This is Rostam I know... The Story Behind the Man

This is Rostam I know... The Story Behind the Man

Walimuandama hivyohivyo hata Mzee Nyagazwa na Generali ulimwengu nakumbuka kuwa siyo maraia wa Tanzania....Ntagazwa alikuwa mbunge na waziri back kwenye utawala wa nyerere na amezaliwa bongo though wazazi wake ni watu wa rwanda/Burundi kama mtoto kazaliwa tanzania that means ni mtanzania.

I think watu tukishawatuhumu watu na tukakosa ushahidi huwa tuna tend kuwapakazia uraia wao.
 
Mkuu Halisi, Heshima mbele.

Yaani nashukuru Mungu sana kuniambia niliyokuwa naamini kumbe ndivyo hivyo...

Unachomaanisha hapa ni kwamba sisi ambao watuamini tuko sawa at least kwa ushahidi uliopo sasa ambao bado hauko wazi kwetu.

Lakini kwa kuwa wakuu muna details zingine ambazo hatunazo basi zimwageni hizo ili tuone ukweli...

Wengine hatuwezi shabikia tu, kitu ambacho hatujui ati kwa kuwa kuna wengine wanajua bali tu hawajasema...

Kwa hilo... nakupa 5! na tunasubiri kwa hamu zote.
R3-4.jpg
 
Kasheshe,
Can you elucidate for us what you know about muishimiwa Rostum? We do not know anything about him that is why we are speculating. Give us the facts, sir.

Then you should wait those who knows to comment... katika hili game la JF... sio lazima watu wote wawe wanacheza, wengine wanatakiwa pia kuwa watazamaji.

Hivyo kama huna hoja you should stop speculating... wewe soma tu watu wenye madata.
 
Kasheshe, again mkuu wangu watch out for these little signs!
R3-18.jpg

R3-9b.jpg

Or better still..
R3-5.jpg

Otherwise,

R2-6.jpg
 
Kasheshe, again mkuu wangu watch out for this little sign!
R3-18.jpg

Hahaha, I saw it!!! only that you can only see and understand what I write only if you don't have uchama as your spectacles.

Watu huru kama sisi tusiokuwa na kadi ya chama chochote au tusiofaidika na yeyote... tunathubutu kupinga yale ambayo wengi wanabwatuka kwa kuwa sauti ya wengi of course itasikika kwa urahisi zaidi kuliko ya wachache.
 
Prince William... tunaomba source... hapa sio vyema kusema mambo ambayo hatuwezi confirm. Na ukileta dataz zozote.. make sure unayo vielelezo.. JF sio sehemu ya soga....
Kwani weye unayeamini kuwa Rostam ni MTANZANIA unaweza kutupatia solid evidence?

Au tuiweke hivi:kitafiti,nikisema theory yako iko wrong napaswa kuonyesha,sio kwa kupinga kwa maneno matupu,bali kwa data zangu zilizofanikisha falsification ya theory nayoipinga.For that matter,kama huridhiki na maelezo ya Prince William,sio jukumu lake kukuthibitishia anachokiongea bali ni jukumu lako kuthibitisha kwa data kuwa anachosema sio sahihi.And,nina uhakika wa asilimia zaidi ya 100 huna solid evidence hata 1 kuhusu UTANZANIA wa Rostam zaidi "si ni Mbunge wa Igunga...si alizaliwa Igunga (as if ulikuwepo siku anazaliwa)..." na porojo nyingine kama hizo.

Am I the only person noticing a gradual elevation of a SUBSTANTIAL pro-Rostam followship hapa JF?
 
Last edited:
Speculation!!!! It may be true or may not, Mkumbuke Muumba wako... Na Amri kumi za Mungu.!

There you are, so it might be true!

Muumba wangu namkumbuka sana kila kukicha na kila nilalapo,
tena kwa taarifa yako namuabudu Mungu aliye hai, kwani kwa hakika kajibu maombi yangu, na sasa indiketa nyekundu hiyooooo kwa Fisadi papa Rostamu Azizi, Muirani anaye iharibu nchi yangu Tanzania ninayo ipenda na aliyo nijalia Mungu wangu huyo huyo ninaye muabudu na kumtukuza.
 
Rostam alisoma shule ya Msingi, Muhimbili Boys, iliyopo barabara ya Umoja wa Mataifa, lakini jambo la hatari ni kwamba alifika pale akitokea Bukene mwaka 1974 akaingia darasa la sita na kumaliza mwaka 1975.

Kuna taarifa gani za maandishi zinazonesha kuwa alisoma Muhimbili Boys (cheti cha kuhitimu).. kwa sababu kuna mmoja alituambia amesoma shule ya msingi Mnamwala (sijui).. Huko Muhimbili Boys alisoma na kina nani (maana wengine ni watu maarufu leo)

Sasa alizaliwaje mwaka 1969? Ina maana alianza shule akiwa na miaka mingapi? Baada ya hapo Rostam alirudi kwao Iran ambako hadi leo baba yake yuko huko anakoishi na haki zote za uraia anazo.

Na kama alitokea Bukene (wakati huo) wazazi wake walikuwa Bukene au walikuwa Irani..?

Kuhusu ufisadi nadhani anayebisha kuhusiana na hilo asubiri ataona, siku si nyingi.

something just doesn't add up..
 
RA alikuwa hana uwezo nor power to give orders kwa Mkapa, RA alikuwa ana represent CCM katika hii game paln, Kwhiyo Mkapa alikuwa anatekeleza orders za wana CCM wenzake wanaojua mazambi yake.

Swala la Billion 133 Kuchukuliwa badala ya 31, Ukweli wake uko wazi. Kuna madeni ya Moja kwa Mojaa amabayo CCM ilkuwa ime incur before hata hawajamchagua mgombea wa Uraisi,

Magari CCM yalikuwa yanawekewewa mafuta Bure na Vituo Mbali mabli vya mafuta, E.g Oil Com, and Njake kule maeneo Ya Arusha, Which in return ndio unaona hadi kama kina njake wakawa katika Plot ya kuchota PESA za EPA,
Hebu leo nenda kamwulize mzee njake, kama ana furaha na kuingizwa kwake kwenye huu mtego.

Mwisho, Kwa wewe na wengine mnaozidi kupush kwamba RA ndie EPA ninawauliza maswali ya Msingi? Bila CCM kuweka Baraka za huu wizi RA angewezaje kuchota hizo pesa? Bila CCM na serikali yake kuweka baraka how is the Money Launderling due deligency didnt catch RA?

If we are to agree with you,does that exonerate ROSTAM?
 
RA anauhusiano mzuri sana na waendesha Usafiri maeneo ya Kanda ya Ziwa, Pia huyu mheshimiwa kwa habari ambazo nilipewa anafanya Biashara za ALMASI, he buys from local miners and that is one of his profitable business before even he started construction. Why he was powerfull than kama kina Kahama? alikuwa mchangiaji mzuri sana, wa shughuli za CCM Kanda ya ziwa kabla hajawa mbunge, na CCM huwa inatabia ya kuwavuta watu wote wenye pesa kuingia kundini,Mfano mbunge asiyengea chochote bungeni dewji, Hivyo ame sponsor sana reelection ya wanasiasa wengi wa CCM kanda ya ziwa, Then alipoingia kwenye siasa based on his records ya kuwapa CCM Pesa akapandishwa fasta fasta.
Kwa theory hiyo,why ROSTAM and not BAKHRESA?au MOHAMMED DEWJI?au hata MENGI?(Mind you I'm not referring to Kanda ya Ziwa bali why ROSTAM became to pick katika hiyo ishu ya EPA na sio hao wengine -ambao wana-fit in your hypothesis)
 
Nilipokuwa shule ya msingi kuna kijana mmoja alihamia shuleni kwetu; aliitwa Hassan x,y. Jamaa alikuwa mkali sana darasani na akawa anatuacha kwa mbali ambao tulikuwa tunatawala utawala wa darasa.. mwisho tetesi zikawa zinakuja kuwa jamaa ni "repeat".. kwamba amerudia akitokea somewhere in Moshi.. tetesi zile zikaja kuwa za kweli baada ya siku moja kumuona kwenye mikutano ya walokole ambapo jamaa alikuwa anafundisha neno.. na alitambulishwa kwa jina la Kikristu..

Tulipofuatilia zaidi kumbe jamaa alikuwa amechukua jina la Hassan ili aweze kurudia kule Tanga na kama utani.. matokeo ya darasa la saba alipasua vibaya na kuchaguliwa kuendelea shule za sekondari ambapo mbeleni alibadili jina lake na kurudia lile la kuzaliwa.
 
...nilijua tu kuwa hofu yako imejengeka tangu ukiwa mdogo... pole sana kwa kuwa tormented kinamna hiyo! scars of childhood are now clearly explainable!

... repeater aliyekuja darasani kwetu na kujifanya joni kisomo miezi ya kwanza kwanza, sisi tulimpiku kwenye mitihani ya likizo wa mwezi wa sita tu!!
 
I'm sure huyo wa kwenu hakutoka Kilimanjaro!!!
 
Well... kuhusu shule kuna facts kwamba huyu jamaa amesoma shule nzuri... na ma-graduates waliosoma year 1 to last year shule hizo nzuri... sijaconfirm vizuri it is either Havards or Oxford ni Rostam na Manji...
Kasheshe,did you mean TETESI?Tangu lini kukawa na FACTS lakini they are unconfirmed?
Inasikitisha mtu aliyekulia Tanzania hata kama ni kuanzia miaka 22, magazeti yetu yanayoitwa ya uchambuzi, still hayajui yanamshutumu mtu wa namna gani... surely this is bullshit country... pwapwapwa nyingi.... lakini tunarudia maneno yale yale... hakuna jipya...
Ahh kaka vipi?Hakuna jipya wakati we mwenzetu umetuhabarisha kwamba una FACTS kuwa Rostam ni graduate wa Oxford au Harvard na hapa tunafahamishana kuwa hizo ni kamba za mchana mweupe?Hilo sio jipya kwako?If it isnt',then it is for some of us
..Till todate... Bado Rostam sijaona mahali panapoonyesha clearly kama ni fisadi papa
You soon will.Lakini tatizo ni kwamba hata patakapoonyeshwa clearly kwamba Rostam ni fisadi papa nyie mnaoamini kuwa YEYE NI MTU safi HAMTAKUBALI.Na kibaya zaidi,FACTS hizo zikija,utaziita PWAPWAPWA nNYINGINE.

Know what?Tutafika hata kama baadhi ya waaminifu kwenye cause yetu wanachomoka kama matairi njiani.Once we get there it wont matter how we got there.
 
Du! Kazi ipo nimesoma na nimeendelea kusoma shutuma anazobandikiwa Rostam, kila shutuma aidha iko nusu nusu, au nyingine jungu kamili.

Watu wamekuwa wanaongea kama wanajua wanachosema lakini inasikitisha sana page ya 17 hii kumbe hata hawajui huyu mheshiwa amesoma wapi... this is real a big shame to wale wanaomhukumu huyu mtu,,, yet hata hawamjui.

Well... kuhusu shule kuna facts kwamba huyu jamaa amesoma shule nzuri... na ma-graduates waliosoma year 1 to last year shule hizo nzuri... sijaconfirm vizuri it is either Havards or Oxford ni Rostam na Manji...

Inasikitisha mtu aliyekulia Tanzania hata kama ni kuanzia miaka 22, magazeti yetu yanayoitwa ya uchambuzi, still hayajui yanamshutumu mtu wa namna gani... surely this is bullshit country... pwapwapwa nyingi.... lakini tunarudia maneno yale yale... hakuna jipya...
Till todate... Bado Rostam sijaona mahali panapoonyesha clearly kama ni fisadi papa.

To be honest am irritated by this, how dare could you call our beloved mama land a bullshit country? Just because Fisadi papa Rostamu Azizi kaguswa?
 
You soon will.Lakini tatizo ni kwamba hata patakapoonyeshwa clearly kwamba Rostam ni fisadi papa nyie mnaoamini kuwa YEYE NI MTU safi HAMTAKUBALI.Na kibaya zaidi,FACTS hizo zikija,utaziita PWAPWAPWA nNYINGINE.

Know what?Tutafika hata kama baadhi ya waaminifu kwenye cause yetu wanachomoka kama matairi njiani.Once we get there it wont matter how we got there.

Let have those facts first acha kuwa mnajimu kama Sheikh Yahya, zikiwa wazi utakuwa huru kusema hayo... by the way na mimi nazisubiri sana...
bado nashukuru na wewe pia umeonyesha kwamba so far mpaka sasa na pwapwa nyingi hakuna facts za ku-prove kwamba ni fisadi papa,,, other than ku-amplify sauti za waumini wa kwamba yeye ni fisadi papa...
 
Du! Kazi ipo nimesoma na nimeendelea kusoma shutuma anazobandikiwa Rostam, kila shutuma aidha iko nusu nusu, au nyingine jungu kamili.

Watu wamekuwa wanaongea kama wanajua wanachosema lakini inasikitisha sana page ya 17 hii kumbe hata hawajui huyu mheshiwa amesoma wapi... this is real a big shame to wale wanaomhukumu huyu mtu,,, yet hata hawamjui.

Well... kuhusu shule kuna facts kwamba huyu jamaa amesoma shule nzuri... na ma-graduates waliosoma year 1 to last year shule hizo nzuri... sijaconfirm vizuri it is either Havards or Oxford ni Rostam na Manji...

Inasikitisha mtu aliyekulia Tanzania hata kama ni kuanzia miaka 22, magazeti yetu yanayoitwa ya uchambuzi, still hayajui yanamshutumu mtu wa namna gani... surely this is bullshit country... pwapwapwa nyingi.... lakini tunarudia maneno yale yale... hakuna jipya...
Till todate... Bado Rostam sijaona mahali panapoonyesha clearly kama ni fisadi papa.

- Mkuu heshima yako, naomba kukuuliza swali moja tu kwamba ni kwa nini Mh. Rostam, aliposhutumiwa ufisadi na DK. Slaa hakuenda Takukukuru, wala kuita waandishi wa habari kumjibu, lakini this time kushutmiwa na Mzee wetu Mengi, tayari amefanya mambo mengi ambayo kwa kawaida huwa sio yake! WHY all this mkuu?

- Halafu nina nyongeza kidogo, kwa nini unafikiri hakusaini kwa jina lake waraka wowote kuanzia ule alioutumia pale Kempiski, au alioupeleka kule Takukuru?

Ahsante.

William.
 
Last edited:
Hivi katika ofisi za Bunge hakuna ulazima wa kuwakilisha vyeti vya elimu? Kama ndio, basi hapo ndio kuanzisha kujua jamaa huyu alisoma wapi
 
- Mkuu heshima yako, naomba kukuuliza swali moja tu kwamba ni kwa nini Mh. Rostam, aliposhutumiwa ufisadi na DK. Slaa hakuenda Takukukuru, wala kuita waandishi wa habari kumjibu, lakini this time kushutmiwa na Mzee wetu Mengi, tayari amefanya mambo mengi ambayo kwa kawaida huwa sio yake! WHY all this mkuu?

- Halafu nina nyongeza kidogo, kwa nini unafikiri hakusaini kwa jina lake waraka wowote kuanzia ule alioutumia pale Kempiski, au alioupeleka kule Takukuru?

Ahsante.

William.

Na mimi nikuulize hizi ndio facts za yeye kuwa fisadi papa!!! aaa mheshimiwa na wewe pia?

I need facts, I do not need speculations! Je akisema ya Dr. Slaa alijua ni siasa na ya Mengi alijua ni jambo kubwa kwa kuwa Mengi sio Mwanasiasa...

Vipi kaka whats up? Tunajaza pages na pages kwa vitu ambavyo havina miguu wala kichwa...

Bring facts... if these are the facts you are talking about then... mmhhhh....
 
Back
Top Bottom