This is how l lost it.....

Swali la kizushi: Kwanini umeamua kushea na sisi hii makitu hivi leo tena siku nlokula sakramenti nikimuombea Matesha wngu apate nafuu haraka?
Niliisikia sauti ya Roho Mtakatifu ikiniambia kuwa niishee hii story kwani itaokoa wengi, now that you have told me umemwombea Matesha ndio naamini ni Roho huyo huyo kaniongoza nikumention wewe of all people.
Your prayers have been answered, says prophet Kaunga.
 
Wifi! Wakati nachangia hii nilisoma post yako ya kwanza tu! Sikujua ni personal experience. I am sorry for what happened to you! You are a survivor, and i am very proud of you. Asante kwa ujasiri wa kushare hii.

Kitu kimoja naendelea kushangaa hadi leo, labda baba na mama walitofautiana sometimes. Lakini nimekua na baba mkali sana na mama strict but very understanding na shosti wa ukweli. Nikifikiria nilivyokiwa open kwake, na hakugomba wala kureact basi huwa najishangaa. Muhimu ni kuwa karibu na wapwa zangu, hakikisha wanakuambia kila kitu. Mfano, hapo kwenye incident ya simu ungekuwa ulisema, ungelindwa. Lakini hakukuwa na room kwako kusema.

Nafurahi ile problem ya mwenetu ya shule tuliihandle vizuri na kushiriki kama sehemu ya matatizo yako. You are doing well with our son. Mungu atangulie kila jambo.

You are never defeated unless you give up. And to be a victim is a choice. To be happy is a choice as well! Unajua nakupendaje?
 
Hapa mpumbavu ni wewe sasa. Hivi ulishapitia utoto ama umezaliwa mzee? Haujui unachoongelea. Jifunze kuwa mzazi mzuri ili uwalinde wanao, period. I pray this doesnt happen to ur kids.
 
Pole Kaunga kwa yaliyokutokea. Naona uamuzi wako wa kushare na sisi utasaidia kuupunguza mzigo huo ambao umeubeba kwa muda mrefu. Kushare kwa watu unaowamini ni namna moja wapo ya kupunguza maumivu ya matukio kama hayo ya kuumiza
 

bado unasoma au umeshamaliza na unatoa msaada saiv?
 
Ile mood yangu ya binduki imenivaa ghafla. Ngoja nibadili avatar. I feel like killing someone, aggggggggrrrrrhhhhhh!
 
Thanks dearest, l know l can count on you guys. Yes l am a survivor as l never allowed that incident to victimize me forever. As for my kid, nina hakikisha kile ambacho nahisi mimi nilikikosa yeye anapata mf: as a last born sikuhusishwa kbs ktk miipango yoyote ya familia as l was always mdogo; so my son nimenamuhusisha ktk mipango yote since he was 3 na l wish ungemuona; maana sio walimu tu wanaocomment on his confidence bali hata watu wengine anaokutana nao hata kwa 5 minutes.

Anyway, l hope kwa kushare my story yangu watu wataona zaidi ya upumbavu wa binti aliyekuwa na miaka 16 na kujifunza malezi
 
Pole sana, naamini ni siku nyingi kidogo maana siku hizi hakuna mzazi anayeweza kumtoa bintiye sadaka kama ilivyotokea kwako kwani mabinti wa siku hizi werevu ka nini...
 


kaunga nauhakika hukuwa mpumbavu ,,,, at that age na hofu ya wazazi ni rahisi sana mtoto kupotea ..... ila hapo kwenye blue ni stage unayopaswa kuondoka ( stages of rape) , hiyo ya self blaming siyo nzuri sana.
 
Pole sana, naamini ni siku nyingi kidogo maana siku hizi hakuna mzazi anayeweza kumtoa bintiye sadaka kama ilivyotokea kwako kwani mabinti wa siku hizi werevu ka nini...

Asante, ni siku nyingi sana tu (90s), jamani baba yangu hakuwa na idea; na kosa ni langu sikusema hizo ill-intention za yule mbaba. Nakubalina nawe mabinti wa siku hizi ni werevu sana, lkn ni muhimu kujua bado kuna watu hata ndugu wanaweza pata chance ya kuharibu.
 


una matatizo ya akili na siku zote kwenye maisha ni rahisi kulaumu kuliko kukubali....... sijapendezwa na ulivyomjurge mtoto wa miaka 16 aliyeishi kipindi cha zamani wazazi wakiwa strict na wakoloni
 


hao siku zote ndiyo wanaokuwaga watendaji wa hivi vitendo ,more than 95% ya rape cases inakuwaga ya mtu wako wa karibu..... tuwe makini sana na watoto wetu ,tujenge tabia ya kuwasikiliza ,kuwaamini ,kuwapa moyo ,na kuwajengea ujasiri wa kujisimamia n.k
 
You are a hero kwa kuweza kuiongelea. Ndo maana mie nasupport divorce. A kid doesnt benefit kwa kuishi na wazazi wasiopendana!
kitu muhimu, naomba Mungu nitakapokuwa na watoto, anipe stomach ya my mom. Niliwahi kumuanbia mama kuhusu driver wa daladala aliekuwa ananifuatilia (kijana mid age enzi hizo. Nadhani alifulia akaamua kuendesha daladala lake). Mama alikuwa yeye ni kuponda na kuelezea jinsi ambavyo mapenzi yanaweza kumharibia binti future yake. Siku nilienda kwa mama mdogo, akiwa nae ndo kaanza kazi na ghetto la room moja. Nikamuona yule jamaa uani. Nikamuamkia na kuingia kwa mama mdogo. Nilimsimulia mama nimemuona yule maaluni. Sijui nini kilitokea, ila mama mdogo alihama ile nyumba.

I was an open kid. Sijui mama alivumiliaje zile horror stories ila alinilinda sana i guess. Muhimu tujifunze tu!
 


hao siku zote ndiyo wanaokuwaga watendaji wa hivi vitendo ,more than 95% ya rape cases inakuwaga ya mtu wako wa karibu..... tuwe makini sana na watoto wetu ,tujenge tabia ya kuwasikiliza ,kuwaamini ,kuwapa moyo ,na kuwajengea ujasiri wa kujisimamia n.k
 
Werevu wa mabinti wa siku hizi unaweza kuwa kwenye kuficha mambo yao na sio kuepuka. Which makes it worse! Mabinti wa std 6 wanashauriana na kutoa mimba na hata kuchuna mizee mizima bila wazazi kustukia. Wao ndo wanahitaji msaada zaidi kuliko sisi!
 

Mwanaizaya Asprin Asprin; una nini nami? Mimi ni rasilimali ya taifa, mtu wa maadili, tena mtu wa Mungu ninayewapenda watoto wote na kuwaelekeza maadili mema.

Unadhani Kaunga kafanya makosa kukutaja?

lakini dawa yako iko jikoni . . . Ukitaka kumsaidia Mchawi, mpe mwanao amlee . . . .
 
Last edited by a moderator:

Hii movie tamu,kwa hiyo alikubaka au ile mifyonyo ilikua sitaki nataka?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…