Thibitisha kwamba HAKUNA MUNGU

Thibitisha kwamba HAKUNA MUNGU

kutafika wakati watu mkataa yesu na wala hawatamuamini.wataja manabii watakao hubiri wakitumia njia potofu.wanaotumikia mungu watatengwa na kuchukiwa.watu watadanganywe shetani kupitia mali.Na wengi wataacha njia ya imani na kusujudu mbele ya shetani.Dunia itajawa na maafa mengi.Ila mungu yupo ila iman yenu ishapotea
 
Ok,Mungu yupo.Mwenye kutaka proof anitafute.Anayetaka porojo anaweza kuendelea.Kiufupi huwezi kupata hitimisho hapa.Mbaya zaidi na wale watakao anza kuleta vifungu vya biblia au quran kujaribu kuprove uwepo wa Mungu hapo ndio hamtamaliza.Lakini kwa ambaye yuko interested ninao ushahidi tangible sema sio wa maandishi na hata nikikueleza hapa huwezi kuamini zitabaki porojo ukioniona unaweza kuelewa hili.
Mbona ushaanza kujiwekea defense mapema kwenye huo ushahidi wako?

Weka hapa huo ushahidi tuuone. Siwezi kufanya judgment kwenye kitu ambacho bado hujakiweka.
 
Wewe unayejifanya unatumia akili yako unashindwa nini kujibu hoja ?? umebaki kulalamikia chartgtp ?? si uwende huko au ulipigwa ban
Kwahiyo wewe sheikh unapotuona sisi tumenyamaza unazani kwamba hiyo mnemba hatuijui?

Wewe unadhan kwamba kwa kutumia hiyo chatgpt utaweza kuwabadilisha hawa jamaa wasio amin uwepo? Wa MUNGU

Hawa jamaa waache hivyo hivyo wakizeeka watabadirika wenyewe bila kulazimishwa
 
Kama hakuna wanaosema Mungu yupo ,hakuna mjadala kama wapo wathibitishe madai yao.
Wapo wenye kusema Mungu yupo na wapo wenye kusema Mungu hayupo na wapo wenye kuishia kusema tu hakuna uthibitisho wa kuwepo Mungu ila hawasemi Mungu hayupo.
 
Kila mtu angefanya hivyo jukwaa lingekua linaendeshwa na maroboti sasa, AI mwenyewe kagunduliwa na watu yeye huo uthibitisho wa uwepo wa Mungu atautolea wapi sasa?
Halafu kitu kingine mgerasi wewe unaamin kabisa kwamba mtu ambaye hamwamini MUNGU unaweza mwaminisha kupitia chatgpt?

Mtu ambaye haamin uwepo wa MUNGU ni wa kuacha hivyo hivyo tu ipo siku atakutana na MUNGU yeye mwenyewe binafsi atabadili mawazo

Siyo kutumia nguvu nyingi page juu ya page unashindana na kiranga

Watu wenyewe leo jumapili walikuwa kanisani afu wakitoka kanisani wanakuja kukuumiza kwichwa hapa
 
Wao pia watakuja wakuambie uthibitishe ya kuwa Mungu yupo, au ungeanza kwanza na uthibitisho wako ndio mpambano ungekuwa mkali.
Hakuna haja ya uthibitisho kwa mtu ambaye nae ametoa madai yake hata kama madai hayo yanapingana na yako, mtu anaposema hakuna Mungu hayo yanakuwa ni madai yake na si kwamba anasema hakuna Mungu et kisa hakuna uthibitisho. Uthibitisho ni kitu ambacho kinaweza kukosekana wakati huu na kupatikana baadaye.
 
Mbona ushaanza kujiwekea defense mapema kwenye huo ushahidi wako?

Weka hapa huo ushahidi tuuone. Siwezi kufanya judgment kwenye kitu ambacho bado hujakiweka.
Wewe unataka kuendelea na porojo tu.Nilidhani unatafuta kujua ukweli.Ukiwa interested unaweza kunitafuta labda kama unataka kutumia siku nzima unaandika humu sawa.Hakuna jibu utapata, mtabaki mnazungushana tu.
 
Thread za nyuma zipo mpaka leo Kiranga hajajibiwa hoja zake, sasa kuanzisha thread mpya kwa maudhui yaleyale nilitegemea umekuja na majibu kumbe porojo tupu.

By the way mimi siyo Atheist lakini Kiranga ajibiwe kwa hoja na si porojo.
 
Sasa mtu atathibitishaje kua hiki kitu hakipo wakati kwake ni hakipo, yaan athibitishe HAMNA
au sijaelewa?
Kinachomfanya aseme kwa uhakika kuwa hicho kitu hakipo ni nini? Atheists walitakiwa kuishia kusema tu hakuna uthibitisho wa kuwepo Mungu basi, ila wanaposema hakuna Mungu hapo ndio shida inapoibuka.
 
Miungu yote mingine inategemea kitu kingine — haiwezi kuwepo peke yake. Allah pekee ndiye wa Lazima, asiyeumbwa, na chanzo cha yote. Hii ndiyo tofauti.
Hiyo tofauti unayoiona wewe kwa mungu wako allah ndio tofauti wanayoiona wadini wenzio

Wata mtreat mungu wako allah the same way unatakavyo mtreat mungu wao
Kwahiyo nyinyi wadini kila mtu ana mungu wake?
 
Wewe unataka kuendelea na porojo tu.Nilidhani unatafuta kujua ukweli.Ukiwa interested unaweza kunitafuta labda kama unataka kutumia siku nzima unaandika humu sawa.Hakuna jibu utapata, mtabaki mnazungushana tu.
Sasa Mkuu kudai kwangu uthibitisho kunakuwaje porojo?

Unataka nikutafute wapi nje na hapa ambapo kila nikikusisitizia kuhusu uthibitisho unakuwa mkali?

Unataka nije kwako? Hell no.

Kwa jinsi unavyo respond hapa you sound wrathful to me which makes me scared as shit, I can't even dare to knock on your door.
 
A Necessary Being isn’t assumed—it’s concluded.
Why do you conclude without evidence and proofs?
Contingent things exist, an infinite regress is impossible, so reason demands a self-existent cause.

Allah fits this by definition; Jesus, Zeus, and Krishna are contingent, dependent, and limited—so they cannot be the Necessary Being.
So Jesus is contingent and limited but Allah isn't?
 
Could you please clarify this statement?I can't tell what were you trying to explain here.

So, Allah doesn't exist right? What is the meaning of this ?"No evidence isn't proof Allah doesn't exist".
The statement was very simple and clear.

He literally meant lack of evidence doesn't necessarily means Allah( God) doesn't exist

Wewe tu ndo umeshindwa kuielewa hiyo statement bt it's just as simple as that
 
That statement was very simple and clear, I don't know why you're misinterpreting it.

He literally meant lack of evidence doesn't necessarily means Allah/ God doesn't exist.

In simple terms he meant there could be no evidence/proof bt God still exists
 
Back
Top Bottom