Polisi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 2,082
- 643
Mwambie by any chance if happens yuko mikononi mwangu hata kwa dakika 2 either mie nife au yeye but probably 98% i will kill him...
and u will be killed too

ndg wana jf
Amezaliwa katika kijiji cha mwisi na amesoma na kaka yangu katika shule ya msingi Isenegeja wilayani igunga. Wazazi wake nawafahamu (Walikuwa wakijishughulisha na uuzaji wa ngozi) ingawa kwa sasa wengi hawapo hapo mwisi wamebaki ndugu wengine kama wajomba n.k. Baada ya kumaliza s/m hata kaka yangu anasema hajui alikwenda kusoma sekondari wapi na shahada ya kwanza ingawa masters ya uchumi amesomea uingereza. Aliibuka mwaka 1994 kugombea ubunge baada ya kifo cha Marehemu Charles Kabeho. Nilibahatika kuhudhuria katika kampeni zake. Si mjuzi sana wa kujieleza. Kampeni zake nyingi alikuwa na m/kiti wa CCM wa mkoa wa tbr wakati huo mzee Mkumba na kikundi cha ngoma cha Mwinamila.
Hoja
Je haya ( kuhusu ujasusi, ugaidi, pandikizi la Irani) kumhusu RA tuyachukulie kama ni chuki binafsi/wivu (wa kibiashara) au jokes
Note: achilia mbali ufisadi na nguvu yake serikalini, sina comment maana sina data
Naomba kuwasilisha.
Polisi
Senior Member, JF
mi naona anasingiziwa......ni mtu safi tu japo wanasema kagoda ya kwake, richmond, dowans yeye na lowasa na kikwete nadhani anasingiziwa tu...ni mkristo safi na mbona huwa anasaidia hata makanisa?...huyu ni mtu safi na yote hayo anasingiziwa tu
and u will be killed too
and u will be killed too
yani hiyo avatar yako+user name yako x post yako hapo juu= rostam.ndg wana jf
Nimesikia mengi sana kumhusu mhe. huyu (RA). Mimi bado najihesabu kuwa ni mgeni humu jf na bahati mbaya si mjuzi sana na mfuatiliaji wa mambo ya siasa pengine labda kutokana na taaluma yangu ambayo hainipi mwanya sana kuchunguza maisha ya watu. Hata hivyo kama ilivyo slogan yetu (Great thinkers) huwa nalazimika wakati mwingine kujiuliza juu ya yale yanayoelezwa kuhusu mh. RA.Kuna thread nyingi sana humu jf zinazomzungumzia RA na hata zile ambazo hazitaji jina lake ndani ya michango wa wana jf huibuka jina la RA na kunifanya nijiulize ukweli wa yanayosemwa na jinsi ninavyomfahamu mhe. huyu kidogo.
Ndg wana jf
Sina comment juu ya nguvu aliyonayo mhe. huyu serikalini kwa sasa kwa kuwa sina data. Utata unakuja pale misamiati kama jasusi, pandikizi la Iran, na wengine kumfananisha na gaidi. Bahati nzuri mimi nafahamu hadi kijijini kwao na amekua namuona. Amezaliwa katika kijiji cha mwisi na amesoma na kaka yangu katika shule ya msingi Isenegeja wilayani igunga. Wazazi wake nawafahamu (Walikuwa wakijishughulisha na uuzaji wa ngozi) ingawa kwa sasa wengi hawapo hapo mwisi wamebaki ndugu wengine kama wajomba n.k. Baada ya kumaliza s/m hata kaka yangu anasema hajui alikwenda kusoma sekondari wapi na shahada ya kwanza ingawa masters ya uchumi amesomea uingereza. Aliibuka mwaka 1994 kugombea ubunge baada ya kifo cha Marehemu Charles Kabeho. Nilibahatika kuhudhuria katika kampeni zake. Si mjuzi sana wa kujieleza. Kampeni zake nyingi alikuwa na m/kiti wa CCM wa mkoa wa tbr wakati huo mzee Mkumba na kikundi cha ngoma cha Mwinamila.
Hoja
Je haya ( kuhusu ujasusi, ugaidi, pandikizi la Irani) kumhusu RA tuyachukulie kama ni chuki binafsi/wivu (wa kibiashara) au jokes
Note: achilia mbali ufisadi na nguvu yake serikalini, sina comment maana sina data
Naomba kuwasilisha.
Polisi
Senior Member, JF
yani hiyo avatar yako+user name yako x post yako hapo juu= rostam.
i mean mimi kwa mtazamo wangu nahisi wewe ni kibaraka wa RA,au kuna kitu unakitafuta kuhusu huyo sijui ni mwajiri wako au ndugu yako,mimi sijui,kwasababu wewe ulianza kwa nia kama ya kuuliza,mara tunaona tena unaanza kumsafisha huyo RA,mara utuambie umekua nae?so kumbe unamjua vizuri?nenda huko kijijini kaulize basi,kumbe ni mwenyeji?,alafu wewe ndo ungemuliza huyo kaka yako alafu ungetuambia,then hapa jf hakuna mtu anaye fuatilia maisha ya mtu,bali tunaongelea maslahi ya nchi yetu.
yani hiyo avatar yako+user name yako x post yako hapo juu= rostam.
.
ndg wana jf
Nimesikia mengi sana kumhusu mhe. huyu (RA). Mimi bado najihesabu kuwa ni mgeni humu jf na bahati mbaya si mjuzi sana na mfuatiliaji wa mambo ya siasa pengine labda kutokana na taaluma yangu ambayo hainipi mwanya sana kuchunguza maisha ya watu. Hata hivyo kama ilivyo slogan yetu (Great thinkers) huwa nalazimika wakati mwingine kujiuliza juu ya yale yanayoelezwa kuhusu mh. RA.Kuna thread nyingi sana humu jf zinazomzungumzia RA na hata zile ambazo hazitaji jina lake ndani ya michango wa wana jf huibuka jina la RA na kunifanya nijiulize ukweli wa yanayosemwa na jinsi ninavyomfahamu mhe. huyu kidogo.
Ndg wana jf
Sina comment juu ya nguvu aliyonayo mhe. huyu serikalini kwa sasa kwa kuwa sina data. Utata unakuja pale misamiati kama jasusi, pandikizi la Iran, na wengine kumfananisha na gaidi. Bahati nzuri mimi nafahamu hadi kijijini kwao na amekua namuona. Amezaliwa katika kijiji cha mwisi na amesoma na kaka yangu katika shule ya msingi Isenegeja wilayani igunga. Wazazi wake nawafahamu (Walikuwa wakijishughulisha na uuzaji wa ngozi) ingawa kwa sasa wengi hawapo hapo mwisi wamebaki ndugu wengine kama wajomba n.k. Baada ya kumaliza s/m hata kaka yangu anasema hajui alikwenda kusoma sekondari wapi na shahada ya kwanza ingawa masters ya uchumi amesomea uingereza. Aliibuka mwaka 1994 kugombea ubunge baada ya kifo cha Marehemu Charles Kabeho. Nilibahatika kuhudhuria katika kampeni zake. Si mjuzi sana wa kujieleza. Kampeni zake nyingi alikuwa na m/kiti wa CCM wa mkoa wa tbr wakati huo mzee Mkumba na kikundi cha ngoma cha Mwinamila.
Hoja
Je haya ( kuhusu ujasusi, ugaidi, pandikizi la Irani) kumhusu RA tuyachukulie kama ni chuki binafsi/wivu (wa kibiashara) au jokes
Note: achilia mbali ufisadi na nguvu yake serikalini, sina comment maana sina data
Naomba kuwasilisha.
Polisi
Senior Member, JF
In conducting all bank transactions, Rostam used his personal secretary Tabu Abdulah as a cover-up. There's all evidence.
I am ending here but very soon I will reveal all things about Rostam.
Polisi, wengi wanamhusudu RA kwa kuwa kawazidi maarifa, kisiasa, kibiashara na kijamii. Hawana hata proof moja kwa RA kwa wayasemayo. Ni pumba, ubaguzi wa rangi na dini. Na wanatamani ile influence na mvuto aliokuwa nao RA wangekuwa nao wao.