Kaunga
JF-Expert Member
- Nov 28, 2010
- 12,529
- 13,502
- Thread starter
- #101
Hatekelezi yale tuliyokuwa tunayapigia kelele. Ufisadi, uadilifu, maendeleo, demokrasia. Kashfa kubwa za ufisadi bado hazijashughulikiwa (Epa, Lugumi etc). Hali ya uchumi kwetu sisi ni tete mno. Demokrasia imepokwa mno uhuru wa kutoa maoni ni kasheshe. Ajira kwa vijana ni swala, katiba mpya imekufa kifo cha mende. Kuhusu kuwa ni chaguo la Mungu, nina mashaka makubwa, unless Mungu ameamua kutuadhibu kwa midhambi yetu. That is my opinieted conclusion.So what is your conclusion now!?