This is Rostam I know... The Story Behind the Man

This is Rostam I know... The Story Behind the Man

- Mkuu jaribu kuangalia a big picture, kwamba Mengi na Idd Simba wanaajiri wananchi wengi sana, ofisi ya Mengi peke yake ina wafanyakazi 1000, kuacha viwanda vyake, ukisema ukweli inapendeza sana badala ya attaks zisizokuwa na facts!

Respect.

FMES!

Haijalishi Mengi anajalili watu wangapi, kama anatumia Ufisadi na ana drwan resourses ambazo zingeweza kukuza biashara zingine 300 ninaamini tungeweza kujivunia kwamba pesa hizo zimetumika efficiently, na ninaamini hizo biashara zingeweza kuajiri zaidi ,tusilete ushabiki shabiki nor consipiracy theory.
 
- Kufaidi nchi kwa kupitia biashara halali sio kosa mkuu, jaribu kutenganisha hilo, hatuwezi kufaidi nchi wote hata huko majuu sio wote wanaofaidi nchi, lakini wanaofaidi nchi sio lazima wawe wote ni wachafu, rekebisha hilo mkuu na wala sio dhambi kufaidi nchi kwa halali!

FMEs!

Kama kufaidi kwa Mengi kunarudisha nyuma private sector yetu, Ni kosa. Iam against all corporate and political UFISADI.

Naomba kesho siku ya kazi Tanzania naomba upige simu TCCIA uwaulize ni jinsi gani CTI imeendesha ukandamizaji wa biashara ndogo Tanzania. Ukipata jibu weka role ya Mengi katika kuipa nguvu CTI. Please look out of the box, u will see what u looking for
 
Leokweli,
Nimekuapata mkuu ila naongezea kitu kidogo tu..Mkuu usinielewe vibatya najaribu kuelewa kilichotokea kabla sijaweka lawama zangu ktk issue nisiyoifahamu..nitapenda sana kumhukumu Mengi au Idd Simba kwa maelezo yanayoniingia kichwani...

1. Hivi vyombo vilianzishwa vipi maanake naona vyombo viwili vyenye malengo sawa. Je, zilikuwa taasisi za serikali au vyombo binafsi..
2. Na kwa nini wafanyabiashara wengi wenye credit nzuri walikuwa TCCIA badala ya CTI wakati wakifahamu watawezeshwa huko CTI.
3.Kisha Idd Simba kama waziri akakisaidia zaidi chombo hiki cha CTI.. sidhani kama sababu ni Mengi na uhusiano wake na Idd Simba..
4. Ningependa sana kuelewa Mengi alitakiwa kufanya nini kama kiongozi wa CTI kama sii kuhakikisha wanachama wake wanapewa mikopo hiyo..Je, Mengi angekuwa kiongozi wa TCCI angefanya tofauti? kwa nini tusiwalaumu viongozi wa TCCIA kwa kushindwa kuhakikisha wafanyabiashara wake wanapata mikopo hiyo iwe kwa nguvu zote za kimashindao..na kama zipo sababu ni zipi zilizowakwamisha..

Mwisho wa yote haya mkuu wangu mimi nachofahamu na kulia nacho ni kwamba fedha hizi za mikopo ya CIS haijaridishwa na kwa taarifa za sasa hivi ni zaidi ya 180/b hazijarudishwa..Hasara kwangu mwananchi ni hasara tu iwe imetokana na CTI au TCCI kwa sababu fedha hii leo hii imeonekana kuwa ni hujuma kubwa ilifanyika..Ikiwa sehemu kubwa ya fedha hii imekopeshwa CTI chombo ambacho Mengi alikuwa kiongozi wake itabidi atufahamishe vizuri kilichoendelea huko na kina nani ni wadaiwa wa fedha hizo..
 
Kama kuna mtu anayemjua Rostam tafadhali atushirikishe.. nadhani ndio lengo hasa la hii mada vinginevyo siyo tu tunatoka nje ya mada (wakati mwingine inabidi), bali pia tunajikuta tunaanza kushambuliana sisi kwa sisi.

Rostam alizaliwa wapi?
Wazazi wake ni raia wa wapi?
Alisoma shula ya msingi wapi na wapi shule ya upili?
Alisoma Chuo/Chuo Kikuu wapi na alihitimu lini?
Viongozi wengi wa sasa wamewahi kuwa na nafasi mbalimbali katika Chama na jumuiya mbalimbali kabla ya kufika walipofika, kabla ya kutokeza kugombea 1994 Rostam alikuwa na nafasi gani kati ya Chama?
Aliwazaje akiwa na miaka 25 tu kuweza kugombea Ubunge na kushinda na miaka mitano badaye (akiwa na miaka 30) kuwa ni the most powerful individual ndani ya CCM kiasi cha kuweza kutuchagulia Rais (literally na kuweka watu katika nafasi nyeti mbalimbali)?
Je kuna mtu yeyote humu aliyesoma na Rostam, kufanya naye kazi n.k kabla hajaingia kwenye siasa 1994, na hata kumuuzia ngozi au biashara ya aina fulani?
 
Mkandara

TCCIA ilianzaishwa mwaka kwa support ya serikali ya Tanzania ili kuipa nguvu private sector wakati tanzania inaingia kwenye open economy or mixed economy.

Kilichotekea ni kwamba Iddy Simba,Mengi na baadhi ya waasia wachache waliona kuwa the flow of information process ilkuwa haiwanufaishi because it was so open, na zaidi hwakuweza kuchaguliwa kwenye nafasi za uongozi,Kilichofanyika wakajitoa TCCIA wakaanzisha CTI. Iddy Simba alikuwa na conflict of intrest kupitia Viwanda vyake kuisupport CTI

CTI ilipoanzishwa wakaweka masharti magumu ya membership,hivyo wakachukuana members wachache sana, kutokana na requirements zao biashara nyingi za kawaida zilikuwa haziqulify. Hivyo unakuta biashar inaweza kuwa credit worth but haiqulity membership requirement yao

Tatizo la kimsingi ni kwamba Mengi na simba hawakujali Uzalendo wanaoongelea leo , kwasababu waliungana na wasia kuiua nguvu TCCIA na ndio maana walikimbia TCCIA ambayo ilikuwa inawanufaisha wafanyabiashara katika mikoa 21, Kukimbia kwao hakuwa na lengo lingine zaidi ya kutumia access ya Iddi Simba Kunyonya opportunity zote peke yao na wasia wachache. Kwahiyo kwa kitendo cha mengi kusema waasia wanatunyonya wakati yeye na Iddi Simba ndio walikuwa mafacilitator haiingii akilini.

Ninakuunga mkono na hitimisho lako, Kutorudishwa kwa pesa hizo kumesababisha kufa kwa private sector kwasababu pesa hizo kama zingerudishwa in time zingeweza kusaidia kuendeleza private sector Tanzania , lakini hili halikutokea.

Ndio maana ninasema tunahitaji tufute uchafu kila kona bila kuangaliana usoni, na tusiruhusu walewale mafisadi Warudi na ngozi ya kondoo.
 
Kama kuna mtu anayemjua Rostam tafadhali atushirikishe.. nadhani ndio lengo hasa la hii mada vinginevyo siyo tu tunatoka nje ya mada (wakati mwingine inabidi), bali pia tunajikuta tunaanza kushambuliana sisi kwa sisi.

Rostam alizaliwa wapi?
Wazazi wake ni raia wa wapi?
Alisoma shula ya msingi wapi na wapi shule ya upili?
Alisoma Chuo/Chuo Kikuu wapi na alihitimu lini?
Viongozi wengi wa sasa wamewahi kuwa na nafasi mbalimbali katika Chama na jumuiya mbalimbali kabla ya kufika walipofika, kabla ya kutokeza kugombea 1994 Rostam alikuwa na nafasi gani kati ya Chama?
Aliwazaje akiwa na miaka 25 tu kuweza kugombea Ubunge na kushinda na miaka mitano badaye (akiwa na miaka 30) kuwa ni the most powerful individual ndani ya CCM kiasi cha kuweza kutuchagulia Rais (literally na kuweka watu katika nafasi nyeti mbalimbali)?
Je kuna mtu yeyote humu aliyesoma na Rostam, kufanya naye kazi n.k kabla hajaingia kwenye siasa 1994, na hata kumuuzia ngozi au biashara ya aina fulani?

Ikiwa hata habari zake basic hauna, unauliza! halafu kwingine unajifanya unajuwa sana dhambi zake! unanishangaza sana, ndio maana mara nyingi huwa naona uyaandikayo ni porojo tupu na chumvi nyiiiingi, just unaandika unachofikiria na sio kilichopo.
 
Mkuu, unaonaje wewe unayejua habari basic za RA utumwagie hapa tuchambue mchele upi na pumba zipi?
 
LeoKweli;Kama kufaidi kwa Mengi kunarudisha nyuma private sector yetu, Ni kosa. Iam against all corporate and political UFISADI.

Naomba kesho siku ya kazi Tanzania naomba upige simu TCCIA uwaulize ni jinsi gani CTI imeendesha ukandamizaji wa biashara ndogo Tanzania. Ukipata jibu weka role ya Mengi katika kuipa nguvu CTI. Please look out of the box, u will see what u looking for

2. Haijalishi Mengi anajalili watu wangapi, kama anatumia Ufisadi na ana drwan resourses ambazo zingeweza kukuza biashara zingine 300 ninaamini tungeweza kujivunia kwamba pesa hizo zimetumika efficiently, na ninaamini hizo biashara zingeweza kuajiri zaidi ,tusilete ushabiki shabiki nor consipiracy theory.

- Mkuu biashara kubwa humeza ndogo hiyo ni kawaida katika biashara ndio maana town nyingi ndogo ndogo huko US huwa hawataki Wall Mart au Costco katika towns zao kwa sababu automatically huwa zinaua biashara ndogo ndogo, lakini sio a crime wala dhambi,

- Kama wewe una bishara ndogo halafu Mengi anakuja na biashara ile ile kubwa zaidi, ni lazima wewe mwenye ndogo utakufa, huu sio wizi ila inaitwa comeptition. Kama unaujua ufisadi wa Mengi uweke hapa tuuchambue mkuu, maana so far tumeuchambua sana wa Rostam, na ndio maana viongozi wengi wa serikali wanamshawishi Mengi kuacha kesi unafikri kwa nini wasiende huko CTI na kumrundikia Mengi kesi kubwa? Sisi Wa-Tanzania sio mabwege tena mkuu!

Respect.

FMES!
 
Ikiwa hata habari zake basic hauna, unauliza! halafu kwingine unajifanya unajuwa sana dhambi zake! unanishangaza sana, ndio maana mara nyingi huwa naona uyaandikayo ni porojo tupu na chumvi nyiiiingi, just unaandika unachofikiria na sio kilichopo.

Kuna mtu ambaye hajui, na anajua kuwa hajui huyo ni mjinga, mjuze! katika hili mimi sijui. Najua kuhusu ufisadi wake hili wala sina shaka. Kama wewe hujui, nitakujuza.
 
Mkuu, unaonaje wewe unayejua habari basic za RA utumwagie hapa tuchambue mchele upi na pumba zipi?

Habari zake basic mbona zipo wazi sana, ila nashangazwa na wa wanaojifanya wanajuwa sana mabaya yake, ikiwa basics zake hawazijui watayajuwa mazuri yake?
 
Habari zake basic mbona zipo wazi sana, ila nashangazwa na wa wanaojifanya wanajuwa sana mabaya yake, ikiwa basics zake hawazijui watayajuwa mazuri yake?
sidhani kama kuna mtu ameuliza "mazuri yake". Tunachoulizia ni wasifu wake. Kwa vile sisi hatujui (ndiyo maana ya kuuliza) wewe unayejua naomba utujibia maswali niliyouliza. Kama hujui na wewe unasema sijui na wote tunamsubiri anayejua. Inaitwa hekima.
 
FMES,
Mkuu wangu nakuaminia sana ktk maswala kama haya, lakini nakuomba uwe mkweli hapa.. Kuna siri gani ktk janga hili lote.. Yes naelewa kwamba Rostam ni fisadi tena fisadi papa kama alivyosema Mengi lakini Papa hayuko mmoja baharini wako kila aina na ukubwa pamoja na kwamba tunafahamu wote hula nyama..
Kumvua samaki huyu mmoja Rostam na kusema kwamba ndio mwisho na mwanzo wa Ufisadi utakuwa unacheza ile sinema ya JAWS kwa sababu naelewa fika Rostam got there kwa nguvu ya baadhi ya watu fulani...Hivi kweli Rostam ni nani miaka ya 80 maanake naelewa wazi viongozi wote serikalini wameanza kujulikana toka enzio kama sii wao basi baba zao.
Nashindwa kuamini kabisa kwamba Rostam katokea huko Iran au Igunga na kuwa na nguvu hizi za ajabu kiasi kwamba awashinde matajiri wote wa Dar ambao ni almatan mjini..Rostam kafikia hapo alipofikia kwa sababu sisi wenyewe tumemruhusu kufika hapo na leo haiwezekani kabisa avuliwe yeye na tuseme ndio mwisho wa matatizo..sign zote zinaonyesha wazi kwamba Papa lile la JAWS bado lipo baharini somewhere na pengine linasikilizia tu nguvu ya mkondo (current) wa bahari..
Sisemi kuwa Mengi is wrong au hana haki ya kujitetea na nadhani hilo nimeshajieleza vya kutosha isipokuwa mimi natoka ktk Ubishi wa Rostam against Mengi kwa sababu naelewa fika Mengi alijipanga kumvua samaki huyu lakini nashindwa kuamini kabisa kuwa huyu ndiye yule papa tunayemsaka..

- Mkuu Bob, the fact kwamba baadhi ya Mtandao wanajaribu kumshawishi Mengi afute kesi na yaishe kichini chini na Rostma kutangaza mjini kitita cha millioni 10 kwa mwenye uchafu wa Mengi, kwangu ni dalili tosha kwamba Rostam ni tatizo kubwa sana, kumbuka anyemuomba Mengi sio muungwana, ila kina Lowassa na wenziwe unafikiri ni kwa nini?eti kwa sababu Lowassa na wenzake wanatupenda sana wananchi?

- Papa wako wengi, ila kwa muono wangu ni lazima uanze na Rostam kwanza then utawafikia mapap wote wengine, maana huyu Rostam ndiye papa wao mkuu!

FMEs!
 
Mkuu, unaonaje wewe unayejua habari basic za RA utumwagie hapa tuchambue mchele upi na pumba zipi?

Habari zake basic mbona zipo wazi sana, ila nashangazwa na wa wanaojifanya wanajuwa sana mabaya yake, ikiwa basics zake hawazijui watayajuwa mazuri yake?
 
sidhani kama kuna mtu ameuliza "mazuri yake". Tunachoulizia ni wasifu wake. Kwa vile sisi hatujui (ndiyo maana ya kuuliza) wewe unayejua naomba utujibia maswali niliyouliza. Kama hujui na wewe unasema sijui na wote tunamsubiri anayejua. Inaitwa hekima.

A public figure, hujui wasifu wake? unanishangaza sana, kwa kuwa wewe ndie unaeandika kama vile unamjuwa sana, sasa kiko wapi?
 
can somebody tell me where did rostam go to school to? primary secondary university I will use my resources to verify
 
Kuna mtu ambaye hajui, na anajua kuwa hajui huyo ni mjinga, mjuze! katika hili mimi sijui. Najua kuhusu ufisadi wake hili wala sina shaka. Kama wewe hujui, nitakujuza.

Dhambi hata moja hujaitolea ushahidi, ndio maana nakwambia kwa porojo tu, sikuwezi lakini ikija reality, simply huna. Hebu dhambi yake japo moja unayoijuwa tuwekee hapa na uwache porojo, humjui hata shule aliosoma utamjuwa dhambi yake?
 
A public figure, hujui wasifu wake? unanishangaza sana, kwa kuwa wewe ndie unaeandika kama vile unamjuwa sana, sasa kiko wapi?

Dar Es Salaam,

acha kuwa na jazba kidogo. Hapa watu wanauliza basic information ya RA kwasababu kwenye website ya bunge hamna details za RA aligradute wapi etc. wakati public figures wengine information zao zipo wazi wazi.

Pili watu wako confuse kwamba how come before 1994 RA alikuwa almost hayuko Tanzania. Na wanauliza je huyu ni mtanzania kwa kuzaliwa, marrige, au aliomba uraia.

Ni haya tuu ndio watu wako interested kujua, maana watu wako tired na rumours za mjini kwamba RA ni miran!! ndio maana mwanakijiji anauliza.

I hope tuko pamoja and this will not creat some unnecessary arguments btn me and you. I just wanted to clarify why people wants to know about basic info of RA... maana watu wanajua involvement yake kwenye CCM but they cant figure out how he managed to get where he is now.
 
1) Sina Jazba
2) Watu kuuliza basic info sishangai ila nashangazwa na Mwanakijiji kwani katika porojo huwa anajifanya kama anamjuwa sana RA.
3) Wabunge wengine kweli ukichungulia tovuti ya Bunge habari zao ziko wazi, hilo sikatai, naomba unikubalie kuwa na wengi habari zipo kidogo na wengine hakuna kabisa na si RA pekee.
4) Hakuna ajabu kwa mTanzania yeyote kuwa awepo au asiwepo Tanzania mwaka fulani, nawajua waTanzania wengi ambao hawajaikanyaga kabisa Tanzania toka kuzaliwa au hawajazaliwa kabisa lakini ni waTanzania halali.
5) Awe mTanzania wa kuzaliwa au wakuomba uraia au waKujikuta tu kawa mTanzania (kama mimi, nilikuwa mTanganyika wakati wa kuzaliwa, mara nikajikuta nimekuwa mTanzania.) Hayo yote ni matokeo na hayabatilishi uTanzania wa mTanzania.
6) Watu wako tired na rumours? basi waache kuzisikiliza hizo rumours na wale mongers waache kueneza rumours za uzushi. Tunataka watu wawe wakweli na walete habari za ukweli na ushahidi, kwani RA mwenyewe yupo, na kama kuna mtu ana uhakika wa kuwa yeye ni fisadi basi wamchukulie hatuwa za kisheria au kama wanaogopa waziweke wazi hizo evidence ili wasio na uoga wachukuwe hatua. Lakini majungu na chuki na ''agenda za siri'' hazina maana.

7) Tuko pamoja lakini si mimi nnae create unnecessary arguments nadhani watu wanaokuja na habari ambazo wanashabikia bila kujuwa ukweli au bila kuwa na ukweli kabisa ndio wana create unnecessary arguments.

Naomba mwenye ushahidi japo mmoja tu, kuhusu ufisadi wa RA autowe humu. Its an open challenge! tuwache majungu!
 
Dhambi hata moja hujaitolea ushahidi, ndio maana nakwambia kwa porojo tu, sikuwezi lakini ikija reality, simply huna. Hebu dhambi yake japo moja unayoijuwa tuwekee hapa na uwache porojo, humjui hata shule aliosoma utamjuwa dhambi yake?

siyo raia wa Tanzania na ameweza kuingia Bungeni na kuwa na nguvu ya kuharibu usalama wa taifa, kuchota mabilioni ya fedha na kuyarudisha kupitia Vodacom foundation huku wadanganyika wakiamini ni misaada tu.
 
Back
Top Bottom