This is Rostam I know... The Story Behind the Man

This is Rostam I know... The Story Behind the Man

ilikuwa hatari inatisha, sasa ushaidi wa picha hauna maana tena hata police wanaweza chakachua picha za Arusha

jamaa mtaalalamu sana kwa kuchakachua..ndio alitumiwa na TPF kuedit video ya yaliyojiri arusha nini?
 
Nyie MODS acheni ujinga mmna mban mtu mjinga picha mnaicha.. Inamtukana Rais wa Nchi itoeni.
 
ukimweka Dr Slaa na Chadema, Tanzania itakuwa kama Uganda wakati wa Idd Amin DA-DA au kama Zimbabwe ( Mzungu kasoro mbwa ). Lo...:frusty:
 
RA ndo kamuweka yule mwanasheria wake wa zamani vodacom(Ngeleja) pale nishati na madini amlindie maslahi yake ya Caspian kule migodini,amfunikie kasfha za richmond na kumzawadia dubwana Dowans

RA ndo kamuweka Salva ikulu ili azuie habari nyeti zisiwafikie wanaharakati na ndio kamtumia kununua habari corp(Rai,The Express na Mtanzania)ili itumike kuzima cheche za mageuzi.

RA ndio kamuweka Anne Makinda pale mjengoni ili Sita asimuumbue zaidi(wanatoka tabora wote hawa wanajuana)

RA ndo alichukua 40 kwa jina la kagoda na BWM kumuweka JK madarakani na hadi leo kagoda inapeta.ilhali Liyumba anasota jela

Sasa JK anafanya nini? kwa mtazamo wangu ni mshika kibendera tu!!!

Wadau mnaonaje ukweli huu?kikulacho ki nguoni mwako

Kwa mwenendo huo nina wasiwasi hata kibendera hajashika.
 
Kwake uwajibikaji sio issue ila status na warrant ya kwenda USA na dege la Prezda,kupgiwa salute na akina mwamny' shem mwema,kubembea,kuuza sura, kuchekacheka na wasanii wa kibongo (wasiokwenda shule),kuoa oa na kujimovuzsha na totooz, kucheza kile kimchezo cha kinguchiro(kiduku) na mengineyo ambaye atajisikia kuongezea ruksa....
Zomba,sss na wenzenu kama mnabisha basi nawapa evdence hii hapa;
Mh Rais kwa nn nchi yako ni masikini licha ya kuwa na raslimali rukuki? Rais ooooooh hata mi cjui kwann nchi yangu maskini''
aaaaaaaggggggrrrrhhhh??!!!
 
Binafsi sikuwahi kumfaham RA hadi baada ya mwaka 2006,sifaham hata kama kabla ya hapo alikuwa mbunge wa Igunga au la!

WanaJF naomba mnisaidie japo kidogo tu historia ya huyu mtu especially kwa hapa TZ


:usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2::usa2:
Ukitaka kumuangamiza Adui yako basi inabidi humfahamu vizuri!!!!!!
 
R A alikuwa dreva wa FIAT 682 nzega mwaka 1989. mwaka 1990 akawa mjumbe wa nyumba kumi akabahatika kuingia bungeni, mwaka 1995 akawa mtunza hazina wa ccm hapo ndo alipoanza ku make money hadi leo hii anamiliki mitambo ya kufua umeme isiyo fua umeme (DOWANS).
 
ALIISHI NZEGA KAMA MWARABU TAPELI
AKAKUA AKASOMA AKAWA MSANII WA CHAMA
AKAENDELEA AKAWA MJUMBE WA CHAMA
AKAENDELEA AKAWA MBUNGE 2005
BAADA YA HAPO AKAWA FISADI MMILIKI WA dowans
 
Back
Top Bottom