This is Rostam I know... The Story Behind the Man

This is Rostam I know... The Story Behind the Man

Yuko kimasilahi zaidi ya nchi yake nani aliyekwambia RA ni mtanzania?
 
jamiiforum,the home of great thinkers. PW umetufanyia makubwa sana. Mungu akubariki!
 
  • Thanks
Reactions: Aza
Kuna watu wanamjua kibaka huyu vizuri sana. Ukiunganisha historia yake hutakuwa na mashaka na onyo la ndugu yangu Mwanakijiji kuwa watanzania watakuja kuamini yasemwayo hivi sasa.
 
Rostam Vs Mengi: Tribalism?

Yesterday (Wednesday) I was shocked when one of the great thinkers claimed that the ongoing clashes between Mengi Reginald and Rostam Aziz and his partners is tirbal fight involving Chagas and Lake Zone (Sukuma and Nyamwezi tribes).

That Lake Zone will always rally behind Rostam at any cost because he is their true son. This is funny and bullshit. God forbid, I am from Lake Zone regions and so does Mwanakijiji, we are not ready to support anybody under the grounds of tribalism. We are not ready to be dragged in the tribal sentiments by those who benefited from the looted billions.

By the way who is Rostam? He is mercenary who came to this country from Iran at the age of 22 to visit his uncle who was trading on buying and exporting hides. He stayed there in Igunga, learnt the local language including swahili as well as politics, before officially jumping into the bandwagon of parliament in 1994 after the death of Charles Kabeho.

Having inherited his uncle's business, Rostam rose as a trader trading in hides (Ngozi) before forming a road construction company called Capsian which he used to conduct shoddy business, and earned billions. This company failed to deliver according to the agreed standards in Mafia, Mwanza, Dar es Salaam, forcing Magufuli who was by then minister for works to suspend payments worth billions. That's why soon after Kikwete won the election, while Rostam and Lowassa acquired Habari Corporation, Muhingo Rweyemamu was given a special assignment to deal with the so called corrupt deals in government owned houses.

If you guys remember, Rai newspaper serialised damning articles about Magufuli in a calculated bid aimed at politically victimising him as well as reducing his popularity which was a threat to a much hurried man-Lowassa. But the funny thing is that while Rai was busy attacking Magufuli, Mr. Muhingo didn't bother to ask his boss (Rostam) how did he acquire his home in Dar while he wasn't the government's worker or civil servant.

If Mengi is misusing his media, please would you tell who is the media owner in this country who has not used his media for his personal interests? Toni Diallo? The Late Nyaulawa? Prince Aghakhan? Rostam? Tanil Somaiya? Subhash Patel? No one.

EPA

I have carefully read the last words written by Dr. Ballali before he died in US last year and my conclusion is very simple: Rostam is a shark through Kagoda. He pocketed Sh40billion using CCM campaign as a front or a shield.

"Rais Mkapa akaniita pale Ikulu akaniambia Kampe Rostam pesa ili Malaika aweze kushinda uchaguzi... Nikajibu kwamba pale benki kuu hakuna fedha labda zile za account ya madeni lakini itabidi wafuate utaratibu" DR. Ballali.

"Nikakaa na Rostam nikampa utaratibu na kumtambulisha kwa ndugu Maregesi ili amsaidie kusajili kampuni ya Kagoda... Kwa kuhofia bomu kulipuka nikashauri waingizwe na wengine wengi kwa masharti ya kuchangia Chama asilimia 40 ya malipo... Lengo lilikuwa ni kufanya ionekane kama serikali kwa wakati huo iliamua kulipa madeni." Dr. Ballali.

Now this is just the version of the dossier by Dr. Ballali where he strongly revealed how Rostam swindled the billions. The party was given only Sh10billion.

In conducting all bank transactions, Rostam used his personal secretary Tabu Abdulah as a cover-up. There's all evidence.

I am ending here but very soon I will reveal all things about Rostam.

Just a small correction,

The first construction company to be established by Rostam was called Earth Movers Construction Company Ltd which later changed to Capsian Construction Ltd. Almsot 40% of its workers were from Iran and most of them were irrigation engineers and techinians. The company's chief executive was Rostam's youngbrother namely Alkram.

Some of the road contracts undertaken are access road to Regional Engineer's Office in Mbeya, Mbeya -Chunya Road and a Kilindoni - Utende road in mafia where most of the iranian professionals were involved.
 
Prince william, big up!

Please bring more info. This is so juicy you know.
 
swala si kama ni myamwezi au mu iran, tujadili jinsi alivyo ifilisi serekali yetu mpaka apa tulipo na nijinsi gani tunaweza kumfikisha kwy mkono wa sheria , na si vizuri kutishana tunaitaji motion zinazo make sence, na siyo matusi na vitisho.
 
Kwani Mababu zetu walipoingia mikataba na wageni wa Kiarabu na kizungu ili watawaliwe mambo siyalikuwa hivihivi tu??

Unakatiwa kipande cha nguo kufunga kiunoni na mkeo anapewa shanga za kuvaa kiunoni mnauza nchi yenu kwa wageni.

Tunaambiwa walowezi walikuwa na bunduki na kuwalazimisha babu zetu, hiyo si kweli hata kidogo. Watawala wetu wa zamani walilainishwa kwa zawadi za kipuuzi na kuamua kuuza nchi kuliko uongo kwamba bunduki ziliwatisha.

Kuna Risasi iuayo zaidi ya risasi ya udhaifu na uroho??

Ukiweka nchi makalioni na uchoyo mdomoni, hakika utakuwa radhi kuuza nchi kwa thamin ya ada ya vijana wako wawili kusoma UK.
Thamani ya nchi uiuzayo ni Shilingi ngapi? Hata hujiulizi kwa vile akili yako imezibwa na kiwi ya Uchoyo na ubinafsi.

Pande la nchi lililo jaa dhahabu kwetu si mali hata kidogo, mali ni Fedha taslimu ndani ya mfuko wa Khaki kutoka kwa Fisadi bila hata kujiuliza kazitoa wapi.

MH R Aziz naye ni sawa na Wale walowezi wa mwanzo, leo viongozi wa CCM wanakatiwa tambala la kujifunga kiunoni(vijisenti) na wake zao wananunuliwa shanga na Rostam ili aruhusiwe kuunajisi uchumi wetu.

Akili za viongozi wetu ni sawa na akili za jogoo. Punje ya almasi si mali wala si chochote mbele ya jogoo mwenye njaa atafutaye punje ya mtama.

Mawazo ya jogoo huyu yako juu ya punje ya nafaka ishibishayo leo na si thamani ya almasi iwezayo leta shibe kubwa baadaye. Viongozi wetu wameidharau nchi na mali yake kwa kutafuta fedha taslimu za kutatua matatizo ya udhaifu wao.

Ardhi na watu wa Tanzania ni bugdha kubwa mbele ya viongozi wetu, si vibaya wakiwa utumwani ndani ya nchi yao wenyewe kama tendo hilo litawapa viongozi wetu shibe ya leo.

Watanzania wengi hatuamki na kutumia uwezo wetu kuondoa tabaka hili la wahuni kuongoza nchi kwa sababu kwa ujinga tunaamini zamu yetu ya kuinajisi nchi itafika nasi tutakula tupendavyo. Au tunafaidika na vidondokavyo kutoka katika meza itumiwayo na viongozi wa CCM kunajisi nchi. Hivyo tunaamini kwa dhati kwamba tukikomesha unajisi wa nchi huo utakuwa mwisho wetu wa kufaidi makombo ya unajisi. Kwa lugha nyingine sisi wananchi tunashiriki katika karamu chafu ya kujinajisi na kudumisha laana katika nchi yetu kwa kujua kwetu na kwa kuto kujua kwetu.

Siku ghadhabu ya kuwapatiliza wote walionajisi nchi yetu itakaposhuka, hata wale wanukao makombo ya unajisi nao watagubikwa na ghadhabu hiyo.

big up...umekomboka kifrika.
 
tbc wanasema ana shahada ya kwanza ya uchumi,
tunaomba tuelewe kuhusu hili
 
ama kweli na mengi yatakuja,ila ipo siku hawa wala nchi watajuta
ata kama sio kizazi hiki basi ata cha pili,mimi siamini hasilani kama mkapa na kikwete hawajui ishu ya uyu bwana et al walivokomba pesa yetu inaniuma sana.sema sijajua sana ( ) wana ajenda gani hapa nchini ila najua nao mafia tu.
kama maana ya gamba=ufisadi basi ushahidi upelekwe mahakamani na tuone kesi na wanahukumiwa wote.

kwani aliiba peke yake?
 
Niinavyo mimi jamaa kaona sahivi chama cha magamba hakuna maslahi(deal) tena akiendelea atakula hasara zaidi kwahiyo anaingia msituni kutafuta deal zingine zaidi
 
ROSTAM AZIZkama kuna mtu anayejua undani wa huyu mtu historia ya familia yake ili tuweze kujua kama ni mtanzania au la!HAWA NDIO WALE WENYE URAIA WA NCHI MBILI....LETENI HABARI.
Ni raia wa Iran kabila Pashian aliletwa na mke wa Mwinyi miaka ya 80s baada ya Mbunge wa Igunga kufariki akafanyiwa mpango wa kushika jimbo la Igunga.
 
huyu mtu ashtakiwe tu jamani ametufilisi! Mpaka serikali inakosa mishahara ya watumishi wake!
 
jamaa sijui katuroga kwa sababu anajua afanye nini wakati gani...is so genius this man...halafu nasikia amegraduate Harvard university ni kweli?
 
jamani kumbe mi nateseka sababu ni huyu rostam aziz? Ulaniwe rostam
 
Back
Top Bottom