Thinking aloud: Magufuli ni Chaguo la Mungu

Taratiiibu mkaanza kukubali muziki wa Magufuli
Magufuli ana good intentions
kaipania hii kazi
angependa kukumbukwa kama aliekuja 'kuijenga' nchi

but.......too early kumtangaza 'chaguo la Mungu'

Mobutu na Iddi Amini pia waliwahi kutangazwa 'machaguo ya Mungu huko makwao'
miaka ya mwanzo tu walipochukua madaraka
na kila walipokuwa wanapindisha au kuvunja sheria ili 'kuharakisha maendeleo'
kwa wananchi walipigiwa vigelegele nchi nzima...mpaka pale waliopiga vigelegele walipoanza
'kuisoma namba pia'

Hata kama ana nia nzuri...sheria zifuatwe
watu wasibomolewe nyumba bila taarifa au huku kuna zuio mahakamani
na sisi turukeruke na kusherehekea kisa ni 'ccm wanaisoma namba'

jamani ni siku 20 tu hizi.....kuna miaka 5 mbele......tutamlewesha sifa tutajuta
Hivi, hii slogan ya "chaguo la Mungu" mbona inashika kasi hivyo...
Tangu JMK tunaona machaguo ya Mungu tu...
Mihemko inatusumbua sana..JPM is doing well so far...
Nakuunga mkono kabisa kuwa Magufuli ni chaguo la Allah! Ni wana UKAWA wachache wanaweza kusema haya! Hongera sana.
Hapo kwenye red umeharibu kabisa labda ueleze kiundani ni kivipi alipokwa? Mlikuwa wapi? Aliposema nyie mpige kura swala la kuzilinda mmwachie yeye ulimuelewa?
Hakika Magufuli ni chaguo la Allah tumpe ushirikiano..
 
ahahaha,bado wanaukubali?

msimamo wako haujawahi kuyumba!asante mkuu!
Hivi, hii slogan ya "chaguo la Mungu" mbona inashika kasi hivyo...
Tangu JMK tunaona machaguo ya Mungu tu...
Mihemko inatusumbua sana..JPM is doing well so far...
ahahaha
Nakuunga mkono kabisa kuwa Magufuli ni chaguo la Allah! Ni wana UKAWA wachache wanaweza kusema haya! Hongera sana.
Hapo kwenye red umeharibu kabisa labda ueleze kiundani ni kivipi alipokwa? Mlikuwa wapi? Aliposema nyie mpige kura swala la kuzilinda mmwachie yeye ulimuelewa?
Hakika Magufuli ni chaguo la Allah tumpe ushirikiano..
ahahaha,eti chaguo la nani?
 
Kama mmoja wa UKAWA nasema hivyo kwa uhakika nikimlinganisha Yakobo jinsi alivyoupata uzaliwa wa kwanza kwa njia 'zisizo haki' lakini mapenzi na mpango wa Mungu ukaendelea kutimilika kupitia yeye. Lowassa kupokwa ushindi ni kama Essau kutapeliwa uzaliwa wa kwanza.

Njia za Mungu hazichunguziki, na tunashukuru kwa ajili ya Magufuli maana anatekeleza yale ambayo ukawa tumekuwa tukiyapigia kelele.

Na hii inazidi kunikumbusha ile sala ya Bwana.....mapenzi yako yatimie; na pia sala ya Yesu kwa Baba yake....kikombe kiniepushe ila si kwa mapenzi yangu...

Go Magufuli, changamoto bado unazo sana na ushakuwa unpopular kwa chama chako.

UKAWA haijawahi kuwa na malengo ya kuanzisha na kuutetea udikteta katika nchi.
Haya mawazo yako kawasimulie ng'ombe wenzio huko lumumba
 
Hiyo slogan ya chaguo la Mungu wanapenda kuitumia

Kimsingi ni tabia ya siku zote ya shetani kulazimisha watu wamwamini yeye ndiye mungu.
Kila siku mtu kukomalia aombewe utadhani kuna la maana anafanya kumbe upopoma mtupu.
 
Kama mmoja wa UKAWA nasema hivyo kwa uhakika nikimlinganisha Yakobo jinsi alivyoupata uzaliwa wa kwanza kwa njia 'zisizo haki' lakini mapenzi na mpango wa Mungu ukaendelea kutimilika kupitia yeye. Lowassa kupokwa ushindi ni kama Essau kutapeliwa uzaliwa wa kwanza.

Njia za Mungu hazichunguziki, na tunashukuru kwa ajili ya Magufuli maana anatekeleza yale ambayo ukawa tumekuwa tukiyapigia kelele.

Na hii inazidi kunikumbusha ile sala ya Bwana.....mapenzi yako yatimie; na pia sala ya Yesu kwa Baba yake....kikombe kiniepushe ila si kwa mapenzi yangu...

Go Magufuli, changamoto bado unazo sana na ushakuwa unpopular kwa chama chako.
Walokole wanakuwaga wamechanganyikiwa Mungu gani mjinga huyo amchague Magufuli ,Magufuli cahguo la wana ccm,kidumu chama.
 
Magufuli baba yetu, sisi watanzania tunakuunga mkono kwa dhati kutoka mioyoni mwetu ukiachilia mbali wachache wanaokupinga. MUNGU MWENYEZI AKUBARIKI, AKULINDE, AKUTIE NGUVU NA AWAWEKE MAADUI ZAKO CHINI YA MIGUU YAKO. AMINA.
 
hakuma chaguo la Mungu likapiga kampeni hadharani kwa mbwembwe za kusukuma juu (push up) chaguo la Mungu huteuliwa kwa unyenyekevu,usiri na utulivu mkubwa
 
Magufuli baba yetu, sisi watanzania tunakuunga mkono kwa dhati kutoka mioyoni mwetu ukiachilia mbali wachache wanaokupinga. MUNGU MWENYEZI AKUBARIKI, AKULINDE, AKUTIE NGUVU NA AWAWEKE MAADUI ZAKO CHINI YA MIGUU YAKO. AMINA.
Utaliwa jicho
 
Walokole wanakuwaga wamechanganyikiwa Mungu gani mjinga huyo amchague Magufuli ,Magufuli cahguo la wana ccm,kidumu chama.
Hakuna mlokole alochanganyikiwa kama unavyodhani, sema baadhi ya walokole feki wanakuja kujificha kwa walokole chunga ulimi wako.
 
Watu wengine wanawatafutia wenzao kesi kama za Lema bure. Unaweza shikwa hasira utamkeaneno yatakayo kupeleka nyuma ya nondo. Usiku mwema jamani Mleta mada kanikera
 
Magufuli ana good intentions
kaipania hii kazi
angependa kukumbukwa kama aliekuja 'kuijenga' nchi

but.......too early kumtangaza 'chaguo la Mungu'

Mobutu na Iddi Amini pia waliwahi kutangazwa 'machaguo ya Mungu huko makwao'
miaka ya mwanzo tu walipochukua madaraka
na kila walipokuwa wanapindisha au kuvunja sheria ili 'kuharakisha maendeleo'
kwa wananchi walipigiwa vigelegele nchi nzima...mpaka pale waliopiga vigelegele walipoanza
'kuisoma namba pia'

Hata kama ana nia nzuri...sheria zifuatwe
watu wasibomolewe nyumba bila taarifa au huku kuna zuio mahakamani
na sisi turukeruke na kusherehekea kisa ni 'ccm wanaisoma namba'

jamani ni siku 20 tu hizi.....kuna miaka 5 mbele......tutamlewesha sifa tutajuta

I liked your cautiousness back then.

Now look what's happening!
 
Kaunga hii thread yako nilisema hata kina Mobutu waliwahi kuitwa 'chaguo la Mungu'
utasema niliitazama next few months....huku najua nini kitatokea
Kuna magonjwa mengine, kama Typhoid, ambayo tiba yake vilevile ni ugonjwa unaojitegemea! Hata mitume wa mungu kuna wakati wafuasi wao hawakuwaelewa lakini mwishoni waliwaelewa!
Magufuli atabaki chaguo la Mungu!
 
Back
Top Bottom