Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 8,939
- 6,848
mzee utaona nawajibu vile wale wanaoanza kunishambulia...lakini pia (niliwahi kusema huko nyuma) kwenye lugha inaruhusiwa sarcasm, rhetorics n.k So, si kila wakati ni vibaya kutumia lugha ya kejeli pale inapotumiwa vizuri huongeza utamu wa hoja. Lengo ni kuonesha uduni wa hoja siyo uduni wa mtu.
ndiyo maana utaona siulizi motives za mtu anaponijibu kama wametumwa au wanalipwa.. nachukulia hoja zao tu. Simtukani mtu anayeshindana nami hata wale ambao wanatumia vibaya vitu hivyo isipokuwa pale ninapoamua tu kuwa fyatu for a second! (which does happen sometimes if i don't take my medication)..
Hamna haja ya kuuzidisha huu mjadala. Kwa kifupi, sikubaliani na wewe. Humu ndani nimeitwa ngumbalu, kilaza,n.k. nimetumwa na wala sikuwaona mkisema, "hapana hiyo sio lugha inayotumiwa hapa!" Sasa mnataka kugeuza ishu kuwa Fundi Mchundo anawafukuza wachangiaji kwa kuwa sarcastic? Nimetumiwa wapi sarcasm kuonyesha uduni wa mtu? Mara zote ninajaribu kuwa mvumilivu lakini ikibidi nitatumia sarcasm when necessary. Na nitafanya hivyo kwa makusudi kabisa ili kutoa ujumbe. Nadhani tumeelewana.
Amandla.......