This is my future car...Whats yours?

This is my future car...Whats yours?

Duh, mkuu umeachana kabisa na mambo yako kule jukwaa la kikubwa??? Manake yale mambo yetu kule ndio yanayotuvurugia ndoto zetu...
 
Kama unaishi bongo, itabidi u-designate barabara za kupita. Or maybe uiendeshe kwenye yard yako.
 
Duh, mkuu umeachana kabisa na mambo yako kule jukwaa la kikubwa??? Manake yale mambo yetu kule ndio yanayotuvurugia ndoto zetu...

Siku hizi sipo kule mkuu ingawa huwa napita mara moja moja kupiga patrol za juu kwa juu.
 
Young Master
94988111_66a79f4d49.jpg
kama hivi?
64impala.jpg
 
Last edited by a moderator:
Hongera mkuu Young Master , naona una "mijindoto" mikubwa mikubwa tu!:biggrin1::biggrin1::biggrin1:
 
Last edited by a moderator:
picha ya pili ilikuwa haiko poa link ila now iko poa

64impala.jpg

yep...like that mkuu...unajua huwa najiuliza sana...wanafanyaje fanyaje hadi wanalibinua hili gari hivi?
 
Ha ha haaa!!! Shukrani mkuu...na wewe ndoto yako ipi kamanda?
Mie nna ndoto ya kuongeza mke wa pili mkuu!:biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1::biggrin1:

On a serious note, nataka kuwa mkulima/mfugaji mkubwa kabisa hapa Tanzania (in the next 15-20 years). Hii ndio ndoto yangu. Nataka 25% ya watanzania katika kila mlo wao, wawe wanatumia mmojawapo ya products/produce zangu. Najua ni ndoto kubwa sana lakini siachi "kuiota"!
 
Safi sana mkuu...make your dream come true.
 
  • Thanks
Reactions: SMU
I dream to get a Special Edition of this one just for me.....
It was manufactured for the last time in 1968.....
I bought it for the first time in 1992....

images
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom