St. Paka Mweusi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2010
- 7,994
- 5,231
Ha ha haaa kila la kheri mkuu.
Unakikumbuka lakini hicho kitu..??
Nakipata mkuu hiyo si ni Peugeot?
Yap linaitwa Guruwe,280km/h na ikiwa ni Special Edition inweza kuwa 320km/h.Wameacha kuyatengeneza haya miaka mingi sana lakini kama una hela yako unaruhusiwa kupeleka order na options zako na wanakutengenezea,and that is my dreams cause I miss the first one very much.Its like it made me a Peugeot addict..
Ukipata gari kama hii unai_PIMP ile mbaya...Ila mimi napenda magari ya High-Tech.
Hapa iko pimped...
![]()
Ha ha haaa!!! Duhhh!!!! Unaweza kusema sio yenyewe aisee.
Na ina stability ya ajabu,nakumbuka niliwahi kuzunguka nayo round about ya pale Railway Gerezani nikiwa 70km/h,ilikuwa kama saa saba usiku natokea upande wa Railway station kwenda Kariakoo...
Hivi ukitaka kuibinua binua juu unafanyaje tena?
yep...like that mkuu...unajua huwa najiuliza sana...wanafanyaje fanyaje hadi wanalibinua hili gari hivi?
Mzuri nimeipenda utaiweza bei yake lakini mkuu.@Young Master
kwangu hii ni keep change,akitaka nitamkopesha mchicgat mwenzangu,si unaona kani tag?
Upo juu YM..mie Audi naiifeel.
Bugatti....!!! mambo yote...!! Hapa BMW wanaigiza Bugatti..!!
Mkuu unatisha,nyc car!mi ka vitz new model kananitosha kwa misele ya hapa na pale ktk jiji letu la dar!