Thibitisha kwamba HAKUNA MUNGU

Thibitisha kwamba HAKUNA MUNGU

A Necessary Being isn’t assumed—it’s concluded.

Contingent things exist, an infinite regress is impossible, so reason demands a self-existent cause.

Allah fits this by definition; Jesus, Zeus, and Krishna are contingent, dependent, and limited—so they cannot be the Necessary Being.
So Jesus is contingent and limited but Allah isn't?
Hapa sitaji vifungu kiongozi.Ushahidi nilionao unaoneka.Hapa zitabaki porojo tu.Kama huko interested utanitafuta napatikana otherwise hapa hamtafika hitimisho.Binadamu pekee nayeweza kuprove kuwa Mungu yupo ni mimi lakini mpaka unione sio ushahidi wa maandishi au vifungu vya maneno ya watu wa kale hapana.Ni kitu kinachoonekana
Rekodi hata video au picha ya huo ushahidi ukimuonyesha Mungu. Maana umesema ni ushahidi unao onekana.

Uweke hapa.
 
Kuuliza chanzo cha Mungu ni sawa na kuuliza "what is the North of North pole?"

Hilo swali hapo juu nadhani kila mtu ameona jinsi lilivyo insensible/ halimake sense

God himself is the beginning,then the creation followed thereafter.
He's the cause of causes.
 
If "we are born" from our parents.

Then, Allah isn't the one creating us. And he is not our creator.

Allah doesn't create humans. And He is not necessary.

We are born.

We are self-existing.

Therefore, Allah doesn't exist.
If you claim we were born then where did the first two human beings( man & woman) come from before procreating?

Je, walichipuka kutoka ardhini ndo wakaanza kuzaliana na kusambaa Duniani kote?

Nasubiri mrejesho
 
If you claim we were born then where did the first two human beings( man & woman) come from before procreating?
Hakuna binadamu wa kwanza
(Man and Woman) kwa binadamu wote ulimwenguni.

Hakuna binadamu wawili tu, walio zaliana kujaza ulimwengu wote.

Ingekuwa kwamba binadamu wote tumetokana na binadamu wawili tu waliojaza ulimwengu wote, Basi kusingekuwa na utofauti wa vinasaba kwa binadamu.

Binadamu wote tungefanana DNA 🧬zetu. Tungefanana hadi rangi na muonekano wetu. Maana wote tungekuwa na asili moja ya wazazi wawili tu.

Lakini sivyo, Binadamu tuna tofautiana. Kuna waafrika weusi, kuna wazungu weupe, kuna wahindi, kuna waarabu, kuna wachina, kuna wakorea, kuna wajapani, kuna wafilipino.

Sasa kwa huu utofauti, Huwezi kusema kwamba tumetokana na wazazi wawili tu.

Ingekuwa tumetokana na "wazazi wawili tu wa mwanzo" tungefanana kwenye kila kitu.
Je, walichipuka kutoka ardhini ndo wakaanza kuzaliana na kusambaa Duniani kote?
Kila mtu amezaliwa ndani ya Dunia na mzazi wake.

Hakuna aliyeumbwa.

Kila mtu kazaliwa na wazazi wake.
Nasubiri mrejesho
 
Kuuliza chanzo cha Mungu ni sawa na kuuliza "what is the North of North pole?"

Hilo swali hapo juu nadhani kila mtu ameona jinsi lilivyo insensible/ halimake sense

God himself is the beginning,then the creation followed thereafter.
He's the cause of causes.
Divine fallacy, also known as the argument from incredulity, is a logical fallacy asserting that because a phenomenon is amazing, complex, or difficult to understand, it must be caused by divine intervention or a supernatural force.

It assumes personal lack of understanding equals a divine explanation.

Source: Effectiviology The Divine Fallacy: When People Assume that God Must Be the Explanation – Effectiviology
 
Siku zote nawambia atheist wanaoparate katika very low dimension, wao wanazungumzia katka level Yao ya understanding nimewahi kutoa mfano mmoja, nilipokua mdogo nilikua anafikiria Kwamba zile cassette za nyuzi brown mziki ukipiga muimbaji anakua yumo mle Kwenye zile nyuzi. Na watoto wengi miaka hio katika mtaa tuliamini Hilo! So Elimu ya uungu Iko dimension ambayo wao wanashindwa kuitafsri hivyo wanaishia kupinga kwakua complexity uungu na uumbaji haiko katka level ya uelewa wao

Leo hii kiumbe Kama sisimizi ukibahatika kuongea nae ukamwambia hicho kichuguu unachojidai nacho nikaji tone kamchanga katika eneo la ardhi lililopo amballo wewe hulijui, nawambia sisimizi litamtoka povu lakin nikwakua dimension yake ya uelewa Iko limited katika kichuguu chake, na hajafunuliwa macho na hawezi kukuelewa Hata ukimtembeza baadhi ya maneno kwakua Tatizo lake liko katika ufahamu
Kwanza hakuna Elimu ya uungu, mambo ya uungu na dini ni kuamini tu halafu binadamu tofauti na hao viumbe wengine ni kwamba yeye ana cognitive na story telling abilities. Sisimizi wako hawezi kuwaza kama kuna maisha baada ya kifo, huwezi kwenda porini ukamuambia Simba asikule kwa sababu hataenda mbinguni akikuua, huwezi kumuambia chui akuwindie na kukuletea wanyamapori kama sadaka kwa mungu.
 
Raymanu KE

The Divine Fallacy: When People Assume that God Must Be the Explanation.

The divine fallacy is a logical fallacy that occurs when someone assumes that a certain phenomenon must occur as a result of divine intervention or a supernatural force, either because they don’t know how to explain it otherwise, or because they can’t believe that this isn’t the case.

For example, if someone doesn’t understand how evolution works, they might display the divine fallacy if they claim that their inability to understand evolution is proof that God must have created humans.

The divine fallacy is important to understand, since people frequently use it in an attempt to discredit scientific theories that they disagree with, and in order to support various pseudoscientific concepts.
 
Huu uzi unatuchoresha tunaoamini Mungu yupo. Mtu anasema kitu hakipo sasa anathibitishaje kisichokwepo?
Hawakutakiwa kusema hakipo walitakiwa kusema tu hakuna uthibitisho wenye kuthibitisha uwepo wa hicho kitu ili tujue wanapinga madai ya kuwepo kitu pasina kuwa na uthibitisho, sasa tatizo atheists wanadai hakuna Mungu halafu wanakwambia kama unabisha thibitisha kama Mungu yupo.

Kwahiyo kama atheists wasingekuwa wanadai hakuna Mungu wakawa wanasema tu hakuna uthibitisho wa kuwepo Mungu basi hili la wao kuambiwa wathibitishe kisichokuwepo lisingekuwepo.
 
Kwanza hakuna Elimu ya uungu, mambo ya uungu na dini ni kuamini tu halafu binadamu tofauti na hao viumbe wengine ni kwamba yeye ana cognitive na story telling abilities. Sisimizi wako hawezi kuwaza kama kuna maisha baada ya kifo, huwezi kwenda porini ukamuambia Simba asikule kwa sababu hataenda mbinguni akikuua, huwezi kumuambia chui akuwindie na kukuletea wanyamapori kama sadaka kwa mungu.
Ndio maana nyie atheist mnaoparate katika eneo dogo Sana la Elimu unaniambia ni proof Mungu yupo katka Elimu tuu unayoitaka wewe mathalani science ni kweli Kwenye science na na technology ni Elimu ndogo to kulingana na Mungu aliekuumba wewe na hio science Yako na technology...unapinga kwasababu Elimu hio ya utambuzi huna ila sii kweli Kwamba Mungu hayupo.

Kwa mfano maneno haya ' Hakuzaa Wala hakuzaliwa' Kwa mwanasayansi hili kamwe haliwezi kuingia akilini kwakua logic na understanding ya existing ni lazima izaliwe na izae au iundwe au iunde so this knowledge is beyond that level
 
Kuuliza chanzo cha Mungu ni sawa na kuuliza "what is the North of North pole?"

Hilo swali hapo juu nadhani kila mtu ameona jinsi lilivyo insensible/ halimake sense

God himself is the beginning,then the creation followed thereafter.
He's the cause of causes.
I like the way you refer to God as him.

Slowly the gender has been revealed.

That's good progress, fellas let's keep pushing we finna see his siblings real soon.
 
I like the way you refer to God as him.

Slowly the gender has been revealed.

That's good progress, fellas let's keep pushing we finna see his siblings real soon.
Of course God's pronouns are He and him, were you thinking otherwise?
 
Of course God's pronouns are He and him, were you thinking otherwise?
And actually he has balls like us (men)

Then how the hell you claim this dude is invisible?

Does this make any sense to you?
 
The statement was very simple and clear.

He literally meant lack of evidence doesn't necessarily means Allah( God) doesn't exist

Wewe tu ndo umeshindwa kuielewa hiyo statement bt it's just as simple as that
Sasa nikwambie ndugu.Hiyo sentensi yake ilivyokuwa bila kiambata mbele ya proof inakupa maana nyingine.Sasa kiongeze hicho ndio utapata hiyo maana unayosema.Ukikitoa tu hiyo sentensi mtu akaipunctuate atabaki na maswali kama yangu
 
And actually he has balls like us (men)

Then how the hell you claim this dude is invisible?

Does this make any sense to you?
That's a logical non sequitor fallacy,just because God's pronouns are He and him doesn't necessarily means he must have balls.

We're made in the likeness of his image, bt this doesn't means we're exactly like him.
 
He/him stands for male.

And male must have balls.

If what you called God doesn't have em', then he could probably be castrated

Or he could be transgender.
 
Kwahiyo wewe sheikh unapotuona sisi tumenyamaza unazani kwamba hiyo mnemba hatuijui?

Wewe unadhan kwamba kwa kutumia hiyo chatgpt utaweza kuwabadilisha hawa jamaa wasio amin uwepo? Wa MUNGU

Hawa jamaa waache hivyo hivyo wakizeeka watabadirika wenyewe bila kulazimishwa
Kwani nilimkataza Nani kutumia chartgtp au dubwasha lolote? Hoja ni Thibitisha kwamba HAKUNA MUNGU na sio kubadilisha watu imani. Hiyo ni personal choice
 
He/him stands for male.

And male must have balls.

If what you called God doesn't have em', then he could probably be castrated

Or he could be transgender.
And what's wrong with him having the balls?
Does it change the fact that he's the supreme being?
 
He/him stands for male.

And male must have balls.

If what you called God doesn't have em', then he could probably be castrated

Or he could be transgender.
Suppose I asked you this question
" What's the North of North pole?"
What would you answer me
 
Back
Top Bottom