This is how l lost it.....


Yes nilipeleka, as mahusiano yalikuwa non-existence kama mwanzo; baba yangu kwa kazi yake watu wengi walikuwa wanamjua and as me he was poor with names and faces, so ilibidi amchangamkie yoyote anajifanya kumfahamu. So the guy couldn't stop calling ofcourse na kukata kila anapopokea mtu mwingine which was bad for me as nilikuwa binti pekee home and my bros couldn't be fooled.
 
Nani ali kucheki bikira? Baba? Mama?
Whoever it was,ni udhalilishaji.....

Baba alitaka kunipeleka hospital kwa nurse akanicheck lakini mama alipinga na kuoffer kunicheck mwenyewe!
 
Kaunga but parents have to be watchful..........................how do you send own daughter for a mere whiskey? it beats me to the fore..........the guy promised to meet the doctor in hospital why can't he bring his whiskey or whatever that meant?

Ndio sababu kuu ya kuileta humu, ili wazazi tujifunze kama lipo la kujifunza.
By the way l am happy to see you.
 
Pole dada Kaunga,wish ningemjua................nitamtafuta.........nitampata...........he gona pay for his past....... pole again ilumbuye

I know what you are capable of my bro and that's why sitakwambia ni nani, maana sitaki my bro awe behind the bars.
 
Pole mkuu...I promise nitakuwa karibu sana na wanangu,I will make them my friend ili nijifunze pia kutoka kwao!thanx for sharing, hakika umenipa somo!

Finally l get something positive from my negative experience; l am glad l shared this! Ubarikiwe Kamanda Moshi
 
Last edited by a moderator:
Nshapoa that's why l can talk about it. Ila umejifunza kitu kutoka ktk story yangu? Speaker can this qualify for the movie?

Ilishachezwa kama hiyo.Pole! tena nimeona kama 2 aina tofauti
But ungeweza kukwepa tu. So far ilishatokea POLE
 
Yes,siyo nzuri na inakera kukumbuka,lakini safi kuikumbuka ili kujifunza.
'
No matter what,kama tungeweza kuzirudisha siku nyuma na bado tukawa na kumbukumbu ya maisha ya sasa,tungefanya makubwa sana.
'
Sweetie,usijali!
'
Dedication song:Back in time
Artist:Inocent Galinoma
Album:Sote ni ndugu
 
Acha Uwongo sema ukweli ulifanyaje??Jamaa hauelewi nini! Mpe ukweli kama uliridhia tu. wewe ushajua na unaingiaje sasa. aaaa dadaaa si vema ivo Ulikuraaa tunda tu basi!All in all wengine wajifunze usikaribie Nyoka na huku unamjua
 
Last edited by a moderator:
I know what you are capable of my bro and that's why sitakwambia ni nani, maana sitaki my bro awe behind the bars.


Mie naomba usinambia kabisa...Hapa nilipo tayari nimesha-commit murder by intent......

Ila kwa upande wangu, someone can do anything except fooling around with my sweet wife and kids....

Bora afanye upuuzi kama huo when I am out of this plannet.........

Mbona nilishaanga lakini??


Babu DC!!
 

Hivi huyo mtu yuko hai? Je, ana watoto? Yaani kila muda unavyoenda na ninavyosoma majibu yako ndivyo ninavyozidi kumchukia huyo mtu. All in all umenipa somo kubwa sana Kaunga. Thats very brave of you to share this with us. Stay blessed!
 
Last edited by a moderator:
Ndio sababu kuu ya kuileta humu, ili wazazi tujifunze kama lipo la kujifunza.
By the way l am happy to see you.

Kaunga but parents have to be watchful..........................how do you send own daughter for a mere whiskey? it beats me to the fore..........the guy promised to meet the doctor in hospital why can't he bring his whiskey or whatever that meant?


it was whiskey for kaunga's experience , but for somebody's else it can be something else ( money ,letter , message, lift etc) ....... we just need to be careful on how to take care
 
dah pole sana,ila naona wewe ulivunjwa kistaarabu sana....wengine tukisema jf itafungwa kwa muda hapa

please Smile not today , tumeshahuzunika sana toka jana .... mkituongezea dozi wiki itakuwa mbaya sana.
 
Last edited by a moderator:
Hivi huyo mtu yuko hai? Je, ana watoto? Yaani kila muda unavyoenda na ninavyosoma majibu yako ndivyo ninavyozidi kumchukia huyo mtu. All in all umenipa somo kubwa sana Kaunga. Thats very brave of you to share this with us. Stay blessed!

Huwa namwangalia binti yangu wa miaka 3, nawaza changamoto zinazomkabili na watu kama hawa ambao wamedhamiria kabisa, mda mwingine nakosa raha. Mungu aepushie mbali ila kama tungefuata msemo wa watendeeni wengine kama ambavyomnataka wao wawatendee ninyi, tungekua na dunia yenye amani sana.

Watoto wa mtu mwingine ungewaona kama wanao, usingewafanyia kitu ambacho hutaki watoto wako wafanyiwe.
 
mh!
fellow rev mother
si wajua nina binti enh?
ngoja kwanza ntarudi!
 
Baada ya kupata simulizi ya Kaunga nilistaajabu malezi yanavyohitaji umakini ila hii ya King'asti tena imenipa changamoto ya jinsi ya kuwalea hawa warembo wangu wawili.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…