This is Rostam I know... The Story Behind the Man

This is Rostam I know... The Story Behind the Man

mtu mwenye mawazo ya kibaguzi hangojei thread yoyote ile wala haitaji kushawishiwa. Kwa sababu racism na other forms of discrimination are irrational ndivyo ilivyo hata kwenye hili. Hivyo usishangae kuona watu wanaleta hisia za rangi n.k Wanaofanya hivyo ni wazi wanajionesha motivation yao ni nini.

Lakini kwa vile mtu ana rangi au kabila tofauti basi haina maana kuuliza Utanzania wake ni kujaribu kuuliza rangi yake. Rostam siyo Mtu wa kwanza mweeenye asili ya nje ya Afrika Tanzania. Wapo Watanzania wengi na waliofanikiwa (au kutofanikiwa sana) ambao uraia wao hauhojiwi kwa sababu watu wanawajua. Utaona watu kama kina Manji (hakuna mtu anayeleta maswali juu ya asili yao kwani watu wengi wanawajua); watu kama kina Bakhresa, Premji n.k

Hadii hivi sasa hakuna mtu ambaye ameweza kuweka hata historia fupi ya RA kabla ya 1994. Forget alizaliwa wapi (kwani kwenye uraia wetu hiyo ni irrerelevant, kwetu ni uraia wa wazazi na miaka ulizaliwa ndiyo inaingia). Mtu anaweza kuzaliwa Kigombero na asiwe Mtanzania na aliyezaliwa London akawa Mtanzania. Baba yake Rostam ni Muiran na hajawahi kuwa Mtanzania, Rostam amekuwa vipi Mtanzania?

Kuwa na passport haina maana mtu ni Mtanzania kwani Jenerali aliwahi kuwa na passport na akavuliwa Utanzania wake vile vile na kulazimishwa kuomba tena.

Tusiwatie hofu kwamba kwa kuhoji background ya RA tunataka kuleta mambo hate mongering n.k mtu anayetaka kuwa na hayo haitaji sababu.

Mkuu, with all due respects, I stand by my statement. Hakuna wakati katika ambapo tumehoji uraia wa mtu bila kuwa na nia ya kumbomoa au kumkomoa huyo mtu. Tumewadhalilisha wazalendo kama Jenerali Ulimwengu kwa misingi hiyo hiyo. Na ni hicho hicho kinachofanyika humu.

Kusema kuwa hakuna mtu aliyetokeza kuweka wazi historia ya Rostam ni kutupotosha. Hilo swali limeulizwa katika media ambapo ni sehemu ndogo mno ya watanzania wenye access nayo. Mpaka leo sijasikia mtu anaetoka katika jimbo la uchaguzi la Rostam ambae ameweza kusema wazi wazi kuwa Rostam hana mizizi katika jimbo hilo.Huyu jamaa hakuteuliwa kuwa mbunge, aligombea. Tena katika jimbo ambalo anadai alizaliwa. Unataka kuniambia kuwa hao wapinzani wake huko jimboni walishindwa kweli kuhoji uhalali wake? Hao walioshindana nao hawakuweza kweli kupata wazee wa kijiji ambao hawana kumbukumbu ya uzaliwa au kuwepo kwa Rostam nchini mpaka hivi karibuni? Walishindwa kuwapata watu ambao wangeweza kuthibitisha kuwa Rostam alikuja kumtembelea mjomba wake (kama ilivyodaiwa na baadhi yenu) ndipo akahamia! Hata sasa hivi, hao investigative journalists wa magazeti yetu wanashindwa nini kufuatilia katika mahospitali, shule, archives za mitihani ya shule ili kuonyesha kweli huyu jamaa ni imposter? Hamfanyi yote hayo badala yake mnatuuliza sisi, the privileged few, kama tunaweza kuthibitisha historia yake! Ignoring the fact kuwa wengi wetu hata kuipata hiyo Igunga kwenye ramani itakuwa ni shida. Unadai baba yake ni miran kwa hiyo hakuwa raia! Una maanisha kuwa baba yake hakuwahi kuja Tanzania? Kama alikuja Tanzania, alikuja lini humu nchini na sheria inasema nini kuhusu wale waliokuja nchini kabla ya uhuru? Again, unaleta insinuations bila kuzi-substantiate. Kwa kujua kuwa inawezekana kuwa Rostam kweli alizaliwa Tanzania basi unasogeza magoli kwa kuhoji uraia wa baba yake. Kitu gani kitafuata baada ya hapo? Uraia wa babu yake? Kwa mtazamo wako basi wale wote ambao ni dhahiri kuwa waliowatangulia walitoka nje ya Afrika watakuwa suspect. Kuanzia wakina marehemu Jamal hadi wakina Issa Shivji!

Kama nilvyosema hapo awali. Tunafanya hivi kwa ville ya chuki. Jenerali hakuvuliwa utanzania ati kwa sababu uzalendo wake ulitiliwa mashaka. La hasha. Alikosana na wakubwa na akafanyiwa hivyo kushikishwa adabu. Asingetumia haki yake ya kuhoji matendo ya waliomzidi angeendelea kupeta. Hao wakina Bakhresa, Manji, Premji, unaodai tunawajua, nani ana uhakika wa uraia wa wazazi wao?

Kama kweli tunataka kuhakikisha kuwa tunawakilishwa na watanzania tu basi tudai kuwa wabunge WOTE watueleze uzaliwa wao, wa baba zao na wa babu zao. Kwa kufanya tunavyofanya, ni dhahiri kuwa kinachotuongoza si uzalendo bali ni chuki na nia ya kutaka kumkomoa mhusika! Ndiyo maana kuna mtu/watu wanazungumzia kuwachoma moto wahindi wote na sote tunakaa kimya!

Kama vile alivyofanya Lee Atwater nanyi mnamtumia ( pengine bila kujua) huyu na wahindi wengine ( kwa wengi wetu Rostam ni mhindi) waliotajwa na Mengi kuthibitisha uhalali wa chuki zetu dhidi ya wahindi. Rostam anakuwa Willie Horton wenu.

Amandla........
 
Thanks you all for contributions, I am flying to London and will post another credible data about RA in Mwanza as well as YA. Sio kwamba tunabagua watu, hapana. Tatizo ni kwamba kuna baadhi ya Watanzania wachache wanataka kutufanya mamilioni kama hatuna akili.

Wewe umeshatuuibia basi kaa kimya ule kuku sasa unapoanza kurap mbele yetu kupitia hizi luninga zenu ni upuuzi mtupu. Tulia kula kuku na ubunge au mavyombo yako ya habari lakini usijifanye kiranja wetu.
 
Kwanza Iran hawakai wahindi, Yeye ni mwarabu.

Rostam anakuwa Willie Horton wenu. SIO WETU NI WAKO WEWE KIBARAKA WAKE
 
Naamini iko siku pumba na mahindi vitajitenga na watanzania vibaraka hakika watajutia. Najua wanaotetea ufisadi ni njaa tu inawasukuma na si vinginevyo ila wajua SAA YA UKOMBOZI NI SASA
 
RA is a very opportunist guy jamani, na kukua kwake mpaka kufikia hapa ni pamoja na ujanja wake na pia imani aliyopewa na chama chake CCM, unajua CCM kwa ujinga wao walimsaidia kupata pesa ambazo zimetumika kwenye uchaguzi 2005 na jamaa akafanya kweli...kwahiyo hata nchi nzima muandamane kama CCM haitaweza kumgusa tutakuwa tunayakumbatia maji wajomba...wanaofanya kazi vodacom watajua jinsi RA alivyokuwa sharp...he used to own only 19% of the company but now owns it 35%..na kama ulisikia sheria za kampuni za simu lazima zimilikiwe na mtanzania by 35% yeye ameshawachemsha TCRA kwamba lazima hiyo sheria iangaliwe upya..nia yake apige bei ile 35% yake....do u ever know how worth it is...hata ukichanganya dowans,kagoda..hazifikii thamani yake....

so he has taken his chances, risks and now he is well protected...kuna hili la kwamba JK ameoa ndugu yake na RA..naomba nithibitishiwe kama kuna mwenye ujuzi nalo!!!

na tusisahau yeye ndiye aliyekuwa mweka hazina wa CCM..which implies ni mweka hazina wa serikali...which implies again mweka hazina wa nchi.....CCM is the ruling party..CCM ni serikali na serikali ni CCM kwa wale wasiojua hilo.......
 
Thanks you all for contributions, I am flying to London and will post another credible data about RA in Mwanza as well as YA. Sio kwamba tunabagua watu, hapana. Tatizo ni kwamba kuna baadhi ya Watanzania wachache wanataka kutufanya mamilioni kama hatuna akili.

Wewe umeshatuuibia basi kaa kimya ule kuku sasa unapoanza kurap mbele yetu kupitia hizi luninga zenu ni upuuzi mtupu. Tulia kula kuku na ubunge au mavyombo yako ya habari lakini usijifanye kiranja wetu.

Prince nakuona kama mkombozi vile? sasa hivi anza na dozi ndogo ndogo then spare big ones for 2010 blast!
 
Thanks you all for contributions, I am flying to London and will post another credible data about RA in Mwanza as well as YA. Sio kwamba tunabagua watu, hapana. Tatizo ni kwamba kuna baadhi ya Watanzania wachache wanataka kutufanya mamilioni kama hatuna akili.

Wewe umeshatuuibia basi kaa kimya ule kuku sasa unapoanza kurap mbele yetu kupitia hizi luninga zenu ni upuuzi mtupu. Tulia kula kuku na ubunge au mavyombo yako ya habari lakini usijifanye kiranja wetu.

Prince William,

Asante sana kwa mchango wako. Tuko pamoja katika hii vita pevu. Tanzania inaliwa na wanadhani wana meno ya kudumu, kumbe la hasha.

Tuko tayari kujitoa muhanga kwenye vita vya ukombozi tunavyoamini ni katika kupata haki na kuwanyang'anya haya majangili ya mchana na washirika wao yanayojiita viongozi wa nchi na mashirika yetu ya umma, mali na Rasilimali za nchi ambazo ni zetu sote.
 
I am writing this for my fellow great thinkers.

If anyone of you have studied carefully the people behind the mega corruption scandals in Kenya and Tanzania, you will realise that they have similarities in module operandi as well as their origin.

Although in planning and executing these mega scandals, they are always supported by their puppets from the government or the ruling party. And both scandals are in one way or another connected to financing elections.

I might be seen as a racist in this matter but since this is the reality, let me just say it.

Below are the key similarities between TZ AND Kenya corruption.

a) Both were planned and hatched by Asian tycoons in collaboration with their local puppets(Kamlesh Patni, Tanil Somaiya, the Jailed Somaiya in Kenya who is wanted in TZ, Rostam Aziz, Karim Kurji, Subhash Patel, Sailesg Vithlani, Jeetu Patel, etc)
b) Nearly 80percent of these mega scandals involve the Central Banks(BOT, CBK)
c) All these scandals have strong connections to financing elections(Goldenbag, Anglo Leasing, EPA)
d) 90 percent of these scandals involve international procurement or tendering process
e)Majority of these scandals are either left stranded or die a natural death before the court of law.
f)Its investigation takes so long time for the unknown reason.

As a serious nation, we should not hesitate to fight corruption just because in so doing we will be dubbed racism. We know that there are our fellow Africans trusted by the public who have also collaborated with these Asian Tycoons including Vijisenti, Uhuru Kenyatta, Gidion Moi, Nicholas Biwot, Peter Noni and many more.

The time has come for Africans to say no to grand corruption no matter in so doing we are being seen as racists. When Iddi Simba launched the empowerment program under Uzawa, the same puppets strongly opposed him saying, he was preaching racism.

A nation of 40million like Tanzania can't be held hostage by few Asians who stash billions of monies abroad in the name of investment. Manji can finance Young Africans million times, but that doesnt make him a clean person before our eyes as the members of the public. And so does Rostam.

He can have thousands Dossier for the PCCB, but he will not deny Kagoda at any cost, because truth never dies. Sh40billion is alot of monies.

To those puppets, once you are challenged, please USITUKANE JIBU HOJA.

We know that you have benefited from the looted billions, but just tell your bosses to file tax return from 2000 to 2008. We need audited report by well recognised Auditing firm.

TRA for fearing of losing their job, have been reluctant to approach Rostam Aziz through Caspian which transacted business with Geita Gold Mine and Barrick worth $50million, but filed a tax a return $5million between 2004 and 2008.

See you later, I am catching my flight to NBI-London
 
Shukrani zikuendee Prince William,tunakuombea ufike salama na safari yako.Ni furaha kubwa kuwa na mtanzania ambaye umeweka mbele maslahi ya nchi yako kuliko kuendekeza interest ya akina RA ya kutochanganisha katika fikra za kikabila.

Topic hii imenirudisha nyuma kwenye sakata la FAT mwanzoni mwa miaka ya 1990.Alikuwepo raia wa Kenya ambaye alituhumiwa kwenye mauaji ya mbunge wa Nyandarua Josiah Mwangi Kariuki,akiitwa Peter Kinyanjui.Baada ya mauaji hayo akakimbilia Tanzania akajifanya DJ Oliver Mctwist na baadaye akajiita Alhaji Omar Juma.

Kutoka hapo akajiingiza kwenye mambo ya mpira wa miguu akafanikiwa kupata Umakamu Mwenyekiti.Alipokuwa kwenye uongozi akaanza majungu dhidi ya wenzake na hapo ndio siri ilitoka kuwa yeye si raia wa Tanzania ni raia wa Kenya,serikali ikamfukuza nchini kwa aibu kubwa!
 
Thanks you all for contributions, I am flying to London and will post another credible data about RA in Mwanza as well as YA. Sio kwamba tunabagua watu, hapana. Tatizo ni kwamba kuna baadhi ya Watanzania wachache wanataka kutufanya mamilioni kama hatuna akili.

Wewe umeshatuuibia basi kaa kimya ule kuku sasa unapoanza kurap mbele yetu kupitia hizi luninga zenu ni upuuzi mtupu. Tulia kula kuku na ubunge au mavyombo yako ya habari lakini usijifanye kiranja wetu
.

- Ubarikiwe baba, tunakusubiri kwa hamu kubwa sana.

FMES!
 
Thanks you all for contributions, I am flying to London and will post another credible data about RA in Mwanza as well as YA. Sio kwamba tunabagua watu, hapana. Tatizo ni kwamba kuna baadhi ya Watanzania wachache wanataka kutufanya mamilioni kama hatuna akili.

Wewe umeshatuuibia basi kaa kimya ule kuku sasa unapoanza kurap mbele yetu kupitia hizi luninga zenu ni upuuzi mtupu. Tulia kula kuku na ubunge au mavyombo yako ya habari lakini usijifanye kiranja wetu.

Bon Voyage Prince. Hope to hear from you soon.
 
thanks you all for contributions, i am flying to london and will post another credible data about ra in mwanza as well as ya. Sio kwamba tunabagua watu, hapana. Tatizo ni kwamba kuna baadhi ya watanzania wachache wanataka kutufanya mamilioni kama hatuna akili.

Wewe umeshatuuibia basi kaa kimya ule kuku sasa unapoanza kurap mbele yetu kupitia hizi luninga zenu ni upuuzi mtupu. Tulia kula kuku na ubunge au mavyombo yako ya habari lakini usijifanye kiranja wetu.

safari njema mkuu
 
I am writing this for my fellow great thinkers.

If anyone of you have studied carefully the people behind the mega corruption scandals in Kenya and Tanzania, you will realise that they have similarities in module operandi as well as their origin.

Although in planning and executing these mega scandals, they are always supported by their puppets from the government or the ruling party. And both scandals are in one way or another connected to financing elections.

I might be seen as a racist in this matter but since this is the reality, let me just say it.

Below are the key similarities between TZ AND Kenya corruption.

a) Both were planned and hatched by Asian tycoons in collaboration with their local puppets(Kamlesh Patni, Tanil Somaiya, the Jailed Somaiya in Kenya who is wanted in TZ, Rostam Aziz, Karim Kurji, Subhash Patel, Sailesg Vithlani, Jeetu Patel, etc)
b) Nearly 80percent of these mega scandals involve the Central Banks(BOT, CBK)
c) All these scandals have strong connections to financing elections(Goldenbag, Anglo Leasing, EPA)
d) 90 percent of these scandals involve international procurement or tendering process
e)Majority of these scandals are either left stranded or die a natural death before the court of law.
f)Its investigation takes so long time for the unknown reason.

As a serious nation, we should not hesitate to fight corruption just because in so doing we will be dubbed racism. We know that there are our fellow Africans trusted by the public who have also collaborated with these Asian Tycoons including Vijisenti, Uhuru Kenyatta, Gidion Moi, Nicholas Biwot, Peter Noni and many more.

The time has come for Africans to say no to grand corruption no matter in so doing we are being seen as racists. When Iddi Simba launched the empowerment program under Uzawa, the same puppets strongly opposed him saying, he was preaching racism.

A nation of 40million like Tanzania can't be held hostage by few Asians who stash billions of monies abroad in the name of investment. Manji can finance Young Africans million times, but that doesnt make him a clean person before our eyes as the members of the public. And so does Rostam.

He can have thousands Dossier for the PCCB, but he will not deny Kagoda at any cost, because truth never dies. Sh40billion is alot of monies.

To those puppets, once you are challenged, please USITUKANE JIBU HOJA.

We know that you have benefited from the looted billions, but just tell your bosses to file tax return from 2000 to 2008. We need audited report by well recognised Auditing firm.

TRA for fearing of losing their job, have been reluctant to approach Rostam Aziz through Caspian which transacted business with Geita Gold Mine and Barrck worth $50million, but filed a tax a return $5million between 2004 and 2008.

See you later, I am catching my flight to NBI-London
Si mchezo,

Interesting to read, though so painful to know!
 
I heard this through the grape vine that RA had the backing of the Iranian Government. His mission was to infiltrate the political field of Tanzania so as to insure and protect business and strategic interests of Iran since Tanzania to a large extent has appeared neutral in conflicts between West and East. Proof I hear you ask!! Now how can I seriously get proof for the above, I mean think about it? Sometimes the proof is in the pudding. Carefully study the man if that ain't proof enough then nothing will be hata nilete signed document ya President wa Iran.

...and maybe, just maybe, ugeni wa makamu wa raisi wa Iran just at this time has something to do with all this???
 
I wish you all the best of luck Prince! Leave no stone unturned in exposing these fisads. We look forward to hearing more from you. Great man! SAA YA UKOMBOZI NI SASA!
 
A nation of 40million like Tanzania can't be held hostage by few Asians who stash billions of monies abroad in the name of investment. Manji can finance Young Africans million times, but that doesnt make him a clean person before our eyes as the members of the public. And so does Rostam.
Haya ni maneno mazito sana kama, it is true we have been held hostage by mafisadi papa pls Lowassa, karamagi MKAPA, and the CO.
 
I will post my dear friends. It is just a matter of time. We want to prove them wrong and we are doing this for the interest of our nation. I have completed reading the radar thesis I will share with you the SFO findings in London, before Monday next week.

Yesterday I had a very good time her although it is very chilly to read the findings by SFO. Kazi Nzito, Watajiju.
 
nimesoma kwa uchungu sana
Nakatishwa tamaa na vyombo vyetu vya dola kutumika kama kichaka kuwalinda hawa. Ilipaswa huyu jamaa na wenzake wawe wameshahukumiwa long time huku wakiendelea na kesi zingine za msingi.
Tuwafichue na kuwatokomeza mafisadi wakulu
 
Back
Top Bottom