This is Rostam I know... The Story Behind the Man

This is Rostam I know... The Story Behind the Man

And it has never been ay better than it is today; 2024; under the regime of Samia Suluhu Hassan
And nothing will get better with this regime full of mediocre leaders from the top.

Since looters are now masquerading as "INVESTORS".

Interesting times ahead.
 
But Kaziliwa Tabora , Kakulia Tabora anongea kinyamwezi na Ni Mtanzania,
Kuna watu humu wamecheza nae utotoni, kuna watu humu wamesoma nae primary na sekondari, hivyo huyu ni Mtanzania mwenzetu, ila yuko vizuri, well connected, na amekisaidia sana chama, amemsaidia sana JK, wakati wa JPM, alihama nchi baadae akarudi bigger and stronger, sasa anamsaidia sana Mama.
P
 
Okay Asante kwa ushadi wako , tutautumia kwenye mahakama ya ICC, kwamba ayatollah ndio mfadhili mkuu wa vifo, vurugu kwenye chaguzi kuanzia 1995.
 
Back
Top Bottom