This is Rostam I know... The Story Behind the Man

This is Rostam I know... The Story Behind the Man

Hivi Mwamvita Makamba yupo Vodacom Foundation kwa nguvu ya RA?

Connecting dots: CCM hawawezi kumuuliza lolote RA!
 
1) Sina Jazba
2) Watu kuuliza basic info sishangai ila nashangazwa na Mwanakijiji kwani katika porojo huwa anajifanya kama anamjuwa sana RA.
3) Wabunge wengine kweli ukichungulia tovuti ya Bunge habari zao ziko wazi, hilo sikatai, naomba unikubalie kuwa na wengi habari zipo kidogo na wengine hakuna kabisa na si RA pekee.
4) Hakuna ajabu kwa mTanzania yeyote kuwa awepo au asiwepo Tanzania mwaka fulani, nawajua waTanzania wengi ambao hawajaikanyaga kabisa Tanzania toka kuzaliwa au hawajazaliwa kabisa lakini ni waTanzania halali.
5) Awe mTanzania wa kuzaliwa au wakuomba uraia au waKujikuta tu kawa mTanzania (kama mimi, nilikuwa mTanganyika wakati wa kuzaliwa, mara nikajikuta nimekuwa mTanzania.) Hayo yote ni matokeo na hayabatilishi uTanzania wa mTanzania.
6) Watu wako tired na rumours? basi waache kuzisikiliza hizo rumours na wale mongers waache kueneza rumours za uzushi. Tunataka watu wawe wakweli na walete habari za ukweli na ushahidi, kwani RA mwenyewe yupo, na kama kuna mtu ana uhakika wa kuwa yeye ni fisadi basi wamchukulie hatuwa za kisheria au kama wanaogopa waziweke wazi hizo evidence ili wasio na uoga wachukuwe hatua. Lakini majungu na chuki na ''agenda za siri'' hazina maana.

7) Tuko pamoja lakini si mimi nnae create unnecessary arguments nadhani watu wanaokuja na habari ambazo wanashabikia bila kujuwa ukweli au bila kuwa na ukweli kabisa ndio wana create unnecessary arguments.

Naomba mwenye ushahidi japo mmoja tu, kuhusu ufisadi wa RA autowe humu. Its an open challenge! tuwache majungu!

thax for ur answer, ila kumbuka kwamba ata EPA scam ilianza kwa rumours na sasa hivi tunaevidence hela zimetolewa. I do believe people have evidence but most of them/us are cowed.

Pia Naungana na wewe 110% kuhusu uraia kunawatu ni watanzania just for marriage au kwaajili ya wazazi etc. Na ndio maana nimeuliza earlier kama RA hakufahamika/kujulikana before 1994 je alioa mtanzania ndio akawa MTZ na kama ndio hivyo je amemuoa nani?

Kuhusu wabunge wengi kutokuwa na infomation zao kwenye websites ya bunge nafikiri ni makosa makubwa maana kunasiku tutaamka asubuhi wabunge wamesaign agreement tanzania iko under Territory ya nchi nyingine. We really need to be careful... These are people who make laws in tanzania and we need them to be wazalendo and work for the people/community not for private gain. Na hii ndio maana naungana na watu hapa wanaotaka kujua more info about RA. Sio kama ni majungu bali tunataka ukakiki kwamba atutapeliwi.
 
1) Sina Jazba
arguably

2) Watu kuuliza basic info sishangai ila nashangazwa na Mwanakijiji kwani katika porojo huwa anajifanya kama anamjuwa sana RA.

simjui, najua ufisadi wake! Ndio najaribu kumjua zaidi.
3) Wabunge wengine kweli ukichungulia tovuti ya Bunge habari zao ziko wazi, hilo sikatai, naomba unikubalie kuwa na wengi habari zipo kidogo na wengine hakuna kabisa na si RA pekee.

irrelevant

4) Hakuna ajabu kwa mTanzania yeyote kuwa awepo au asiwepo Tanzania mwaka fulani, nawajua waTanzania wengi ambao hawajaikanyaga kabisa Tanzania toka kuzaliwa au hawajazaliwa kabisa lakini ni waTanzania halali.

irrelevant and op!

5) Awe mTanzania wa kuzaliwa au wakuomba uraia au waKujikuta tu kawa mTanzania (kama mimi, nilikuwa mTanganyika wakati wa kuzaliwa, mara nikajikuta nimekuwa mTanzania.) Hayo yote ni matokeo na hayabatilishi uTanzania wa mTanzania.

presumptive, irrelevant and absolutely off point! Has nothing to do with RA! It is not about you.

6) Watu wako tired na rumours? basi waache kuzisikiliza hizo rumours na wale mongers waache kueneza rumours za uzushi.

Ndiyo maana watu wanauliza maswali ili uongo, tetesi na uzushi utenganishwe kutoka kwenye ukweli. Wenye ukweli wenyewe hawapo, so tetesi hutawala!

Tunataka watu wawe wakweli na walete habari za ukweli na ushahidi, kwani RA mwenyewe yupo,

Yupo na ndiyo sababu hajaweka habari zake kamili, angetaka watu wasijaze tetesi angesema ukweli yeye kwanza. Usiposema ukweli, uongo hueneza na tetesi huzaliwa. Njia ya ukweli ni kwa RA mwenyewe kusema nilizaliwa x,y, nilisoma shule b,c na kumaliza mwaka huu, nikaenda chuo mwaka huu na niliosoma nao baadhi yao ni hawa, na cheti au ushahidi wa ninayosema ni huo. Hapo tetesi zote huzimwa, tukabakia na suala la ufisadi wake. Which bring me to:

na kama kuna mtu ana uhakika wa kuwa yeye ni fisadi basi wamchukulie hatuwa za kisheria au kama wanaogopa waziweke wazi hizo evidence ili wasio na uoga wachukuwe hatua. Lakini majungu na chuki na ''agenda za siri'' hazina maana.

This is a clear evidence of your "collasal ignorance" of the facts on the ground.. utamshtaki vipi mtu ambaye ana nguvu na mikono yake imeshikilia vyombo vya sheria? Nani anaweza kumchunguza RA wakati neno kuchunguza ni kinyume na mtu anaitwa Rostam Aziz. Bahati mbaya hakuna mtu asiye "mwoga" isipokuwa hadi misingi ya nguvu zake yote ilainishwe kwanza. So, RA hawezi kushughulikiwa katika sheria za Tanzania kwa kadiri ya kwamba nguvu yake bado ipo na uwezo wake bado umepenya hadi Ikulu!

7) Tuko pamoja lakini si mimi nnae create unnecessary arguments nadhani watu wanaokuja na habari ambazo wanashabikia bila kujuwa ukweli au bila kuwa na ukweli kabisa ndio wana create unnecessary arguments.

Kama huna majibu unasema sina majibu, kama wewe huitaji majibu wengine tunahitaji majibu; kujaribu kuwafanya watu wasitafute majibu kwa sababu kujua majibu hayo kunaweza kukutisha au kuharibu kile unachofikiria ni bure kwani iwe au isiwe, RA atafunuliwa na kuoneshwa ukweli wa yeye ni nani, ukweli ambao hata serikali yetu haiwezi kuthubutu kuuweka wazi. Usidhani haya yote yanatokea kwa bahati mbaya.. kumuangusha mtu kama RA kunahitaji utaalamu, ujanja na bahati..! Vyote vinaonekana vinapatikana sasa.

Naomba mwenye ushahidi japo mmoja tu, kuhusu ufisadi wa RA autowe humu. Its an open challenge! tuwache majungu!

ushahidi hautolewi humu ili kiwe nini? ajue karata watu walizonazo? Itakuwa ni ujinga kwa mtu yeyote kuweka ushahidi wa ufisadi wa RA kwenye forum kama hii kwa sababu yoyote ile. Atakaangwa kwa mafuta yake mwenyewe.
 
siyo raia wa Tanzania na ameweza kuingia Bungeni na kuwa na nguvu ya kuharibu usalama wa taifa, kuchota mabilioni ya fedha na kuyarudisha kupitia Vodacom foundation huku wadanganyika wakiamini ni misaada tu.

This must be one of the most insidious thread I have ever come across in this forum. Though we pretend otherwise, it is just another exercise in hate mongering and race baiting.

Hivi kweli hatuwezi kumkosoa mtu bila kuingiza mambo ya asili yake? Tunaendeleza yale tuliyowafanyia wazalendo wakina Jenerali Ulimwengu na watumishi wengine ambao kosa lao lilikuwa ni kutoka kabila lililoko nchi ya jirani. Tunaendeleza yale ambayo jirani zetu wa Zambia walinfanyia rais wao wa kwanza. Yale ambayo wenzetu wa Afrika Magharibi wamekuwa wakifanyiana, Ivory Coast na Allasane Quattara.

Tumefikia mahali pa kumlaani kwa kusaidia jamii. Hivi tunaona bora angefanya kama walivyofanya wamatumbi wenzetu walioishia ku-air freight magari ya kifahari?

Mheshimiwa Rostam ni mtanzania mpaka hapo itakapothibitishwa vingine, kangaroo courts not withstanding. Ahukumiwe kama Rostam na si kwa hizi hadithi za alinacha kuhusiana na asili yake. Katika hilo bunge letu tukufu wangapi wameweka wazi kile wanachodai ni mafanikio yao ya elimu? Mnataka muambiwe kuwa wengine walijisomea kupitia correspondence schools? Sisi ambao tunaabudu vyeti kupita kiasi?

Huyu mbunge anagombea katika jimbo analodai ana asili nalo na wananchi wa huko wanamchagua! Bila shaka wao ndio wenye uhakika zaidi wa asili yake kuliko sisi "armchair generals" ambao kwa sababu zetu binafsi tumeamua kuendesha vendetta dhidi yake! Kama Rostam ni mwizi, kama ni fisadi ni tabia yake kama Rostam na si kutokana na asili yake. Iwe Igunga au Iran!

We can surely do better than this!

Amandla......
 
If RA has reached where he has reached while not being a Tanzanian, then the insult will be worse than the photo of mkuu ndani ya zeutamu.

Though raising issue ya uraia ni sensitive and controversial, sioni kwanini ipingwe. Iwe crushed once and for all ili tuikija kudiscuss issue ya ufisadi tunajua kama tumnamweka kizimbani Mtanzania au la?
Why should we take it for granted kua ni Mtanzania?
 
Shangazi. Tema mate chini. Haunijui, sikujui. Umeingia juzi tu ( machi 2009) basi na wewe unataka kuanza kunijaribu? Haushangai hao wakina Mzee Mwanakijiji, FmeS na wengine waliokutangulia hata mara moja hawajasema nimetumwa na hao unaowaita mapapa pamoja na kuwa tuko pande tofauti za hoja? Hapa tunajadiliana kiungwana. Kama kwako kukosolewa ni uadui basi hapa hapakufai. Inawezekana umesoma kuliko mimi lakini kwa mfano huu, naona haujaelimika. Huu ni ushauri wa bure na sina haja ya kujibishana na wewe.
Amandla.........

Unajua Fundi Mchundo mimi nimejifunza kitu kimoja watu niwepesi sana wa kuhukumu kuliko kufikiri, watu wanashindwa kuhoji na kutathimini mpaka wanajikuta wadondokea kwenye hukumu moja kwa moja.
 
kwani kuna ubaya mtu kutumwa?

ahhh hebu nimsikilize abbas mzee wa EGYPTIAN hapa mie
 
Matusi ya nini? Raia wa Iran na Canada ndiye mbunge wa Igunga! Muogope Mungu.

Shangazi. Tema mate chini. Haunijui, sikujui. Umeingia juzi tu ( machi 2009) basi na wewe unataka kuanza kunijaribu? Haushangai hao wakina Mzee Mwanakijiji, FmeS na wengine waliokutangulia hata mara moja hawajasema nimetumwa na hao unaowaita mapapa pamoja na kuwa tuko pande tofauti za hoja? Hapa tunajadiliana kiungwana. Kama kwako kukosolewa ni uadui basi hapa hapakufai. Inawezekana umesoma kuliko mimi lakini kwa mfano huu, naona haujaelimika. Huu ni ushauri wa bure na sina haja ya kujibishana na wewe.

Amandla.........

Fundi mchundo na wewe mtanzania kweli wakati hujui kwamba upumbavu si tusi? Ni just hali ya kutokujua baya na zuri kama wewe usivyojua ufisadi ni dhambi. Sasa kwa nini huyo RA asemwe na kila mtu? Ok Mengi tutasema ni biashara then wasiofanya biashara wanamuonea wivu na kumsakama kwa lipi. Dhambi hii kamwe hautaikwepa na utahukumiwa bila kujali wewe ni dini gani. Eti kazaliwa Tabora anaongea kinyamwezi, hayo hayatoshi kumfanya yeye Mtanzania halisi.

AMKA! TAFAKARI! CHUKUA HATUA!

Pili, umesema nimejiunga march, Kila kitu kina mwanzo hata wewe kuna siku ulijiunga kama mimi na kujiunga muda mrefu si maana kwamba unaweza kuchangiua vizuri saaana. Na ndio maana hao unaowasifia hawajaleta hoja unazoleta.

TUANGALIE NJAA ZETU ZITATUPONZA.

SAA YA UKOMBOZI NI SASA!
 
Kwani lini nimekwambia mimi ni mtanzania? Utanzania wangu kama upo, hauhusiani hata kidogo na uelewa wangu wa lugha ya kiswahili. Nijuavyo mimi ni kuwa kumuita mtu mpumbavu ni kumtukana. Hii ni tofauti na kumuita mjinga. Kumwambia mtu aache upumbavu ni sawa na kumuambia kuwa ni mpumbavu. Lakini kama kwenu ni sifa kuitwa mpumbavu, basi iwe hivyo.

Kwani tangu lini imekuwa kutokupendwa au kusakamwa na wengi ndiyo ushahidi wa makosa yako? Ingekuwa hivi basi sisi wamisheni tuliishapotea njia maana huyo tunaemfuata pamoja na kuhukumiwa na mwenziwe lakini hao wenzake walipopewa chaguo, waliona heri ya jambazi kuliko yeye!

Uko sahihi unaposema kuwa kuongea kinyamwezi si ushahidi tosha wa utanzania. Basi badala ya kusema tu si mtanzania basi na nyie tuleteeni ushahidi kuwa si mzaliwa wa sehemu anayodai. Hakuna hata mmoja wenu aliyeleta kumbukumbu ya hospitali kuonyesha kuwa hakuna mtoto aitwae Rostam alizaliwa wakati huo! Mnacholeta ni simulizi tu. Wewe unadai ni raia wa Iran na Canada. Basi tuonyeshe ushahidi wa hayo unayoyasema!

Sina tatizo la wewe kuchangia hata kama ulijiunga jana. Ninachokishangaa ni wewe kuanza kunihukumu kuwa nimetumwa na Rostam na kuniambia sijasoma! Kwa vile wewe ni msomi , basi kabla ya kufanya hivi basi angalau ungesoma posting zangu zilizopita ili ujue mimi ni mtu wa namna gani? Lakini pamoja na yote hayo, ni haki yako bado kunichukulia unavyotaka, Kibaraka, juha n.k. Ni uhuru wako na haki yako kama ilivyo haki yangu kukupinga ninapoona umekosea.

Nimewasifia wakina Mzee Mwanakijiji, FMeS na wengine kwa kuelewa kuwa mjadala si uadui. Hakuna tunaegombana nae humu hadi itulazimu kuwapigia kelele. Ndio maana nikasema kuwa inawezekana umesoma lakini haujaelimika. Unasambaza chuki kwa kisingizio cha uzalendo! Watu kama nyinyi, hayo mapambano yakiiva mnakuwa awol! Tumewaona na kuwasikia wengi. Wewe si wa kwanza na hautakuwa wa mwisho.

Naishia hapa, na sitarudia tena kujibishana nawe.

Amandla......
 
This must be one of the most insidious thread I have ever come across in this forum. Though we pretend otherwise, it is just another exercise in hate mongering and race baiting.

mtu mwenye mawazo ya kibaguzi hangojei thread yoyote ile wala haitaji kushawishiwa. Kwa sababu racism na other forms of discrimination are irrational ndivyo ilivyo hata kwenye hili. Hivyo usishangae kuona watu wanaleta hisia za rangi n.k Wanaofanya hivyo ni wazi wanajionesha motivation yao ni nini.

Lakini kwa vile mtu ana rangi au kabila tofauti basi haina maana kuuliza Utanzania wake ni kujaribu kuuliza rangi yake. Rostam siyo Mtu wa kwanza mweeenye asili ya nje ya Afrika Tanzania. Wapo Watanzania wengi na waliofanikiwa (au kutofanikiwa sana) ambao uraia wao hauhojiwi kwa sababu watu wanawajua. Utaona watu kama kina Manji (hakuna mtu anayeleta maswali juu ya asili yao kwani watu wengi wanawajua); watu kama kina Bakhresa, Premji n.k

Hadii hivi sasa hakuna mtu ambaye ameweza kuweka hata historia fupi ya RA kabla ya 1994. Forget alizaliwa wapi (kwani kwenye uraia wetu hiyo ni irrerelevant, kwetu ni uraia wa wazazi na miaka ulizaliwa ndiyo inaingia). Mtu anaweza kuzaliwa Kigombero na asiwe Mtanzania na aliyezaliwa London akawa Mtanzania. Baba yake Rostam ni Muiran na hajawahi kuwa Mtanzania, Rostam amekuwa vipi Mtanzania?

Kuwa na passport haina maana mtu ni Mtanzania kwani Jenerali aliwahi kuwa na passport na akavuliwa Utanzania wake vile vile na kulazimishwa kuomba tena.

Tusiwatie hofu kwamba kwa kuhoji background ya RA tunataka kuleta mambo hate mongering n.k mtu anayetaka kuwa na hayo haitaji sababu.
 
This must be one of the most insidious thread I have ever come across in this forum. Though we pretend otherwise, it is just another exercise in hate mongering and race baiting.

Hivi kweli hatuwezi kumkosoa mtu bila kuingiza mambo ya asili yake? Tunaendeleza yale tuliyowafanyia wazalendo wakina Jenerali Ulimwengu na watumishi wengine ambao kosa lao lilikuwa ni kutoka kabila lililoko nchi ya jirani. Tunaendeleza yale ambayo jirani zetu wa Zambia walinfanyia rais wao wa kwanza. Yale ambayo wenzetu wa Afrika Magharibi wamekuwa wakifanyiana, Ivory Coast na Allasane Quattara.

Tumefikia mahali pa kumlaani kwa kusaidia jamii. Hivi tunaona bora angefanya kama walivyofanya wamatumbi wenzetu walioishia ku-air freight magari ya kifahari?

Mheshimiwa Rostam ni mtanzania mpaka hapo itakapothibitishwa vingine, kangaroo courts not withstanding. Ahukumiwe kama Rostam na si kwa hizi hadithi za alinacha kuhusiana na asili yake. Katika hilo bunge letu tukufu wangapi wameweka wazi kile wanachodai ni mafanikio yao ya elimu? Mnataka muambiwe kuwa wengine walijisomea kupitia correspondence schools? Sisi ambao tunaabudu vyeti kupita kiasi?

Huyu mbunge anagombea katika jimbo analodai ana asili nalo na wananchi wa huko wanamchagua! Bila shaka wao ndio wenye uhakika zaidi wa asili yake kuliko sisi "armchair generals" ambao kwa sababu zetu binafsi tumeamua kuendesha vendetta dhidi yake! Kama Rostam ni mwizi, kama ni fisadi ni tabia yake kama Rostam na si kutokana na asili yake. Iwe Igunga au Iran!

We can surely do better than this!

Amandla......

Sasa watu wa Tabora si ndiyo sisi na siye twasema tuna mashaka na URAIA wake. Jamaa alitumia PESA zake na UMASIKINI wa Wanyamwezi wangu hapa na kujinyakulia UBUNGE. Huku akipambwa na CCM, hakuna jambo lingeshindikana. Wanyamwezi walidanganywa weee na wakaamini. Hawa watu baada ya kupewa mwanga wajue ni mtu gani wanachagua, FM unakuja na maneno ya UBAGUZI.

Kwa nini hilo jambo liko VIDOLENI kako siku zote? Hata kama siye ni WABAGUZI, so what? Mbona Waizrael ni wabaguzi na wala hawajali kitu? Wakijisikia kutembeza kipigo kwa Waarabu wanafanya hivyo. Kuna mtu kasema fyokoo? Wahindi wanavyotubagua palepale Tanzania umesema nini? Italiano huko Zenji wanatesa, mmesema nini? Sisi tukianza kuwapa watu mwanga wa kuacha kuwatetemeka wageni, inakuwa kelele.

Kwa maana hii tutazidi kunyanyaswa na mtu akisema ataambiwa, kelele wee, wee mbaguzi.

Asante Mwana KJJ kwa hayo maelezo yako juu. Somo inabidi lielezwe sana hadi Wanyamwezi wangu Igunga waache kupapatikia ngozi nyeupe na kuanza kuwaona kama watu wa kawaida.

Sisi Waafrica, tumekosa nini kwa Mungu? Kila kitu twaiga. Ila siku zote twaiga vile tu vitatufanya tuwe ne inferiolity complex. Mzungu, Waarabu, Wahindi ni watu tu kama sisi. Akijifanya mjanja kwetu basi tumwadhibu bila kujali eti mtu atakuja kusema sisi wabaguzi. Hebu nenda German na kajifanye mjanja, utaona joto la SKIN HEAD.
 
Kuna watu wawili ambao wamejaribu kunipa taarifa ya asili ya Rostam... wote wawili walipobanwa juu ya some specifics hakuna aliyerudi.... Rostam atakuwa na nguvu as long as kwamba kuna watu wanafurahia fedha yake.. once these people wataona hela yake ni ya muda atageukwa na siri yake ambayo inajulikana hadi TISS itafunuliwa.. hapo ndipo watakapojua watu he has been the biggest con artist to enter the Tanzania political stage...

MM na wana JF wote, tafadhali msisahau kuwa RA ni surrogate president of Tanzania.
 
MM na wana JF wote, tafadhali msisahau kuwa RA ni surrogate president of Tanzania.

unajua unachokisema ni kikubwa mno kuliko unavyoashiria..

a. Inawezekana vipi kijana wa miaka 25 kutoka asikojulikana kuweza kugombea Ubunge na kushinda?

b. Akiwa na miaka 30 hivi kijana huyo huyo anakuwa mtu mwenye nguvu kabisa nchini kiasi cha kuitwa na jarida mojawapo kuwa ni "King Maker"?

c. Akiwa chini ya miaka 40 anaweza kuwafanya watu kama kina Ruhinda, Kingunge, Mkapa, Mwang'onda, n.k kuweza kukaa chini na kugwaya mbele zake?

d. Inakuwaje mtu huyo kuweza kupanga safu yake ya mashambulizi kuanzia Ikulu.. na hakuna mtu anayeweza kumnyoshea kidole hata gizani?

Asili ya nguvu zake ni nini? Watu wengi wanafikiri ni fedha yake... Hili si kweli kwani watu wenye fedha wamekuwepo wengi kabla yake kuna watu waliokuwa waitikise nchi hii kama wangetaka.. kina Rajpar (wengine hata hawamkumbuki huyu), kina Somaia (yule wa Tanga), na wengine wengi.

Mzee Mengi aliwahi kuuliza swali ambalo lina umuhimu kweli, "kiburi chake anatoa wapi"?
 
I heard this through the grape vine that RA had the backing of the Iranian Government. His mission was to infiltrate the political field of Tanzania so as to insure and protect business and strategic interests of Iran since Tanzania to a large extent has appeared neutral in conflicts between West and East. Proof I hear you ask!! Now how can I seriously get proof for the above, I mean think about it? Sometimes the proof is in the pudding. Carefully study the man if that ain't proof enough then nothing will be hata nilete signed document ya President wa Iran.
 
This must be one of the most insidious thread I have ever come across in this forum. Though we pretend otherwise, it is just another exercise in hate mongering and race baiting.

Hivi kweli hatuwezi kumkosoa mtu bila kuingiza mambo ya asili yake? Tunaendeleza yale tuliyowafanyia wazalendo wakina Jenerali Ulimwengu na watumishi wengine ambao kosa lao lilikuwa ni kutoka kabila lililoko nchi ya jirani. Tunaendeleza yale ambayo jirani zetu wa Zambia walinfanyia rais wao wa kwanza. Yale ambayo wenzetu wa Afrika Magharibi wamekuwa wakifanyiana, Ivory Coast na Allasane Quattara.

Tumefikia mahali pa kumlaani kwa kusaidia jamii. Hivi tunaona bora angefanya kama walivyofanya wamatumbi wenzetu walioishia ku-air freight magari ya kifahari?

Mheshimiwa Rostam ni mtanzania mpaka hapo itakapothibitishwa vingine, kangaroo courts not withstanding. Ahukumiwe kama Rostam na si kwa hizi hadithi za alinacha kuhusiana na asili yake. Katika hilo bunge letu tukufu wangapi wameweka wazi kile wanachodai ni mafanikio yao ya elimu? Mnataka muambiwe kuwa wengine walijisomea kupitia correspondence schools? Sisi ambao tunaabudu vyeti kupita kiasi?

Huyu mbunge anagombea katika jimbo analodai ana asili nalo na wananchi wa huko wanamchagua! Bila shaka wao ndio wenye uhakika zaidi wa asili yake kuliko sisi "armchair generals" ambao kwa sababu zetu binafsi tumeamua kuendesha vendetta dhidi yake! Kama Rostam ni mwizi, kama ni fisadi ni tabia yake kama Rostam na si kutokana na asili yake. Iwe Igunga au Iran!

We can surely do better than this!

Amandla......

Kama wananchi tunahaki za kuhoji kuhusu Uraia wa RA na kiongozi yoyote ambaye hatuko convice he is legal immigrant. This is a democratic country we have that power to ask! Why are you so concern? Hutaki wananchi tupractice our democratic rights and the right to have/ access information with respect to our political representative? I really can’t understand you whatsoever, to me you seem like you are trying to be a dictator!!! As well as trying to undermine citizen rights to information.

You are confusing me and if you are close to RA, then mwambie wananchi tunademand right of information regarding his immigration status.
 
unajua unachokisema ni kikubwa mno kuliko unavyoashiria..

a. Inawezekana vipi kijana wa miaka 25 kutoka asikojulikana kuweza kugombea Ubunge na kushinda?

b. Akiwa na miaka 30 hivi kijana huyo huyo anakuwa mtu mwenye nguvu kabisa nchini kiasi cha kuitwa na jarida mojawapo kuwa ni "King Maker"?

c. Akiwa chini ya miaka 40 anaweza kuwafanya watu kama kina Ruhinda, Kingunge, Mkapa, Mwang'onda, n.k kuweza kukaa chini na kugwaya mbele zake?

d. Inakuwaje mtu huyo kuweza kupanga safu yake ya mashambulizi kuanzia Ikulu.. na hakuna mtu anayeweza kumnyoshea kidole hata gizani?

Asili ya nguvu zake ni nini? Watu wengi wanafikiri ni fedha yake... Hili si kweli kwani watu wenye fedha wamekuwepo wengi kabla yake kuna watu waliokuwa waitikise nchi hii kama wangetaka.. kina Rajpar (wengine hata hawamkumbuki huyu), kina Somaia (yule wa Tanga), na wengine wengi.

Mzee Mengi aliwahi kuuliza swali ambalo lina umuhimu kweli, "kiburi chake anatoa wapi"?

a.Maswali yako yanajijibu yenyewe, Moja wananchi wa Igunga sio wapuuzi wa kumchagua mtu amabye sio Raia wa Tanzania na mtu ambaye hawamfahamu. Sehemu nyingi mikoani lazima wahakikishe kuwa wewe ni mzawa hata ukitaka kugombea ujumbe wa nyumba kumi.

b.Swala la Nguvu za RA Mimi ninaamini wewe mwanakijiji ni mnafiki,kwasababu ukweli unaufahamu ,kwamba Nguvu zake zinatokana na CCM Ila kwa makusudi hutaki kukili hili. CCM ikitoka madarakani hatakuwa na nguvu hata robo.

c.Je ni kwanini ameweza kuwanyamazisha kina Kingunge n.k RA Ni kama unamongelea Karl Rove kwenye Ikulu ya Bush au David Axelrod na David Plouffe kwenye Ikulu ya Obama ambao wanasauti kuliko maseneta wa miaka mingi katika US senate, Hawa wawili waliweza kupangua ngome za Bill Clinton na Mark Penn kwahiyo nguvu yao katika chama sio ndogo,na kwa Rais, the same RA aliweza kuwapangua wagombea wengine wote katika kumweka kikwete juu, hivyo kuhoji uwezo wake utakuwa mtu ambaye hukubaliani na ukweli.

D. Kuhusu RA kupanda too fast si kitu cha kushangaza kama unamkumbuka yule Mgobembea wa usenetor wa illinois 2004, Kwa jina la Barack Obama ambye sasa kakilia centre ya Uongozi wa Dunia kama Rais wa marekani ambaye mpaka sasa kuna watu wengi hawajui wala hawaamini alivyofika alipo, hakuwepo kwenye ramani ya siasa miaka 5 iliyopita lakini kwasasa ni raisi wa marekani. Kuhusu kupanda kwenye hatamu za uongozi inategemeana na skills ulizonazo, kuna watu ambao wako very fast and they know how to get things done in progressing themselves kwahiyo si kitu cha kushangaa katika dunia ya leo tunayoisshi amabyo ni very dynamic.

E. Ili tuweze kusafisha Ufisadi wa Tanzania inabidi tuisafishe kamati kuu ya CCM, Maana wao ndio wafaidika wa aina zote za ufisadi. binafsi ninaona tunazunguka mbuyu, ni kama baba yako kajamba na unajua ila unajitahidi kumsingizia mdogo wako ili usimguse mzee.

Tukimgusa mzeee which means amabye ni CCM , tutasafisha hali ya hewa yote, Kimantiki Ufisadi wa Tanzania si mtu, ni system ambayo tunahitaji tu i restore upya.

Mfano. watu baada ya Lowassa kujiuzuru mlizani itakuwa ndio chanzo cha wengine (kufungwa,-hatuhitaji kesi ushaidi upo) lakini tangia Lowassa angoke tunatiana viini macho tu mahakamani, porojo nyingi..........the same RA akipelekwa mahakamani itakuwa porojo tu na Ufisadi mwingine utaendelea.....

The only way is to take CCM on
 
unajua unachokisema ni kikubwa mno kuliko unavyoashiria..

a. Inawezekana vipi kijana wa miaka 25 kutoka asikojulikana kuweza kugombea Ubunge na kushinda?

b. Akiwa na miaka 30 hivi kijana huyo huyo anakuwa mtu mwenye nguvu kabisa nchini kiasi cha kuitwa na jarida mojawapo kuwa ni "King Maker"?

c. Akiwa chini ya miaka 40 anaweza kuwafanya watu kama kina Ruhinda, Kingunge, Mkapa, Mwang'onda, n.k kuweza kukaa chini na kugwaya mbele zake?

d. Inakuwaje mtu huyo kuweza kupanga safu yake ya mashambulizi kuanzia Ikulu.. na hakuna mtu anayeweza kumnyoshea kidole hata gizani?

Asili ya nguvu zake ni nini? Watu wengi wanafikiri ni fedha yake... Hili si kweli kwani watu wenye fedha wamekuwepo wengi kabla yake kuna watu waliokuwa waitikise nchi hii kama wangetaka.. kina Rajpar (wengine hata hawamkumbuki huyu), kina Somaia (yule wa Tanga), na wengine wengi.

Mzee Mengi aliwahi kuuliza swali ambalo lina umuhimu kweli, "kiburi chake anatoa wapi"?

Hizo ni fikra duni na chuki na ubaguzi wa hali ya juu!

Jee unatamani ungekewa ni wewe?

Au una asili ya wapi wewe? kwani kuna makabila ya Tanzania yanayojulikana kwa roho mbaya na uhasidi, nadhani wewe unatoka katika moja ya makabila hayo! wa
 
Mara Iringa mara Tanga,mara Mwanza...i would with the first bet maana Tanga anadai kasoma shule na Mwanza hajui politics za huko
 
Mwanakijiji,

Hivi RA sasa amekuwa na nguvu nyingi kama zile za Samsoni??

Je hakuna Delila wa kujua chanzo cha nguvu za RA??

Kwi kwi kwi!
 
Kama wananchi tunahaki za kuhoji kuhusu Uraia wa RA na kiongozi yoyote ambaye hatuko convice he is legal immigrant. This is a democratic country we have that power to ask! Why are you so concern? Hutaki wananchi tupractice our democratic rights and the right to have/ access information with respect to our political representative? I really can’t understand you whatsoever, to me you seem like you are trying to be a dictator!!! As well as trying to undermine citizen rights to information.

You are confusing me and if you are close to RA, then mwambie wananchi tunademand right of information regarding his immigration status.

Kwikwi.. usikute ndo lifisadi papa lenyewe.. si unajua haya mambo ya majina nyuma ya pazia mkuu?
 
Back
Top Bottom