Whenever you find yourself on the side of the majority, it is time to pause and reflect.[/QUOTEc]
After a 5 min pause I came to the conclusion that, THE BIG BOSS na few elite huenda wakawa mafisadi
Hahaa haaaa
Nikwambie kitu kuna vitu ukiweza kuvielewa ni ngumu kumuelewesha mwingine
Usisahau his main job sio kufunga na kukamata watu
his main job ni kuondoa umasikini...
kukamta na kufunga mafisadi ni kama kachumbari tu
ugali ni uchumi atafanyeje....ugali ukiwa mbichi hata kachumbari iweje haitasaidia...
Amri inatoka bar zote zianze kuuza pombe jioni
wenye bar wanapunguza wahudumu wa asubuhi....wahudumu wa asubuhi wanaanza kuisoma namba
intention ni nzuri but thru it watu wanakosa ajira....maamuzi kama hayo yakiwa mengi
orodha ya watakao isoma namba itakuwa kuubwa sana na wengine by accidents...tu watajikuta wanalia
sasa basi yanaweza ku back fire...kila sehemu kuka back fire
busara ni muhimu....ndo maana tuna criticise ili waweze fanya yote
clean up na at the same time ku fix economy itoe fursa kwa wengi...
na hayo yanahitaji umakini na kupunguza ushabiki na kumjaza masifa