This is my future car...Whats yours?

78_landcruiser_wagon_2.jpg

Toyota Landcruiser(mkonge) hii gari kila siku naiota,ila ipo siku tu!
 
naskia serkal yetu hazruhusu mtu kumiliki labda kwa kbal o utauziwa mtumba na c mpya is it true!!?

Nilshawahi kusikia habari kama hizo,sina uhakika lakini waziziue kwa sababu zipi hasa!kwani wanahati miliki au wanatengeneza wao!ngoja nitafute mkwanja itajulikana tu juu kwa juu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom