Thinking aloud: Magufuli ni Chaguo la Mungu

Thinking aloud: Magufuli ni Chaguo la Mungu

Mungu wa Israel, Isaka na Yakobo. Mungu katika nafsi tatu ambazo ni Baba, Mwana na Roho Mtakatifu.
Mungu ninayemuamini mimi Mkristu Mkatoliki
Kama Mungu ni huyo Mungu pekee tunayemwamni wote, then hawezi kuwa wa Israel, Isaka na Yakobo tu. Na kama ni wa wote hawezi kutuchagulia mtu aliyeingia madarakani kwa udanganyifu. Huyo Mungu atakuwa the other version of god.

Ukizungumzia chaguo, basi Mungu aliwahi kufanya chaguzi 2 tu nazo ni taifa la Isreal, na Jesus. Hakuwahi na wala hatafanya chaguzi nyingine tena.

Hata sisi watz hatukuwahi kuchaguliwa kama taifa lake sembuse Magufuli kwani yeye ni sio Mtz?
 
Sio double standard The Boss. Kikwete na Magufuli ni two individuals ambao ni very different as two humans can be. Pombe's strength is not the same as Kikwete's. Hivyo hivyo na weaknesses zao ni tofauti. Pombe's dictation style kwa mtazamo wangu, na kama akimaintain good intention ndicho tunachohitaji kwa sasa Tanzania.
Hii demokrasia sijui utawala wa sheria ambao ni corrupt imetucost sana as a nation, na hasa wananchi wa kawaida. Majela yamejaa wezi wa kuku lkn mafisadi yako mtaani. Kutoiba maofisini unaonekana kuna screw kwenye ubongo wako imelegea, kwa maneno mengine ni utamaduni.
Unaiba billions unaishia kufukuzwa kazi ukatumie ulichoiba kwa raha zako.
So Pombe na 'udikteta' wake unahitajika sana kwa kipindi hiki. We have seen worse moment (wagonjwa kufa kwa kukosa dawa); what else can be done?
Let's try this leadership halafu mbele tutaona.
I wonder what Mzee Mwanakijiji is saying now. Kiukweli mimi mabadiliko haya nayapokea, hata Kagame at one point nilitamani angekuwa TZ
 
Last edited by a moderator:
Kama Mungu ni huyo Mungu pekee tunayemwamni wote, then hawezi kuwa wa Israel, Isaka na Yakobo tu. Na kama ni wa wote hawezi kutuchagulia mtu aliyeingia madarakani kwa udanganyifu. Huyo Mungu atakuwa the other version of god.

Ukizungumzia chaguo, basi Mungu aliwahi kufanya chaguzi 2 tu nazo ni taifa la Isreal, na Jesus. Hakuwahi na wala hatafanya chaguzi nyingine tena.

Hata sisi watz hatuwahi kuchaguliwa kama taifa lake sembuse Magufuli kwani yeye ni sio Mtz?

Tell me, Yakobo hakuwa mpango wa Mungu?
 
Magufuli ana good intentions
kaipania hii kazi
angependa kukumbukwa kama aliekuja 'kuijenga' nchi

but.......too early kumtangaza 'chaguo la Mungu'

Mobutu na Iddi Amini pia waliwahi kutangazwa 'machaguo ya Mungu huko makwao'
miaka ya mwanzo tu walipochukua madaraka
na kila walipokuwa wanapindisha au kuvunja sheria ili 'kuharakisha maendeleo'
kwa wananchi walipigiwa vigelegele nchi nzima...mpaka pale waliopiga vigelegele walipoanza
'kuisoma namba pia'

Hata kama ana nia nzuri...sheria zifuatwe
watu wasibomolewe nyumba bila taarifa au huku kuna zuio mahakamani
na sisi turukeruke na kusherehekea kisa ni 'ccm wanaisoma namba'

jamani ni siku 20 tu hizi.....kuna miaka 5 mbele......tutamlewesha sifa tutajuta

Umenena ukweli mtupu
 
Kuna double standard unaifanya na i am sure hata huioni
First Kikwete unampa lawama yeye as individual zaidi hutaki kutambua kuwa
hata yeye Kikwete pengine 'alidhibitiwa' na CCM if its true kama kuna watu powerfull CCM
wa kumdhibiti Rais.....kama hakuna hao watu ilikuwa uzembe wake Kikwete
basi na huyu wala tusimtafutie 'visababu' akishindwa huko mbele
itakuwa uzembe wake pia.... tusije kuwa tunaanda mazingira ya kumtetea akishindwa huko mbele

Inaweza kuwa nguvu ya soda au mbinu za kuteka akili watu
ili 'ajifanyie' anayoyataka huko mbele bila kubuguzwa
ndo maana nime mention kina Mobutu na Iddi Amin...walipendwa haswa
na mpaka leo kuna watu wanawatetea kuwa 'walishauriwa' vibaya tu
uzalendo wanao na nia zao zilikuwa njema

Ni vigumu sana watu wenye mtazamo chanya kukuelewa mkuu
 
Anachokifanya ndicho tulichokihubiri all these years. Bado mbele giza, maana ccm ndio mnaisoma number.
Kama wanainchi wa kawaida tunataka things zihappen basi

Ndugu yangu Kaunga, kwa nini usisubiri jogoo akawika kwanza?

Hebu kumbuka kinachompata Mzee wetu Bishop Kilaini....

Hii ni michezo ya siasa na sina hakika kama inaweza kwenda nje ya rules za michezo yenyewe...

cc The Boss
 
Last edited by a moderator:
Good Discussion ! If I may say so.

Magufuli ni Chaguo la Mungu period.

We need such personality in presidency at the moment.

Hayo mengine ... go and flush ..!
 
Lowassa kaporwa ushindi na Magufuli, yet Magufuli ni chaguo la Mungu...
Mihemko inatusumbua sana...
 
Lowassa kaporwa ushindi na Magufuli, yet Magufuli ni chaguo la Mungu...
Mihemko inatusumbua sana...

The idea ya kumpa title ya 'chaguo la mungu'
hupelekea kuamnisha watu huyo mtu'hawezi kosea'
ndo maana akianza kukosea utaona wanalaumiwa wengine
Majaliwa atabeba sana lawama za Magufuli...naweza kutabiri hilo kwa uhakika
 
Kuwa chaguo la Mungu doesn't make one infallible, Daudi alianguka, Suleiman pia. Naweza nikasema kila mtu kuwepo duniani ni uchaguzi wa Mungu and yet we fall every other minute.

Kufikiria hivyo ni kwenda kwenye one extreme.

Lawama hazitakaa zitoweke lakini alichoanza kukifanya, personally nakifurahia; na nafikiri I share the same view with majority ordinally citizens
 
  • Thanks
Reactions: bdo
The idea ya kumpa title ya 'chaguo la mungu'
hupelekea kuamnisha watu huyo mtu'hawezi kosea'
ndo maana akianza kukosea utaona wanalaumiwa wengine
Majaliwa atabeba sana lawama za Magufuli...naweza kutabiri hilo kwa uhakika
I don't buy hiyo idea ya 'chaguo la mungu'.
Tunaheshimu mamlaka zilizowekwa, whether kidikteta au kidemokrasia, lakini kusema ni 'machaguo ya mungu', sijui ni mungu gani huyo.
Kwa vile amekuwa na 25 fine days, conclusion imeshatoka kuwa kachaguliwa na Mungu?
Vasco alisemwa kuwa 'chaguo la mungu', yet utawala wake umekuwa mbovu kuliko tawala zote (maoni binafsi)...tumeshuhudia kila mtu akisema 'serikali dhaifu'.
Binafsi nadhani tuache haka kamtindo ka ushabiki, Haya machaguo ya mungu while tuna nchi masikini, na yakutupwa? Huyo Mungu anatuchagulia watu gani hao...
 
I am the punishment of God.If you had not committed great sins, God would not have sent a punishment like me upon you......Genghis Khan.
 
Kama Mungu ni huyo Mungu pekee tunayemwamni wote, then hawezi kuwa wa Israel, Isaka na Yakobo tu. Na kama ni wa wote hawezi kutuchagulia mtu aliyeingia madarakani kwa udanganyifu. Huyo Mungu atakuwa the other version of god.

Ukizungumzia chaguo, basi Mungu aliwahi kufanya chaguzi 2 tu nazo ni taifa la Isreal, na Jesus. Hakuwahi na wala hatafanya chaguzi nyingine tena.

Hata sisi watz hatukuwahi kuchaguliwa kama taifa lake sembuse Magufuli kwani yeye ni sio Mtz?

Mkuu nani alimchagua Mfalme Daudi? Unless uwe specific unaongelea uchaguzi upi?
 
Lowassa kaporwa ushindi na Magufuli, yet Magufuli ni chaguo la Mungu...
Mihemko inatusumbua sana...

On this earth, God hajawahi chagua kiongozi? Mamlaka zote huletwa na Mungu
 
Kuwa chaguo la Mungu doesn't make one infallible, Daudi alianguka, Suleiman pia. Naweza nikasema kila mtu kuwepo duniani ni uchaguzi wa Mungu and yet we fall every other minute.

Kufikiria hivyo ni kwenda kwenye one extreme.

Lawama hazitakaa zitoweke lakini alichoanza kukifanya, personally nakifurahia; na nafikiri I share the same view with majority ordinally citizens

Whenever you find yourself on the side of the majority, it is time to pause and reflect.
 
I don't buy hiyo idea ya 'chaguo la mungu'.
Tunaheshimu mamlaka zilizowekwa, whether kidikteta au kidemokrasia, lakini kusema ni 'machaguo ya mungu', sijui ni mungu gani huyo.
Kwa vile amekuwa na 25 fine days, conclusion imeshatoka kuwa kachaguliwa na Mungu?
Vasco alisemwa kuwa 'chaguo la mungu', yet utawala wake umekuwa mbovu kuliko tawala zote (maoni binafsi)...tumeshuhudia kila mtu akisema 'serikali dhaifu'.

Binafsi nadhani tuache haka kamtindo ka ushabiki, Haya machaguo ya mungu while tuna nchi masikini, na yakutupwa? Huyo Mungu anatuchagulia watu gani hao...

You are on your way to atheism. Maana kinachofuata ni maswali ya Kiranga, kama Mungu .......then kwanini kuna suffering.

Mungu hutumia kitu chochote kufikisha ujumbe. Issue ni wengi hawapati message ktk kila tukio linalotokea.
There is a message au something positive ktk utawala wa Kikwete. Angekuwa average basi watu wasingedai mabadiliko, kuna mapinduzi makubwa sana ya kifikra kwa jamii ya Watanzania kuliko kipindi chochote.
Shida huleta maarifa, au we learn through mistake si misemo tunayoiimba kila siku?

Tanzania ya sasa sio ya 11 years ago
 
Whenever you find yourself on the side of the majority, it is time to pause and reflect.
After a 5 min pause I came to the conclusion that, THE BIG BOSS na few elite huenda wakawa mafisadi
 
Back
Top Bottom