min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 46,262
- 127,135
Sio mbaya wewe tiririka tu ,na AI zako mkuuAlikuambia nani maneno hayo ?? Hivi ulisoma masharti ya JF ??
Sio mbaya wewe tiririka tu ,na AI zako mkuuAlikuambia nani maneno hayo ?? Hivi ulisoma masharti ya JF ??
We Miso misondo umepigaje hapooo???No evidence isn’t proof Allah doesn't exist.
True, but Allah’s existence is not a claim based on empirical evidence—it’s a logical necessity.Anything asserted without evidence can be dismissed without evidence.
Exactly — lack of evidence isn’t evidence of nonexistence. You can’t use human limits to deny a Necessary Being.We Miso misondo umepigaje hapooo???
😂
Hata wewe unaweza kutiririka na Ai yako pamoja na mungu wako , nimemsahau jina 😛 😛 😛Sio mbaya wewe tiririka tu ,na AI zako mkuu
Hii lugha ya malkia ya kishenzi sana usipokuwa makini unaweza mvua mama mkwe nguo.Hapa kaniacha njia panda sema fresh tuWe Miso misondo umepigaje hapooo???
😂
Ndio maana tunataka wewe ambae umevuka hizo limitations uweke uthibitisho yakinifu ili tujue Ukweli wa mambo bila mkanganyikoSiku zote nawambia atheist wanaoparate katika very low dimension, wao wanazungumzia katka level Yao ya understanding nimewahi kutoa mfano mmoja, nilipokua mdogo nilikua anafikiria Kwamba zile cassette za nyuzi brown mziki ukipiga muimbaji anakua yumo mle Kwenye zile nyuzi. Na watoto wengi miaka hio katika mtaa tuliamini Hilo! So Elimu ya uungu Iko dimension ambayo wao wanashindwa kuitafsri hivyo wanaishia kupinga kwakua complexity uungu na uumbaji haiko katka level ya uelewa wao
Leo hii kiumbe Kama sisimizi ukibahatika kuongea nae ukamwambia hicho kichuguu unachojidai nacho nikaji tone kamchanga katika eneo la ardhi lililopo amballo wewe hulijui, nawambia sisimizi litamtoka povu lakin nikwakua dimension yake ya uelewa Iko limited katika kichuguu chake, na hajafunuliwa macho na hawezi kukuelewa Hata ukimtembeza baadhi ya maneno kwakua Tatizo lake liko katika ufahamu
Tungekuwa contingent beings, tungeshindwa kuzaliana wenyewe kwa wenyewe.Humans reproduce, but we are contingent; only Allah is truly self-existent and uncaused.
That's how your religion manipulates you.All the gods you listed are contingent – they depend on something else.
Only Allah is a Necessary Being: uncreated, without a cause, and the foundation of the existence of everything. This is His fundamental difference.”
Tungekuwa contingent, tungeshindwa kuzaliana wenyewe kwa wenyewe.
Allah angekuwa ndio cause ya uwepo wetu, Tusingekuwa tunazaliana wenyewe kwa wenyewe, Tungesubiri yeye atuumbe kila siku. Kama vile magari yanavyo subiri kuundwa na binadamu.
Lakini sisi hatuumbwi. Tunazaliana wenyewe. Hakuna Allah anayeumba watu. Hakuna Allah aliyeumba binadamu.
Binadamu hawaumbwi.
Binadamu wanazaliwa.
Humans are not contingent. If we were contingent, We would have been waiting for Allah to come and create us daily.
But we reproduce by ourselves.
No Allah.
Kwanza umevuruga msingi wa swali kwa kuligeuza ili upate urahisi wa kulijibu.Kutokuwezekana kwa Allah si kutokana na experience, bali ni logic: kila kiumbe contingent kina chanzo, msururu hauwezi kuwa usio na mwisho, hivyo lazima kuwe na Necessary Being – Allah, hajaumbwa, hana chanzo, msingi wa kila kitu.
Could you please clarify this statement?I can't tell what were you trying to explain here.No evidence isn’t proof Allah doesn’t exist.
That's how your religion manipulates you.
Jambo la msingi unatakiwa ulielewa kuwa dini zote zina ubinafsi, kila dini inajiona yenyewe ndio superior dhidi ya nyingine.
Hii pia ni uthibitisho kuwa any assertion regarding faith should be taken as pointless kwasababu tunaona jinsi ambavyo imani isivyopaswa kuaminika katika utoaji wa majibu ya kweli.
Imagine hapo unawakataa Miungu ya wenzako licha ya kwamba wapo kwenye imani.
Lakini ukiingia kwenye mjadala na Atheist unasema swala la Mungu ni imani, wakati tunaona wewe mwenyewe unakataa imani za wenzako.
Kwanza unavyo jenga hoja kusema Allah ndio Mungu pekee haubadilishi kitu.
Wala usidhani kwamba hiyo Miungu ya dini zingine zimekaa kinyonge kihivyo na kwamba hazina mafundisho kama yako ya kujipa maujiko ya kumsifia Mungu wao na kuwakandia Miungu ya dini zingine akiwemo Allah.
Unachotakiwa kukumbuka hata Mungu wako wanamuona snitch the same way, tena wao wanaweza kuja na reasoning ambayo inaweza kuni convince hata mimi.
Mfano hapo kuna Vishnu: Vishnu ni Mungu wa dini ya Kihindu ambaye katika historical records huyu ameanza kusimuliwa miaka mingi kabla hata ya ujio wa Allah na Uislam kiujumla.
Vishnu ndiye aliyekuja na theories za kuumba ulimwengu nk, so dini zozote zilizokuja baada ya hapo na stori za uumbaji wa ulimwengu ni wazi zili copy hii idea. (Na si vibaya kuiga, ila kuiga kwa kutotoa credit kutoka kwa mtu uliyemuiga ni mbaya)
Achana na ule ujinga wa kusema sijui Uislam ulikuwepo tangu na tangu:
Hii pia inaongeza mashaka kuhusu ukweli wa mafundisho ya dini yenu. Kama tu vitu vilivyofanyika hapa duniani na vipo kwenye rekodi mmevifanyia spinning ni nani anaweza kuwa na hakika kuhusu mafundisho ya bikra 72 peponi ambako hakuna aliyefika?
Mnataka kutudanganya kwenye mambo ambayo yapo kwenye historical records mtashindwa vipi kutudanganya kwenye maswala ya spiritual scriptures?
If we reproduce by ourselves then we are not contingent beings.Humans reproduce, but we are contingent on the universe and its laws. Only Allah is truly self-existent
Kwanza makubaliano ya Uislamu na Ukristo sio kuhusu Mungu ni Miungu.Mkristo kupingana Muislam kuhusu Allah silijui hili.Kitu kimoja wanachokubaliana ni kwamba kuna Mungu(awe ni Allah au God inakuwa ni mada nyingine)
Could you please clarify this statement?I can't tell what were you trying to explain here.
So, Allah doesn't exist right? What is the meaning of this ?"No evidence isn't proof Allah doesn't exist".
Kwa mfano nikisema hakuzaa Wala hakuzaliwa, Kwako hii Elimu ni kubwa mno kwasababu ya mazoea atheist wengi wanazani Elimu ni science pekee, Kuna Elimu ambazo Hata binadamu Bado hazijamfikia, kiufupi tuko chini ya Elimu ambayo IPO na hatuifahamu ndio ule mfano wa tone la mchnga kwa sisimiziNdio maana tunataka wewe ambae umevuka hizo limitations uweke uthibitisho yakinifu ili tujue Ukweli wa mambo bila mkanganyiko
Negative Proofs:👇True, but Allah’s existence is not a claim based on empirical evidence—it’s a logical necessity.
Lack of physical proof doesn’t negate a Necessary Being
Kama hazijamfikia binadamu wewe zimekufikia vipi hizo elimu?Kwa mfano nikisema hakuzaa Wala hakuzaliwa, Kwako hii Elimu ni kubwa mno kwasababu ya mazoea atheist wengi wanazani Elimu ni science pekee, Kuna Elimu ambazo Hata binadamu Bado hazijamfikia, kiufupi tuko chini ya Elimu ambayo IPO na hatuifahamu ndio ule mfano wa tone la mchnga kwa sisimizi