This is Rostam I know... The Story Behind the Man

This is Rostam I know... The Story Behind the Man

Nicheke mie!. Mnakumbuka waraka wangu kwa Mpenzi na masuala ya biashara za ngozi? Hebu muulizeni Ismail Jussa labda atawaambia ukweli kuhusu uraia wa Rostam Aziz

Asha
 
I am ending here but very soon I will reveal all things about Rostam.

Prince William... tunaomba source... hapa sio vyema kusema mambo ambayo hatuwezi confirm. Na ukileta dataz zozote.. make sure unayo vielelezo.. JF sio sehemu ya soga....
 
Prince William... tunaomba source... hapa sio vyema kusema mambo ambayo hatuwezi confirm. Na ukileta dataz zozote.. make sure unayo vielelezo.. JF sio sehemu ya soga....

hapa siyo mahakamani.. amesema analolijua na yeye ndiye source.. anayetaka ushahidi the usual place inajulikana...
 
hapa siyo mahakamani.. amesema analolijua na yeye ndiye source.. anayetaka ushahidi the usual place inajulikana...

Mkuu unajua mapigo ya moyo yatakuwa yamepanda ghafla, walidhani ya Balali wameisha yazika, ghafla wana shangaa mzimu una wafata.. ndipo tutakapo shuhudia mtu mzima povu likimtoka mdomoni!

Prince William please karibu, karibu sana utumegee tena.
 
Nani kakwambia alizaliwa TABORA, unaushahidi?!

When asking maswali kama haya.. je kuna anae na ushaidi RA anatokea wapi? Yeye mwenyewe kasema Familia yake ilihamia Tabora 1852.. sasa je na sisi tunajaribu kukataa.. vielelezo please kabla hatujasema kitu...
 
hapa siyo mahakamani.. amesema analolijua na yeye ndiye source.. anayetaka ushahidi the usual place inajulikana...

MMM, naelewa hapa sio mahakamani... but kuweza kuweka vitu ambavyo sio porojo za chini ya muembe... lazima tuweze kuwa na reference ... otherwise tunakaribisha speculation. Sidhani ni mazingira tunayojaribu kujenga hapa JF..
 
When asking maswali kama haya.. je kuna anae na ushaidi RA anatokea wapi? Yeye mwenyewe kasema Familia yake ilihamia Tabora 1852.. sasa je na sisi tunajaribu kukataa.. vielelezo please kabla hatujasema kitu...

sasa yeye aliposema familia yake imehamia Tabora 1852 uliuliza ushahidi? Na familia yake kuhamia kule ina maana gani... Mbona Al-Adawi yule Generali wa UAE ambaye anaonekana kwenye nyaraka za BRELA za Dowans mbona familia yake iko Zanzibar miaka nenda miaka miaka rudi (tena kwa karne)?

Umeambiwa alikuja Tabora kwa mjomba wake (familia yake) hiyo ina maana gani kuhusu uraia wake.. Mbona kuna watu wana familia zao upande wa pili wa Sirari na majina yamefanana sasa wakienda kule wajiite wao Wakenya?
 
MMM, naelewa hapa sio mahakamani... but kuweza kuweka vitu ambavyo sio porojo za chini ya muembe... lazima tuweze kuwa na reference ... otherwise tunakaribisha speculation. Sidhani ni mazingira tunayojaribu kujenga hapa JF..

unachotakiwa kurefute alichosema ni kutuambia kwa kadiri ujuavyo..

Rostam alizaliwa wapi na lini
alisoma shule gani ya msingi
Sekondari alisoma wapi
Alienda chuo wapi na vitu kama
mwaka 1980 alikuwa wapi?

Sasa ukija na data za namna hiyo basi ndiyo unasaidia kuonesha hoja ya PW kuwa haina msingi..
 
Huyu Prince William wa Mali-isiyo-hela au mwingine?
 
MMM, naelewa hapa sio mahakamani... but kuweza kuweka vitu ambavyo sio porojo za chini ya muembe... lazima tuweze kuwa na reference ... otherwise tunakaribisha speculation. Sidhani ni mazingira tunayojaribu kujenga hapa JF..


Skasuku, hujawahi kusikia habari ya jinamizi/mzimu?
Walio dhani ya Balali yamezikwa na Balali, na kudhani kila uchafu wote atatwishwa yeye kwa vile hayupo kujitetea.. wakae mguu sawa! mzimu wa balali haujafa na yatasanuka yote.

Kwahiyo usipate pressure, hako ni katone tu ka dondosha bado haija anza kunyesha.

Prince William, nimeisha andaa kabisa kigoda, karibu uendeleze simulizi mwana kwetu.
 
Last edited:
unachotakiwa kurefute alichosema ni kutuambia kwa kadiri ujuavyo..

Rostam alizaliwa wapi na lini
alisoma shule gani ya msingi
Sekondari alisoma wapi
Alienda chuo wapi na vitu kama
mwaka 1980 alikuwa wapi?

Sasa ukija na data za namna hiyo basi ndiyo unasaidia kuonesha hoja ya PW kuwa haina msingi..

Hapana... ninachojaribu kusema... RA alikuja nakusema historia yake.. bila yakusema shule... chuo n.k... sasa kama kuna mtu ataleta dataz different hapa.. ni vyema alete na supporting references.. lasivyo watu tunaweza kurupuka na kusema vitu ambavyo sisi tunavyosikia "Here Say"...

The onus is on the mtoa habari kuleta dataz za uhakika... kwa mfano... dataz unazowekaga on the "Cheche ..." huwa unaweka reference, and thats how the "Cheche.." becomes credible....
 
I have carefully read the last words written by Dr. Ballali before he died in US last year and my conclusion is very simple: Rostam is a shark through Kagoda. He pocketed Sh40billion using CCM campaign as a front or a shield.

"Rais Mkapa akaniita pale Ikulu akaniambia Kampe Rostam pesa ili Malaika aweze kushinda uchaguzi... Nikajibu kwamba pale benki kuu hakuna fedha labda zile za account ya madeni lakini itabidi wafuate utaratibu" DR. Ballali.

"Nikakaa na Rostam nikampa utaratibu na kumtambulisha kwa ndugu Maregesi ili amsaidie kusajili kampuni ya Kagoda... Kwa kuhofia bomu kulipuka nikashauri waingizwe na wengine wengi kwa masharti ya kuchangia Chama asilimia 40 ya malipo... Lengo lilikuwa ni kufanya ionekane kama serikali kwa wakati huo iliamua kulipa madeni." Dr. Ballali.

Now this is just the version of the dossier by Dr. Ballali where he strongly revealed how Rostam swindled the billions. The party was given only Sh10billion.

Tunaendelea kuapata mwanga zaidi sasa. Kwahiyo kina Maranda na wengineo walitumwa kupopulate hayo makampuni ilii ionekane kuwa EPA sasa imecheua! Kwa maana hiyo ilionekana kuwa kumu-expose RA kama mhusika wangekuwa wameiweka ccm pabaya. Ndugu yetu PW, tunashukuru kwa hili ila tunaomba utuwahishie hicho cha juu ili kuunganisha dots kama ulivyosema.

Ama kweli, dawa sio kuwahi TAKUKURU kwani ni kimbilio la mapapa.
 
Tukisema hivyo, ina maana yeye si MTANZANIA.

Jikumbushe Alberto Fujimori wa Peru. Aliboronga weee na siku mambo yalipomuwakia akasema hamnipati ng'ooo na akaingia zake mitini JAPAN. Japan na ugumu wao wa kutoa uraia, wakampokea kwa kusema "welcome home son". Peru hadi leo wanalialia na hawawezi kumpata.

Ndiyo madhara ya watu wenye uraia wa nchi mbili kuwa wana siasa.

- Mkuu Sikonge, hii haijakaa sawa hebu fuatailia habari za huyu Mzee Fujimori, maana ninajua ni last week tu kesi yake imeisha katika mahakama ya wananchi huko Peru na wamem-found guilty katika all the charges against humanity, anasubiri kuhukumiwa kwenda jela maisha,

- Wa-JaP walimtosa longtime sasa yuko mbele ya sheria ya wananchi aliowaibia sana na kuwaua bila makosa.

Respect.

FMEs!
 
Having inherited his uncle's business, Rostam rose as a trader trading in hides(Ngozi) before forming a road construction company called Capsian which he used to conduct shoddy business, and earned billions. This company failed to deliver according to the agreed standards in Mafia, Mwanza, Dar es Salaam, forcing Magufuli who was the then minister for works to suspend payments worth billions. That's why soon after Kikwete won the election, while Rostam and Lowassa acquired Habari Corporation, Muhingo Rweyemamu was given a special assignment to deal with the so called corrupt deals in government owned houses.

Unadai kuwa kutokana na utendaji mbaya wa Caspian, Magufuli akazuia malipo ! Mkuu, unajua kweli mikataba ya ujenzi inaendaje? Unajua nani mwenye authority ya ku-suspend payments to contractor? Unajua nani anatayarisha certificate ya malipo ya mkandarasi? Unajua athari za kukataa kulipa certificate of payment katika wakati muafaka? Mbona mnatudharau kiasi hiki?

Kutokana na Magufuli kuzuia malipo ya mkandarasi Caspian, Kikwete aliposhinda uchaguzi tu, akamwamrisha Muhigo afuatilie so-called corrupt deal katika uuzaji wa nyumba za serikali!

Au, Mkuu, wewe unaejiita Prince, ulipitiwa na badala ya kuandika when ukaandika while? Kama ni hivyo, unataka kutuambia kuwa ni Rostam na Lowassa waliotumia mbinu chafu kumchafua Magufuli baada ya zoezi safi, transparent, la kizalendo na kimaendeleo, la kuuza nyumba za serikali?


"Rais Mkapa akaniita pale Ikulu akaniambia Kampe Rostam pesa hili Malaika aweze kushinda uchaguzi...Nikajibu kwamba paple benki kuu hakuna fedha labda zile za account ya madeni lakini itabidi wafuate utaratibu" DR. Ballali.

"Nikakaa na Rostam nikampa utaratibu na kumtambulisha kwa ndugu Maregesi ili amsaidie kusajili kampuni ya Kagoda...Kwa kuhofia bomu kulipuka nikashauri waingizwe na wengine wengi kwa masharti ya kuchangia Chama asilimia 40 ya malipo...lengo lilikuwa ni kufanya ionekane kama serikali kwa wakati huo iliamua kulipa madeni." Dr. Ballali.

Hebu nione kama nimemwelewa huyu Prince William. Anadai Marehemu BALALI aliitwa na MKAPA, alaamrishwa akampe pesa ROSTAM. BALALI akakaa na huyu fisadi papa, akamfundisha namna ya kucheza mchezo, akamuunganisha na MAREGESI amsaidie kufungua kampuni ya KAGODA ili kuchota mihela. Katika juhudi za kupoteza lengo basi BALALI akashauri wezi wengi zaidi ili mradi wa kikatie Chama Tawala mgao.Bila aibu unaleta yote haya ati kuonyesha kuwa Rostam ndiye fisadi papa wakati hao waliomkaribisha, kumfundisha na hata kuingiza wezi wengine hauwaoni! Kama hii hadithi yako ni kweli, unaweza kweli kudai kuwa Rostam ni muovu kuliko Balali?

If you guys remember, Rai newspaper serialised damning articles about Magufuli in a calculated bid aimed at politically victimising him as well as reducing his popularity which was a threat to a much hurried man-Lowassa. But the funny thing is that while Rai was busy attacking Magufuli, Mr. Muhingo didnt bother to ask his boss(Rostam) how did he acquire his home in Dar while he wasnt the government's worker or civil servant.

Usitake kumharibia unaejifanya unamtetea kwa kukumbushia hii habari. Kamuulize kwanza kama angependa hii ishu irudi kwenye public domain!

Si nyumba zote zilizokuwa Upanga na Oysterbay zilikuwa za serikali. Nyingine zilikuwa za mashirika ya umma (NDC n.k.). Baadhi ya mashirika haya yaliziuza hata kabla serikali haijaamua kuuza nyumba zake.

Na haya ndiyo wachambuzi maarufu wa humu ndani wanashangilia?

Basi iko kazi!

Amandla.......
 
Kama kuna mtu yeyote ambaye kasoma na RA shule yoyote Tanzania, au popote pale, maana wazazi wake wanaonekana mambo safi wanaweza kuwa walimsomesha nje. Lakini sijawahi ona mtu yoyote kasema kasoma na RA. Na ukitaka kujua kwamba jamaa ni msanii, anagalia kwenye website ya Bunge.

Nimeweka hapo chini. Hajaandika wala alisoma wapi wala nini kwa jinsi yeye watu wanavyotaka kumfahamu si at least angeweka kwamba alisoma wapi na watu wajue. Ila ukweli utajitokeza tuu. Maana naona pale wameandika uweke School name, Location, Course/Degree/Award Start Date End Date na Level lakini msanii kaweka BA Economics na hakuna info nyingine yeyote. kwani kasomea Iran mambo yote ndio maana hajibu. Penye uongo ukweli utakuja kutokea tuu.


First Name: Rostam
Middle Name: Abdulrasul
Last Name: Azizi
Member Type: Constituency Member
Constituent: Igunga
Political Party: CHAMA CHA MAPINDUZI
Office Location: P.O. Box 11, Igunga
Office Phone: +255 754 555555
Ext.:
Office Fax:
Office E-mail: raziz@parliament.go.tz
Member Status: Current Member
Start Date: 28 December 2005
End Date: 30 August 2010
Date of Birth: 31 December 1969

EDUCATIONS
School Name/LocationCourse/Degree/Award: - BA (Economics) GRADUATE
Start Date:
End Date Level:

CERTIFICATIONS
Certification Name or Type Certification:
No. Issued Expires:
No items on list

EMPLOYMENT HISTORY
Company Name & Position From Date To Date
Research on Business: Managing Director
Africa Trade Development: Director
Africa Tanneries Ltd.: Director
Tanzania Leather Industries Ltd: Director
Caspian Construction Ltd: Director

POLITICAL EXPERIENCE
Ministry/Political Party/Location Position From To
No items on list

PUBLICATIONS
Description Published Date
No items on list

SPECIAL SKILLS
Skill Name or Description Years Experience Acquired Through Skill Level
No items on list
 
Prince William... tunaomba source... hapa sio vyema kusema mambo ambayo hatuwezi confirm. Na ukileta dataz zozote.. make sure unayo vielelezo.. JF sio sehemu ya soga....

- Prince William, heshima mbele sana mkuu lete dataz zaidi tuzichambue unajua asiyejua maana huwa haambiwi, zile dataz zimeiva tena saaafi sana hivi vilelezo vipi tena? Kama huziamini badilisha channel, yaani akupe dataz na vielelzo wewe ni nani?

- Kwa nini usitafute hivyo vielelzo halafu uje hapa umsahihishe dataz ake wkamba ni za uongo tukupe ushujaa unaoutaka, mkuu acha hizi muache Prince atumwagie tusiyoyajua, ninarudia tena reading between the linse wala hazina mikwaruzo, sasa ni kumsubiri atumwagie zaidi.

Mkulu Prince uwanja ni wako! Leta dataz mwanangu tumkome nyani mchana hapa kweupee! Duh! Wallahi I love JF.

FMEs!
 
Si nyumba zote zilizokuwa Upanga na Oysterbay zilikuwa za serikali. Nyingine zilikuwa za mashirika ya umma (NDC n.k.). ...

Mashirika ya umma si sehemu ya serikali? Unless mimi sielewi kinachoendelea hapa lakini katika mfumo wetu wa Ujamaa si ni serikali ndiyo inamiliki means of production etcetera etcetera?
 
- Mkuu Sikonge, hii haijakaa sawa hebu fuatailia habari za huyu Mzee Fujimori, maana ninajua ni last week tu kesi yake imeisha katika mahakama ya wananchi huko Peru na wamem-found guilty katika all the charges against humanity, anasubiri kuhukumiwa kwenda jela maisha,

- Wa-JaP walimtosa longtime na kumrudisha Peru kusimama mbele ya sheria ya wananchi aliowaibia sana na kuwaua bila makosa.

Respect.

FMEs!

Hakurudishwa Peru na wajapani. Alienda kutembea Chile akatiwa ndani. Ni serikali ya Chile ndiyo iliyomrudisha Peru!
 
Back
Top Bottom