Michael Amon
JF-Expert Member
- Dec 22, 2008
- 8,769
- 3,644
- Thread starter
- #101
Ikifika tu mkuu, ni PM unipe ka lift!!
Sitakupa lift ila nitakupa uiendeshe kabisa. nataka wewe ndio uwe mtu wa kwanza kuiendesha.
Ikifika tu mkuu, ni PM unipe ka lift!!
Yeah? I thought you know where I reside....:A S 100:af ujue tu mimi mith yu!
Day dream.:car:
Duh!!! Mkuu kwani tuko kwenye vita?
Kujihami muimu, tunakoelekea siko Mkuu!
Ha ha haaa!!! Hilo gari lako kama likipata leseni njoo nikupe zawadi.
Umeuona mziki wake lakini? Nani atakaeniuliza kuhusu Road license?
Ndoto mbaya..!!
Ushajenga?
Hahaha alishawahi kuja hapa jf na his house plan pia hehehe, hope next will be his....future. Plan hahaha
TRA watakutoza kodi ya great grea great grands parents wako ili tu ushindwa wajiuzie. Great to dream