwa mtanzania wa kwanza kununua gari aina ya fiat mwaka 1954....Alisoma shule ya msingi Mwamalwa ambapo mwaka 1969 aliomgoza mkoa wa tabora kwa kufaulu darasa la saba.alipata maksi 148 kati ya 150".

Hapa mimi nachanganyikiwa, huo mwaka 1969 si ndo aliozaliwa??? iweje tena mwaka huohuo amalize darasa la saba????????????

Hapa tunapigwa bo la kisingo ndiyo maana story imechanywa kuku confuse. Iweje jamaa wa miika 40 amalize darasa la saba 1969?? Iweje jamaa akulie wilaya ya Bukene??

Sasa kama huyu bwana ana data hizo za familia za zamani mpaka anajua matokeo yake 1969 iweje ashindwe kutupa hitoria ya RA kuwa amesomea wapi????? Nimeamini kuna watu wako kwenye pay................!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Du! Kazi ipo nimesoma na nimeendelea kusoma shutuma anazobandikiwa Rostam, kila shutuma aidha iko nusu nusu, au nyingine jungu kamili.

Watu wamekuwa wanaongea kama wanajua wanachosema lakini inasikitisha sana page ya 17 hii kumbe hata hawajui huyu mheshiwa amesoma wapi... this is real a big shame to wale wanaomhukumu huyu mtu,,, yet hata hawamjui.

Well... kuhusu shule kuna facts kwamba huyu jamaa amesoma shule nzuri... na ma-graduates waliosoma year 1 to last year shule hizo nzuri... sijaconfirm vizuri it is either Havards or Oxford ni Rostam na Manji...

Inasikitisha mtu aliyekulia Tanzania hata kama ni kuanzia miaka 22, magazeti yetu yanayoitwa ya uchambuzi, still hayajui yanamshutumu mtu wa namna gani... surely this is bullshit country... pwapwapwa nyingi.... lakini tunarudia maneno yale yale... hakuna jipya...
Till todate... Bado Rostam sijaona mahali panapoonyesha clearly kama ni fisadi papa.

Yep, Siyo Fisadi Papa na Anakaa kwenye BullSh*t Country!! There you have it mkuu Kasheshe!
 
Mkuu, status ya Fisadi papa Rosamu Azizi ina maswali mengi kuliko majibu. Amekaa kigaidi gaidi sana, kila anapo pita anahakikisha haachi nyayo zake! hata biashara zake zote.. something is wrong somewhere, nahofia asije akaripua ka nchi ketu bure yaani yuko kimafya mno!

But thanks God, siku hizi technologia walau ambayo inakamata picha na video ndo hivyo tu vinaweza saidia, vinginevyo hakawii kuruka kimanga kila alilo lifanya!

Speculation!!!! It may be true or may not, Mkumbuke Muumba wako... Na Amri kumi za Mungu.!
 
Kasheshe,
Can you elucidate for us what you know about muishimiwa Rostum? We do not know anything about him that is why we are speculating. Give us the facts, sir.
 
Rostam:

Katika hali ambayo imenishangaza (huenda na wengine mkashangaa) Rostam hakusaini kokote katika ule waraka alioutoa (aliousoma) Kempinski (Hii inaweza kuwa ni katika kukwepa traces za aina yoyote?). Hata nakala zilizosambazwa kwenda PCCB hakutia sahihi tamko lake lile!

Anyway, bado nawaza tu!
tehe tehe tehe alafu bado watu wenye akili zaidi wanamsapoti huyu mwizi....hata mie kilaza nimemshtukia kitambo fisadi mbunge rostam
 
Du! Kazi ipo nimesoma na nimeendelea kusoma shutuma anazobandikiwa Rostam, kila shutuma aidha iko nusu nusu, au nyingine jungu kamili.

don't try my friend..

Watu wamekuwa wanaongea kama wanajua wanachosema lakini inasikitisha sana page ya 17 hii kumbe hata hawajui huyu mheshiwa amesoma wapi... this is real a big shame to wale wanaomhukumu huyu mtu,,, yet hata hawamjui.

tumekaa kitako kusubiri wewe unayemjua..
Well... kuhusu shule kuna facts kwamba huyu jamaa amesoma shule nzuri... na ma-graduates waliosoma year 1 to last year shule hizo nzuri... sijaconfirm vizuri it is either Havards or Oxford ni Rostam na Manji...

what? huja "confirm" vizuri kwamba amesoma, au amesoma shule nzuri... kwamba ni Harvard, au Oxford.. kuna mdau mwingine alinidokeza kuwa some few years ago ilikuwa inasemwa Ra amesomea London School of Economics..
Inasikitisha mtu aliyekulia Tanzania hata kama ni kuanzia miaka 22, magazeti yetu yanayoitwa ya uchambuzi, still hayajui yanamshutumu mtu wa namna gani... surely this is bullshit country... pwapwapwa nyingi.... lakini tunarudia maneno yale yale... hakuna jipya...

siyo jukumu la magazeti tu kutafuta ukweli.. hata raia wa kawaida kama mimi na wewe (I'm assuming uko kwenye kundi la wa "kawaida").. na hiki ndicho kinafanyika hapa kuchambua chambua in bits and pieces..

Till todate... Bado Rostam sijaona mahali panapoonyesha clearly kama ni fisadi papa.

what about 'fisadi dagaa"..?
 
Sababu ya kimsingi ya RA kuwa game player wa Kikwete ni kwasababu anatokea kanda ya ziwa na si sababu nyingine.Ndio maana hata pesa za EPA alipewa yeye ,Mengi Anamchukia RA because he is more influencial near the power

Hii siyo kweli hata kidogo. RA hana influence yoyote kanda ya ziwa. Halafu kumbuka Tabora si kanda ya ziwa ni kanda ya magharibi ikiwemo Kigoma. Mimi nafikiri sababu ya RA kuwa game player wa Kikwete inaanzia kwa Lowasa. Lowasa na Kikwete ni marafiki wa siku nyingi na ikumbukwe kuna mwaka kati ya 2002 - 2004 walifanya ziara ya pamoja na walichangisha pesa nyingi sana kanda ya kaskazini (Arusha na Kilimanjaro). Kipindi hicho pia Lowasa alikuwa karibu sana na Rostam kutokana na ubia wao katika Vodacom na ikumbukwe kuwa Rostam ndo alikuwa mweka hazina wa CCM (nisahihishwe kama nimekosea hapa). Hizi ndo nafikiri ni sababu kuu mbili za RA kuwa engineer wa Kagoda
 
Rostam alisoma shule ya Msingi, Muhimbili Boys, iliyopo barabara ya Umoja wa Mataifa, lakini jambo la hatari ni kwamba alifika pale akitokea Bukene mwaka 1974 akaingia darasa la sita na kumaliza mwaka 1975. Sasa alizaliwaje mwaka 1969? Ina maana alianza shule akiwa na miaka mingapi? Baada ya hapo Rostam alirudi kwao Iran ambako hadi leo baba yake yuko huko anakoishi na haki zote za uraia anazo.

Kuhusu ufisadi nadhani anayebisha kuhusiana na hilo asubiri ataona, siku si nyingi.
 
...uchaguzi mdogo wa jimbo waja!
 
Kuhusu ufisadi nadhani anayebisha kuhusiana na hilo asubiri ataona, siku si nyingi.

Mkuu Halisi, Heshima mbele.

Yaani nashukuru Mungu sana kuniambia niliyokuwa naamini kumbe ndivyo hivyo...

Unachomaanisha hapa ni kwamba sisi ambao watuamini tuko sawa at least kwa ushahidi uliopo sasa ambao bado hauko wazi kwetu.

Lakini kwa kuwa wakuu muna details zingine ambazo hatunazo basi zimwageni hizo ili tuone ukweli...

Wengine hatuwezi shabikia tu, kitu ambacho hatujui ati kwa kuwa kuna wengine wanajua bali tu hawajasema...na tuwaamini tu na kubwatuka kwa wengine...ati kwa wasababu wengine wana details.

Kwa hilo... nakupa 5! na tunasubiri kwa hamu zote.
 
Rostam alisoma shule ya Msingi, Muhimbili Boys, iliyopo barabara ya Umoja wa Mataifa, lakini jambo la hatari ni kwamba alifika pale akitokea Bukene mwaka 1974 akaingia darasa la sita na kumaliza mwaka 1975. Sasa alizaliwaje mwaka 1969? Ina maana alianza shule akiwa na miaka mingapi? Baada ya hapo Rostam alirudi kwao Iran ambako hadi leo baba yake yuko huko anakoishi na haki zote za uraia anazo.

Kuhusu ufisadi nadhani anayebisha kuhusiana na hilo asubiri ataona, siku si nyingi.

Asante Halisi siku zote unatutoa kimasomaso keep on. Sasa wale wanosema aliongoza mtihani wa darasa la saba kimkoa huko Tabora ni waongo wakubwa. Mkuu Halisi lets find hii ya chuo kikuu maana wachongaji wake wameshasema alimaliza Oxford au Havard University but i can't buy hoja hiyo.
 
Back
Top Bottom