William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,464
FMES,
Nakubaliana na data zako maana zinajazia sana info niliyonayo for some days.nilidhani udaku na sikuwa na time wala mvuto wa kui-share.
Pamoja na kukutanishwa kwa Mengi na Rostam, Mkulu pia ameitwa mara tatu na CTI mara zote anaelezwa jinsi baadhi ya wafanyabiashara hasa wenye asili ya ki-asia wanavyoitafuna nchi na mbaya zaidi hata kodi hawalipi katika deal zote wanazofanya kupitia makampuni yao special for ufisadi. Wakaenda mbali zaidi kumpa mifano ya wazi, mtu kodi ya mwaka mzima kutokana na biashara zake zote analipa less than 50M (TShs), michango ya hisani mfano mpira au chaguzi za chama anatoa 400M (TShs).kumbuka hisani hizi siyo sawa na zile za elimu au maendeleo ambazo ni Tax Deductible! Kwa hesabu ya haraka Corporate Tax payable is 30% which means anayelipa jumla ya TShs. 50M kodi anakuwa amezalisha net income ya kama 166M. Now where does he get 400M to waste?
Katika vikao viwili vya awali Mkulu alikuwa akiwajibu kuwa yote hayo anayajua na wahusika wote anawajua kwa majina ila alipoombwa kuwataja alikuwa hakigoma.but in the last meeting walimbana sana awataje ngoma ilipokuwa nzito sana kwake akatoa blessing watajwe na wao CTI. Masatu and the like will query: if the blessing was given to CTI why Mengi appeared as MD of IPP Group in his press conference. My answer is simple; first try your common sense before I give you mine. Ila tu ni vema tujue, katika ngazi ya juu kama alivyobainisha FMES; nyuma ya Mengi kuna serikali ya wazawa, wananchi, wafanyabiashara wazalendo waliofanikiwa kama Idd Simba, Felix Mosha, Killewo etc.. Do you now get at least blurred picture CTI vs IPP?
Pili, kwa nini ataombwa kwa ghalama yoyote ile Mengi afute kesi na kumalizana nje ya mahakama?
Shutuma zote alizotoa RA ziliegemea mfuko wa Commodity Import Support (CIS). Ukisoma vizuri shutuma za RA kwa Mengi zinatumia nyaraka na transactions za 1988-1996 basi baada ya hapo hakupata kitu chochote cha kumshutumu Mengi zaidi ya malumbano na watu mbalimbali na serikali. Vivyo hivyo Kiini cha kesi aliyofungua Mengi kiko kwenye ukweli katika transactions za CIS. Hapa ndipo kwenye uchafu ambao walakini kila mwanasiasa wa wakati huo ambaye ameendelea au amestaafu siasa leo alihusika kuchota pesa. Wengi walimtumia Manji (about 80% of CIS). RA pia ni mdeni lakini sijui akili gani ilimtuma kujaribu makali ya shoka kwa kukata tawi ambalo naye kadandia!
Kuiacha hii kesi ilindime na majalada kuitishwa unamaanisha kuwaanika wanasiasa hawa. Na izingatiwe tayari joto la uchaguzi limeanza. Achilia uchaguzi, ukweli ukianikwa na mahakama unafikiri nchi waliofadhiri mfuko huo watachukua hatua gani juu ya miradi na ufadhiri wao Tanzania?
Wenye kumbukumbu nzuri mtakumbuka Mrema alikwamishwa mara nyingi sana katika serikali ya Mwinyi kila alipopeleka taarifa ya ufisadi ndani ya CIS bungeni. Hili jambo si la leo na limebeba wana siasa maarufu wa leo na wa jana
- Saafi sana, hizi ndizo habari za muendelezo wa ishu sio kusimama pale pale na Yanga na simba, saafi sana Mkuu wangu Omtwale.
FMES!