Michael Amon
JF-Expert Member
- Dec 22, 2008
- 8,769
- 3,644
- Thread starter
- #81
Wanaweka kitu kinaitwa lowrider suspension.
Halafu wakitaka kuibinua ndio wanafanyaje sasa?
Wanaweka kitu kinaitwa lowrider suspension.
kwangu hii ni keep change,akitaka nitamkopesha mchicgat mwenzangu,si unaona kani tag?
Mr. President, two decades ago this machine was my future car, to-date it has proved to be my future ultimate machine!
View attachment 74421
Halafu wakitaka kuibinua ndio wanafanyaje sasa?
Wanabonyeza viswichi ambavyo huwasha pump inayosukuma hewa au mafuta (hydraulic) kuinua gari kama vile jeki inavyofanya kazi.
Hii huwa haiji na gari, unaweka mwenyewe kama unapenda, ni kama vile watu wanavyoweka mziki mkubwa kwenye gari.Alaaahhh!!! kumbe...umenitoa ushamba mkuu...hivi hiz gari bongo zipo kweli?
Hii huwa haiji na gari, unaweka mwenyewe kama unapenda, ni kama vile watu wanavyoweka mziki mkubwa kwenye gari.
Hongera!
Mie niacheni na kibajaji changu, kinanitosha sana tu!
Tumekukubali, unaendeshea barabara gani? May your dream come true!!
ina mvuto
Shukrani mkuu...nitaiendesha kwenye barabara hizi hizi.