Nataka ku advance mwaka huu ninunue STARLET
....unaweza kupata....ila sasa..inabidi usubiri..kama miezi 7 hivi...tukichange kwanzaI want this car......
....sihoji bebiiyeye anatakiwa aninunulie....na asihoji........
matata sana hii kitu but not my type
....unaweza kupata....ila sasa..inabidi usubiri..kama miezi 7 hivi...tukichange kwanza
Land lover Defender 110 ndo type yangu brother. ngoja nikutafie picha nzuriWhats your type mkuu? tuwekee picha yake hapa mkuu.
Ni nzuri, lakini kama unaishi Dar, utakuwa huitendei haki kwenye foleni.
..tukileta utycoon mjini hapa..tutaishia pabaya...wengine sisi sifa hatutaki..kimya kimya..kwani bebii mpaka ujichange.....we si uliniambia ni kapetit tycoon....?
Hii nafikiri mpaka uwe jangili kama yule katibu wa kijani na manjano.
Young Master sio cadillac ni chevy nilimix madesa![]()
labda nisikuone uku kwetu uswazi ntakupiga pasiiiiiiii mbayaaa