Mtikila alidai ni muiran na inasemekana ana passport ya nchi hiyo....Pia kuna habari kuwa familia yake imeanza bishara zamani sana kuanzia enzi za utumwa.
Kwa kusema Ukweli hata kama hatumpendi Rostam Aziz ni wa Nzega kwa Miaka Mingi sana na Kazaliwa pale; na Unajua amesoma Chuo Kikuu cha Dar Es Salaam Uchumi na alikwenda Jeshini. Kwahiyo kwa kweli tuache kumuita Mtu aliyetoka Iran.
Ni Mtanzania halisi na ninavyosikia alikuwa anapenda sana Fikra za Baba wa taifa Mwl. Nyerere; Ni kuwa anapenda kuisaidia TZ lakini tatizo ni njia anazotumia ni za kibebari same as Waziri Mkuu wa Italia.
Huyu ni Mtanzania
ROSTAM AZIZ
kama kuna mtu anayejua undani wa huyu mtu historia ya familia yake ili tuweze kujua kama ni mtanzania au la!HAWA NDIO WALE WENYE URAIA WA NCHI MBILI....LETENI HABARI.