wakiwa wamechanganyikiwa wengi tunajumlisha!Hakuna mlokole alochanganyikiwa kama unavyodhani, sema baadhi ya walokole feki wanakuja kujificha kwa walokole chunga ulimi wako.
wakiwa wamechanganyikiwa wengi tunajumlisha!Hakuna mlokole alochanganyikiwa kama unavyodhani, sema baadhi ya walokole feki wanakuja kujificha kwa walokole chunga ulimi wako.
USIPENDE KUMUINGIZA MUNGU KWENYE SIASA ZENU. MAAMUZI YA KISIASA NI YA WANASIASA kwa siasa za nchi husika, SIO MUNGU. Mungu kawapa akili, mtakachofanya kwa akili zenu msimuingize yeye. Hata JK watu walisema chaguo la Mungu hapo awali, chunga maneno yako bado mapema sana!!!!!!!!Kama mmoja wa UKAWA nasema hivyo kwa uhakika nikimlinganisha Yakobo jinsi alivyoupata uzaliwa wa kwanza kwa njia 'zisizo haki' lakini mapenzi na mpango wa Mungu ukaendelea kutimilika kupitia yeye. Lowassa kupokwa ushindi ni kama Essau kutapeliwa uzaliwa wa kwanza.
Njia za Mungu hazichunguziki, na tunashukuru kwa ajili ya Magufuli maana anatekeleza yale ambayo ukawa tumekuwa tukiyapigia kelele.
Na hii inazidi kunikumbusha ile sala ya Bwana.....mapenzi yako yatimie; na pia sala ya Yesu kwa Baba yake....kikombe kiniepushe ila si kwa mapenzi yangu...
Go Magufuli, changamoto bado unazo sana na ushakuwa unpopular kwa chama chako.
Kama ikitokea historia yetu ikaandikwa vizuri na mambo kama haya yakaingizwa ndani ya hiyo historia ......... naamini kizazi cha huko mbeleni kwetu kiatatucheka sana kama tunavyowacheka mababu zetu kwa kubadilishana shanga au kioo na almasi!!Kama mmoja wa UKAWA nasema hivyo kwa uhakika nikimlinganisha Yakobo jinsi alivyoupata uzaliwa wa kwanza kwa njia 'zisizo haki' lakini mapenzi na mpango wa Mungu ukaendelea kutimilika kupitia yeye. Lowassa kupokwa ushindi ni kama Essau kutapeliwa uzaliwa wa kwanza.
Njia za Mungu hazichunguziki, na tunashukuru kwa ajili ya Magufuli maana anatekeleza yale ambayo ukawa tumekuwa tukiyapigia kelele.
Na hii inazidi kunikumbusha ile sala ya Bwana.....mapenzi yako yatimie; na pia sala ya Yesu kwa Baba yake....kikombe kiniepushe ila si kwa mapenzi yangu...
Go Magufuli, changamoto bado unazo sana na ushakuwa unpopular kwa chama chako.
I liked your cautiousness back then.
Now look what's happening!
Huyu ni Kaunga kweli au hacker?Kama mmoja wa UKAWA nasema hivyo kwa uhakika nikimlinganisha Yakobo jinsi alivyoupata uzaliwa wa kwanza kwa njia 'zisizo haki' lakini mapenzi na mpango wa Mungu ukaendelea kutimilika kupitia yeye. Lowassa kupokwa ushindi ni kama Essau kutapeliwa uzaliwa wa kwanza.
Njia za Mungu hazichunguziki, na tunashukuru kwa ajili ya Magufuli maana anatekeleza yale ambayo ukawa tumekuwa tukiyapigia kelele.
Na hii inazidi kunikumbusha ile sala ya Bwana.....mapenzi yako yatimie; na pia sala ya Yesu kwa Baba yake....kikombe kiniepushe ila si kwa mapenzi yangu...
Go Magufuli, changamoto bado unazo sana na ushakuwa unpopular kwa chama chako.
After a 5 min pause I came to the conclusion that, THE BIG BOSS na few elite huenda wakawa mafisadi
Exactly bro.USIPENDE KUMUINGIZA MUNGU KWENYE SIASA ZENU. MAAMUZI YA KISIASA NI YA WANASIASA kwa siasa za nchi husika, SIO MUNGU. Mungu kawapa akili, mtakachofanya kwa akili zenu msimuingize yeye. Hata JK watu walisema chaguo la Mungu hapo awali, chunga maneno yako bado mapema sana!!!!!!!!
Ni chaguo la Mungu au ndiye Mungu mwenyewe ?Kama mmoja wa UKAWA nasema hivyo kwa uhakika nikimlinganisha Yakobo jinsi alivyoupata uzaliwa wa kwanza kwa njia 'zisizo haki' lakini mapenzi na mpango wa Mungu ukaendelea kutimilika kupitia yeye. Lowassa kupokwa ushindi ni kama Essau kutapeliwa uzaliwa wa kwanza.
Njia za Mungu hazichunguziki, na tunashukuru kwa ajili ya Magufuli maana anatekeleza yale ambayo ukawa tumekuwa tukiyapigia kelele.
Na hii inazidi kunikumbusha ile sala ya Bwana.....mapenzi yako yatimie; na pia sala ya Yesu kwa Baba yake....kikombe kiniepushe ila si kwa mapenzi yangu...
Go Magufuli, changamoto bado unazo sana na ushakuwa unpopular kwa chama chako.
Kumbe ukweli mnaujua! Sasa kelele za mbona viwanda bado, mbona ajira bado, mbona, mbona... Kumbe mnajua muda bado anatengeneza mipango ya kuyafikia hayo! Sasa tumekubaliana tusubiri hadi 2020 ndio tumhukumu. Sawa?Magufuli ana good intentions
kaipania hii kazi
angependa kukumbukwa kama aliekuja 'kuijenga' nchi
but.......too early kumtangaza 'chaguo la Mungu'
Mobutu na Iddi Amini pia waliwahi kutangazwa 'machaguo ya Mungu huko makwao'
miaka ya mwanzo tu walipochukua madaraka
na kila walipokuwa wanapindisha au kuvunja sheria ili 'kuharakisha maendeleo'
kwa wananchi walipigiwa vigelegele nchi nzima...mpaka pale waliopiga vigelegele walipoanza
'kuisoma namba pia'
Hata kama ana nia nzuri...sheria zifuatwe
watu wasibomolewe nyumba bila taarifa au huku kuna zuio mahakamani
na sisi turukeruke na kusherehekea kisa ni 'ccm wanaisoma namba'
jamani ni siku 20 tu hizi.....kuna miaka 5 mbele......tutamlewesha sifa tutajuta
Duh kweli watu mliona mbali, I think mine was wishful thinking. I wanted him to be good so much that I didn't or decided not to see early warning signs. Nimejifunza kitu.
So what is your conclusion now!?No it was a joke kwa The Boss