This is Rostam I know... The Story Behind the Man

This is Rostam I know... The Story Behind the Man

RA alikuwa hana uwezo nor power to give orders kwa Mkapa, RA alikuwa ana represent CCM katika hii game paln, Kwhiyo Mkapa alikuwa anatekeleza orders za wana CCM wenzake wanaojua mazambi yake.

- Mkuu Rostam alimuajiri Ruhinda kwa ajili ya ku-deal na rafiki yake wa karibu sana Mkapa, kwenye hii deal na pia alimuajiri Spika Msekwa ili aue hoja yoyote inayowahusu Mtandao na huu wizi, CCM as chama haikuhusika na EPA, lakini Rostam alitumia hela za EPA kwuanuanua viongozi wengi wa CCM, Mkapa alikua amekabwa koo na Rostam kutokana na uchafu wake na hasa wa mkewe ndio Rostam alioutumia kum-blackmail mpaka kumfanyia kila alichotaka, CCM as chama has nothing to do na EPA!

Swala la Billion 133 Kuchukuliwa badala ya 31, Ukweli wake uko wazi. Kuna madeni ya Moja kwa Mojaa amabayo CCM ilkuwa ime incur before hata hawajamchagua mgombea wa Uraisi, Magari CCM yalikuwa yanawekewewa mafuta Bure na Vituo Mbali mabli vya mafuta, E.g Oil Com, and Njake kule maeneo Ya Arusha, Which in return ndio unaona hadi kama kina njake wakawa katika Plot ya kuchota PESA za EPA, Hebu leo nenda kamwulize mzee njake, kama ana furaha na kuingizwa kwake kwenye huu mtego.

- Mkuu hizi habari umezitoa wapi mbona uko mbali sana na ukweli? Hela walizokubaliana Mtandao kuchukua BOT ni billioni 31, Balali na wengine wakaanza ujanja na kuishia kuchotwa Billioni 133, ndipo Mtandao wengine walipogundua hasa Diallo wakaja juu sana kwamba waliohusika lazima wabanwe ama sivyo muungwana hawezi kua rais 2010, hapa ndipo Balali akaanza kupatwa na matatizo, watu wa EPA wakashikwa na kuambiwa warudishe hela, ni katika kuwaridhisha hawa kina Diallo na hela hizo za EPA, hata kina Yona na Mramba wakaenda Kisutu, kwa sababu Yona alifungua kituo kikubwa sana cha mafuta kule Bagamoyo, na Mramba alihusika sana kula hela za EPA alizokuwa akipewa Mzee Kisumo kwa ajili a mikoa ya Arusha na Kilimanjaro, kama CCM wanegzitumia hizo Billioni 102 zilizozidi then kusingekwuepo kesi ya EPA na wezi kuambwia warudishe.

Mwisho, Kwa wewe na wengine mnaozidi kupush kwamba RA ndie EPA ninawauliza maswali ya Msingi? Bila CCM kuweka Baraka za huu wizi RA angewezaje kuchota hizo pesa? Bila CCM na serikali yake kuweka baraka how is the Money Launderling due deligency didnt catch RA?

- Hivi unasema Chenge kua na hela zote alizonazo Jersey na UK, ilikua ni baraka ya CCM na serikali yake? Mkuu naomba niseme hivi una nia njema sana ya kuelemisha na ninaikubali, ila umechanganya facts za ishu nyingi sana.

Respect.

FMES!
 
Kama CCM wangezitumia hizo Billioni 102 zilizozidi then kusingekwuepo kesi ya EPA na wezi kuambwia warudishe.

Respect.

FMES!


Mkuu,

Hapa umegonga penyewe hasa....Kwa wale wanaoijua CCM...hapo pana ukweli wa 100%.

Lengo la Mkapa lilikuwa jema [kwa CCM, sio wananchi] JK ashinde uchaguzi...ila wakina RA & Co walikuja baadaye kuigeuka CCM na kujichotea wenyewe mpaka zikafika $ 133 Mil.

RA na wenzake wangejifunza kwa wanaoijua CCM vema; tofauti na hela ya Serikali ilivyo, hela ya Chama haitafunwi kiujanja ujanja bila kuwekwa kiti moto kisawasa.

Amelikoroga kwenda Kempiski, lazima alinywe...
 
- Mkuu Rostam alimuajiri Ruhinda kwa ajili ya ku-deal na rafiki yake wa karibu sana Mkapa, kwenye hii deal na pia alimuajiri Spika Msekwa ili aue hoja yoyote inayowahusu Mtandao na huu wizi, CCM as chama haikuhusika na EPA, lakini Rostam alitumia hela za EPA kwuanuanua viongozi wengi wa CCM, Mkapa alikua amekabwa koo na Rostam kutokana na uchafu wake na hasa wa mkewe ndio Rostam alioutumia kum-blackmail mpaka kumfanyia kila alichotaka, CCM as chama has nothing to do na EPA!


FMES!
RA alipata wapi uwezo wa kum-blackmail Mkapa? Mbona unajichanganya Mkuu? Meeelezo yako ya awali ilikuwa inaonyesha wanamtandao wa CCm ndio waliotoa baraka na ndio waliokuwa wana promote huu wizi. Wizi Umetokea kabla ya Uchaguzi, na hili sakata limejulikana baada ya kikwete kuwa madarakani, je Msekwa amehusikaje hapa, wakati baada ya Makapa kutoka tukawa na SITA.msekwa alizuiaje huja bila kuwa sipika?

Ninajua unajaribu ku push consipiracy theory yako ya Kwamba, RA alikuwa na nguvu kuliko watu wote kwenye serikali ya Tanzania iliyoko chini ya CCM. RA hana hizo nguvu and he will never have , Ukweli ni mweupe, Kwa baraka za CCM=Mkapa and the rest of High Level CCM leadership ndio maana fedha za EPA zilitutoka

Waliopelekwa Mahakamani hamna kesi hapo, Kwasababu Ukweli Unajulikana kwamba kila mtu katika uongozi wa juu alikuwa na baraka zake katika wizi huo.

Again we wont solve this UFISADI and EPPA puzzle by excluding CCM, Dont give RA the power he doesnt have
 
Again we wont solve this UFISADI and EPPA puzzle by excluding CCM, Dont give RA the power he doesnt have

What are we learning from other country politics! is the center of power in political parties only! Maybe we have been looking too much into ccm! Maybe the power center is even out of CCM!
 
What are we learning from other country politics! is the center of power in political parties only! Maybe we have been looking too much into ccm! Maybe the power center is even out of CCM!

The power centre might be out of CCM but the Big Tent political party is still CCM, I love to call it a Mixed bag
 
Mkuu,

Hapa umegonga penyewe hasa....Kwa wale wanaoijua CCM...hapo pana ukweli wa 100%.

Lengo la Mkapa lilikuwa jema [kwa CCM, sio wananchi] JK ashinde uchaguzi...ila wakina RA & Co walikuja baadaye kuigeuka CCM na kujichotea wenyewe mpaka zikafika $ 133 Mil.

RA na wenzake wangejifunza kwa wanaoijua CCM vema; tofauti na hela ya Serikali ilivyo, hela ya Chama haitafunwi kiujanja ujanja bila kuwekwa kiti moto kisawasa.

Amelikoroga kwenda Kempiski, lazima alinywe...
Rostam ni Kagoda na Kagoda ni CCM na CCM ni Kagoda wanajua yote walifanya yote.
Marehemu Wakili Moses Maira alisema Jeet Patel alikiri kwake kuwa yeye(jeet alitumika tu kutoa fedha EPA kwa maelekezo ya Ben Mkapa na fedha zile aliagizia magari ya CCM ambayo mpaka leo yapo na ni kati ya magari 600+ na fedha zingine zilisaidia kwenye Chama vilevile na Rostama alifanya vivyo hivyo 40bil ziligawanywa kwa mafungu kadhaa moja lake Rostam jingine la Mkapa , Balali, CCM makao makuu na baadhi ya wabunge wa ccm kwenye uchaguzi kipande kingine kilitumika kwenye kampeni za uraisi wa mh. JK. CCM wanajua vizuri sana na mpaka hapa tunapoandika Rostam na JK bado wapo one to one washikaji wakubwa kwani Jk anaamini RA alibeba risk kubwa sana ya kumwingiza ikulu.
 
hapa kuna kitu kilisemwa kuhusu Rostam..

Rostam alizaliwa hospital ya mission iliyoko kijiji cha Mwamalwa, mpaka masista watu waliomuhudumia mama yake bado wako hapo hai, katika tarafa ya Bukene wilaya ya Nzega akiwa mtoto wa kwanza wa marehemu Aziz. Aidha babu yake na bibi yake walizikwa wilaya ya Bukene walikokuwa wakiishi tokea ujana wao. Babu yake Rostam alikuwa mtanzania wa kwanza kununua gari aina ya fiat mwaka 1954.... Alisoma shule ya msingi Mwamalwa ambapo mwaka 1969 aliongoza mkoa wa Tabora kwa kufaulu darasa la saba, alipata maksi 148 kati ya 150

Wilaya ya Bukene iko wapi? Halafu huyu Dikteta alipotuandikia haya alikuwa anafikiria nini?
 
Duh...this is what they call damning evidence!! HATARI. Papa Fisadi ana jibu hapa?
 
Sioni kufaidika kokote na haya malumbano ya hawa wakubwa bado tatizo liko palepale kwa sisi waafrica ni katika kujiongoza haya ya EPA,UFISADI,Rostam,Mengi na yoote haya,Pamoja na elimu tunayoipata hapa,sisi watanzania ama waafrica tuna tatizo kubwa sana na hatuna hatua za msingi tulizopiga tokea tulipopata uhuru bado mawazo yetu na fikra zetu duni na nyoyo zetu zilizojaa chuki na wivu zitaendelea kutuwinda haadi hapo tutakapokubali kubadilika na kuzitayarisha generation zijazo ili zifaidi matunda ya fikra za uwazi na maendeleo.

SAHIBA.
 
Rostam Vs Mengi: Tribalism?

Yesterday(Wednesday) I was shocked when one of the great thinkers claimed that the ongoing clashes between Mengi Reginald and Rostam Aziz and his partners is tirbal fight involving Chagas and Lake Zone(Sukuma and Nyamwezi tribes).

That Lake Zone will always rally behind Rostam at any cost because he is their true son. This is funny and bullshit. God forbid, I am from Lake Zone regions and so does Mwanakijiji, we are not ready to support anybody under the grounds of tribalism. We are not ready to be dragged in the tribal sentiments by those who benefited from the looted billions.

By the way who is Rostam? He is mercenary who came to this country from Iran at the age of 22 to visit his uncle who was trading on buying and exporting hides. He stayed there in Igunga, learnt the local language including swahili as well as politics, before officially jumping into the bandwagon of parliament in 1994 after the death of Charles Kabeho.

Having inherited his uncle's business, Rostam rose as a trader trading in hides(Ngozi) before forming a road construction company called Capsian which he used to conduct shoddy business, and earned billions. This company failed to deliver according to the agreed standards in Mafia, Mwanza, Dar es Salaam, forcing Magufuli who was the then minister for works to suspend payments worth billions. That's why soon after Kikwete won the election, while Rostam and Lowassa acquired Habari Corporation, Muhingo Rweyemamu was given a special assignment to deal with the so called corrupt deals in government owned houses.

If you guys remember, Rai newspaper serialised damning articles about Magufuli in a calculated bid aimed at politically victimising him as well as reducing his popularity which was a threat to a much hurried man-Lowassa. But the funny thing is that while Rai was busy attacking Magufuli, Mr. Muhingo didnt bother to ask his boss(Rostam) how did he acquire his home in Dar while he wasnt the government's worker or civil servant.

If Mengi is misusing his media, please would you tell who is the media owner in this country who has not used his media for his personal interests? Toni Diallo? The Late Nyaulawa? Prince Aghakhan? Rostam? Tanil Somaiya? Subhash Patel? No one.

EPA

I have carefully read the last words writen by Dr. Ballali before he died in US last year and my conclusion is very simple: Rostam is a shark through Kagoda. He pocketed Sh40billion using CCM campiagn as a front or a shield.

"Rais Mkapa akaniita pale Ikulu akaniambia Kampe Rostam pesa hili Malaika aweze kushinda uchaguzi...Nikajibu kwamba paple benki kuu hakuna fedha labda zile za account ya madeni lakini itabidi wafuate utaratibu" DR. Ballali.

"Nikakaa na Rostam nikampa utaratibu na kumtambulisha kwa ndugu Maregesi ili amsaidie kusajili kampuni ya Kagoda...Kwa kuhofia bomu kulipuka nikashauri waingizwe na wengine wengi kwa masharti ya kuchangia Chama asilimia 40 ya malipo...lengo lilikuwa ni kufanya ionekane kama serikali kwa wakati huo iliamua kulipa madeni." Dr. Ballali.

Now this is just the version of the dossier by Dr. Ballali where he strongly revealed how Rostam swindled the billions. The party was given only Sh10billion.

In conducting all bank transactions, Rostam used his personal secretary Tabu Abdulah as a cover-up. There's all evidence.

I am ending here but very soon I will reveal all things about Rostam.
Michango kama hii ndio inayofaa katika JF BRAVO!!!!!
 
Mkandara,
Kuhusu lafudhi si hoja. Siku moja nilikwenda Japan na pale nyumbani kwa marehemu Palangyo walikuja Wajapani watano ambao walifanya kazi Tanzania. Ungesikia wanazungumza Kiswahili kwa lafudhi nzuri usingeamini ni Wajapani. Rostum anaweza kuwa jasusi wa Iraq aliyetumwa kwa malengo kadhaa ( I am stretching here) Tanzania. Kwa hiyo lafudhi si hoja.
inaeleke nawe si raia kwani mgeni yeyote ambaye hajazaliwa Bongo hata ajifunze kiasi gani lafudhi namatamshi hayatakuwa ya kiswahili.Mbona hata mzee cheyo anagonga hii inaonyesha alianza kuongea kilugha kwanza na kiswahili alijifunza shule.
 
Mimi kwakweli nimechoka kuandika sasa huyu jamaa anayeitwa Rostam nimechoka naye kabisaa hata hawe mwarabu, muhindi ,mweusi ,kaburu,nimechoka naye sasa nafikiri huyu jamaa wakiendelea kumlinda inatakiwa machafuko yatokee yaani watu wapewe tenda kama hata rudisha mali aliyochukua .Pia jamaa wote walio mzunguka tuuze majina yao watu wale vichwa hiyo ndiyo dawa kwani imetosha kusikia tuliyo yasikia .Nafikiri wafanyabiashara waliokuwa wanakula vichwa vya watu KICHWA CHA ROSTAM NI HALALI YAO TENA WATA TENGENEZA CHA JUU.
 
swala la kwamba ana uraia wa nchi nyingine is another topic, but kaziliwa tabora , kakulia tabora anongea kinyamwezi na ni mtanzania, kama ana passport mbili zingine , we can even start there, kuna watanzania wengi sana ambao wana passport zaidi ya moja which is against the country law.

Kama unaushaihidi unasubiri nini kuwaambia immigration wakamkamate? Pili ninakumbuka ule mjadala wa balali watu mlisema ana uraia wa marekani lakini ubalozi wa marekani ukakanusha na kusema kuwa alikuwa na diplomatic passport kutoka tanzania ambayo baadae ilkuwa revocked.

Mwisho you can present your point without beig disrepective , heshima hainunuliwi. Inabidi ujifunze ustaarabu

wacheni ujinga huu.....na ushamba...rostam ni bulushi...na mabulushi wanatokea baluchistan pakistan..iran hakuna bulushi........na pakista hawaruhusu uraia wa nchi mbili...wacheni majungu ....jamaa ni tariji kapata wacheni wivu kama mangi......kama suali ni uraia wa nchi mbili kaulizeni kina kahama's wana uraia wa nchi mgapi...halafu muje hapa
 
Alivyoandika dikteta
"Rostam alizaliwa hospital ya mission ilioko kijiji cha mwamalwa,mpaka masista watu waliomuhudumia mama yake bado wako hapo hai,katika tarafa ya Bukene wilaya ya Nzega akiwa mtoto wa kwanza wa marehemu Aziz.Aidha babu yake na bibi yake walizkwa wilaya ya Bukene walikokuwa wakiihi tokea ujana wao,Babu yake Rostam alikuwa mtanzania wa kwanza kununua gari aina ya fiat mwaka 1954....Alisoma shule ya msingi Mwamalwa ambapo mwaka 1969 aliomgoza mkoa wa tabora kwa kufaulu darasa la saba.alipata maksi 148 kati ya 150".

Hapa mimi nachanganyikiwa, huo mwaka 1969 si ndo aliozaliwa??? iweje tena mwaka huohuo amalize darasa la saba????????????
 
Mkuu Kadushik sijui kama umeacha kwa kukusudia, ungeitaja kampuni ya Malori ya KASERKANDIS basi na ungejua biashara za wazazi (familia) wa/ya RA


Hawa walikuwa Bukene na sio Igunga, hata hivyo vijana wote nawajua na nakubaliana kuwa wameoleana na sio kuwa walimpa biashara baba yake RA
 
Jamani twendeni pole pole bila kushabikia. Nadhani sasa ni muda muafaka wa kuanza kuchimba dawa. Tuanze kwa kujiuliza maswali, tujiulize swala moja moja mpaka mwisho tutaweza kuunganisha Vipande vya Jee ni nani Rostam na anapata wapi kiburi. Sasa tuanze kama ifuatvyo.
  1. Jee Rostam alizaliwa Mwaka gani? ( Bunge website wanasema 1969) Alizaliwa wapi? Hospital Gani?
  2. Wazazi wa Rostam ni kina nani? Na walikuwa wanausika na biashara gani? Jee wazazi wake bado wapi hai? Na kama wapo hai wapo wapi? (Hili litawezesha sisi kujua kwamba huyu mkuu alizaliwa Tanzania au Teheran?)
  3. Jee Rostam alisoma shule ya msingi wapi? Jee tunaweza kupata classmate wake? Jee alikwenda sekondari wapi? Jee tunaweza kupata classmate wake wa sekondari? Jee alisoma A-level? Na kama alisoma A-level then alisoma combination gani?
  4. Rostam anadai ana BA ya Economics, Jee alisoma wapi? Jee alisoma vyuo vya ndani ya Tanzania au nje ya Tanzania. Jee tunaweza kujua chuo ili tukauliza kama yupo kwenye Alumni list? Na kama amezaliwa 1969 kama Bunge linavyodai. Basi alihitimu shahada yake ya kwanza kati 1991-1994. Jee kunaweza kupatakina kwa document zozote?
  5. Jee Rostam ana mke? Jee ni mzaliwa wa wapi? Alianza nae uhusiano lini? Jee kuna mtu yoyote anaemjua mkewe? Na kama yupo jee anajua lolote kuhusu uhusiano kati ya wawili hao?
  6. Jee Rostam ana mtoto au watoto? Kama anae au anao jee wamezaliwa wapi? Jee ni hospital gani?
  7. Uhusiano wa Rostam na CCM. Jee Rostam ni mwanachama tangu mwaka gani? Jee anafahamiana na JK kwa muda gani? Jee Mwalim anamfahamu Rostam? Na kama Mwalim anafahamu jee ashawai kumzungumzia?
  8. Jee Rostam alishindana na nani katika uchaguzi wa awali (primary) wa CCM katika jimbo la Igunga? Jee tunaweza kupata kipeperushi chenye wasifu wake? Jee wakati wa uchaguzi wake kulikuwa na dalili zozote za rushwa. Jee JK alikampeni jimboni kwa Rostam, na kama alikampain jee alisema nini?
  9. Kuhusu mtandao wa Rostam, jee kuna ushaidi wowote kwamba alianza kuujenga mtandao huu mwaka gani? Jee aliwezaje kuwa karibu na CCM brain? Jee kuna mwanachama yoyote aliyemkaribisha?
  10. .....
Maswali haya yanaweza kutupa muelekeo wa ni nani Rostam? Kwa nini mpaka sasa hajafunguluwa kesi, na kwanini Muungwana (ze comedy) anajificha nyuma ya kiganja chake pindi jina Rostam linapotajwa?
 
... Pole pole naaanza kuona uwezekano mkubwa wa hatimaye huyu mheshimiwa kukimbia nchi na kuwaacha watetezi wake, waandishi wa habari wake, vibaraka wake na wapiga debe wake wakitahayari na kurudi kujiunga nasi kula dona letu na kuendelea kujenga nchi yetu. Mungu Ibariki Tz na waTz wake.
 
Back
Top Bottom