William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,588
- 10,374
Unadai kuwa kutokana na utendaji mbaya wa Caspian, Magufuli akazuia malipo ! Mkuu, unajua kweli mikataba ya ujenzi inaendaje? Unajua nani mwenye authority ya ku-suspend payments to contractor? Unajua nani anatayarisha certificate ya malipo ya mkandarasi? Unajua athari za kukataa kulipa certificate of payment katika wakati muafaka? Mbona mnatudharau kiasi hiki?
- Mkuu fundi pole pole bro mbona unaenda mbio sana, kwani Waziri Kiula kwa nini alifikishwa kwenye sheria kama waziri hawezi hakiki mkataba? Kama waziri hawezi simamisha mkataba then kwa nini Kiula alikua na kesi ambayo iliishia kumfunga? Bangusilo katibu wake mkuu Mlingwa?
- Fundi tunajua kwamba unao uwezo wa kukata ishu, basi kata bila kuingiza personalities za kudharauliwa, hakuna ya dharau hapa wewe weka hoja zako tutazisoma na kukubali au kukataa, tafadhali acha kuwa-intimidate wageni kama Prince, maana wengine tunamuhitaji sana hapa kutufumbua macho.
FMEs!