Thibitisha kwamba HAKUNA MUNGU

Thibitisha kwamba HAKUNA MUNGU

How is the infinite turning finite a contradiction?

Do you understand that TRUTH transcends the limited laws of logic?

I explain that here:

Post in thread 'Kipindi siamini MUNGU, sikuwa na muda na imani za watu' Kipindi siamini MUNGU, sikuwa na muda na imani za watu

Because “infinite” and “finite” are mutually exclusive definitions—something cannot be unlimited and limited in the same respect at the same time.
And saying “truth transcends logic” doesn’t solve it: if logic is abandoned, words lose meaning, and even the claim “God is infinite” becomes meaningless.
 
Sidhani hata kama umesoma hiyo post. Inachosha kurudiarudia, na ku spoon feed.

We have scientific truths in the universe that transcends the laws of Logic, mifano iko kwenye hiyo post.

Jesus is not Logical, but he is the TRUTH we have seen in the universe.
 
Kitu kisichoeleweka au kisicholingana na mantiki si ushahidi wa ukweli wake; sayansi inapita zaidi ya mantiki bila kuibua miujiza ya kidini

kumwita Yesu ‘TRUTH’ kwa sababu si logical ni kuruka kutoka mystery kwenda imani, si kwenda kwenye ukweli
 
Kitu kisichoeleweka au kisicholingana na mantiki si ushahidi wa ukweli wake; sayansi inapita mantiki bila kuibua miujiza ya kidini

kumwita Yesu ‘TRUTH’ kwa sababu si logical ni kuruka kutoka mystery kwenda imani, si kwenda kwenye ukweli
Sasa anayeamua muujiza ni "wa kidini" au "wa kisayansi" ni nani?

YESU kutembea juu ya maji ni muujiza wa kidini, au alijua ku manipulate wave-particle duality?

YESU kuwa hapa duniani huku akiwa huko mbinguni ni muujiza wa kidini au anajua ku manipulate Superposition ?

YESU alivyomponya mtumishi wa jemedari Mroma akiwa mbali ni muujiza wa kidini au alijua ku manipulate Entanglement?

Simuiti Truth kwasababu sio logical. Wrong conclusion.

He is the TRUTH despite contradicting your limited laws.
 
Nyie ni Atheist?

Mi najua Theists ni kitu kimoja imekuwaje mnatoleana mapanga?

Being a theist doesn’t mean we all interpret God the same way;

belief in a Necessary Being is the core—differences in attributes or stories don’t change that reality
 
Sasa anayeamua muujiza ni "wa kidini" au "wa kisayansi" ni nani?

YESU kutembea juu ya maji ni muujiza wa kidini, au alijua ku manipulate wave-particle duality?

YESU kuwa hapa duniani huku akiwa huko mbinguni ni muujiza wa kidini au anajua ku manipulate Superposition ?

YESU alivyomponya mtumishi wa jemedari Mroma akiwa mbali ni muujiza wa kidini au alijua ku manipulate Entanglement?

Simuiti Truth kwasababu sio logical. Wrong conclusion.

He is the TRUTH despite contradicting your limited laws.

The miraculous in religion isn’t constrained by physical laws—miracles point to a reality beyond science.

Calling Jesus ‘Truth’ isn’t about logic; it’s about witnessing what transcends natural limits.
 
HA HA HA! Sasa are you with me or against me!

Ila AI!!

BWANA YESU ASIFIWE.

BYE
 
Anything asserted without evidence can be dismissed without evidence.

Kwanza inabidi utambue kwamba, Falsafa ya uthibitisho inamtaka mtu aliyeanza kudai kitu kipo, ndio ana mzigo wa kutoa uthibitisho wake.

Ndio maana ukimtuhumu mtu fulani kwa wizi, Wewe mwenye madai ya kwamba mtu huyo ni mwizi, ndio una mzigo wa kuthibitisha.

Madai ya kwamba "Mungu yupo" ni ya kwenu nyie Theists. Sio ya kwetu sisi Atheists. Ninyi Theists ndio mna mzigo wa kuthibitisha uwepo wa huyo Mungu. Kwa sababu madai ni yenu.

Madai ya kwamba Mungu yupo, yalianzia kwenu nyie waamini Mungu(Theists). Ninyi ndio mlianza kudai kuna Mungu. Hivyo ninyi ndio mnapaswa kuthibitisha madai yenu ya kwamba Mungu yupo.

Ukishindwa kuthibitisha Mungu yupo. Ina maana kwamba madai yako ni ya UONGO. Na huyo Mungu unayedai yupo, Hayupo.

The burden of proof in religion generally rests on the person making a positive assertion (theist claiming God exists), requiring them to provide evidence to support their claim. It follows the principle onus probandi, where the party asserting a position must substantiate it, rather than the party denying it.

Burden of proof (philosophy) - Wikipedia Burden of proof (philosophy) - Wikipedia.
Jibu Murua kabisa,

Hii ng'ombe inatafuta umaarufu humu kwa kutumia brand zenu!. Wewe na kiranga! Am sure Kiranga hawezi kuijibu hii ng'ombe ,kuijibu ni kujishushia hadhi, maana haina hoja.
 
HA HA HA! Sasa are you with me or against me!

Ila AI!!

BWANA YESU ASIFIWE.

BYE

Naona mnapoingia mkenge mnaanza kunirushia makonde na AI , hivi nani kawakataza kuitumia Ai au dubwasha lolote lile , Au AI inaongozwa na Roho Mtakatifu hata haifanyi makosa ??

Amen! Truth transcends debate, and faith walks alongside reason. Take care!
 
Jibu Murua kabisa,

Hii ng'ombe inatafuta umaarufu humu kwa kutumia brand zenu!. Wewe na kiranga! Am sure Kiranga hawezi kuijibu hii ng'ombe ,kuijibu ni kujishushia hadhi, maana haina hoja.
Are they your gods?

You remind me of the prophets of Baal:

"Ilipofika saa sita mchana, Elia akaanza kuwadhihaki akisema, “Ombeni kwa sauti kubwa zaidi! Yeye ni mungu ati! Huenda ikawa amezama katika mawazo yake, amekwenda haja, au yumo safarini! Labda amelala, mnapaswa kumwamsha!”
1Wafalme.18.27.BHN
 
Yes—because Jesus is described as born, dependent, and changeable, while Allah is defined as uncreated, independent, and unlimited.

A Necessary Being cannot be born, depend, or change—by logic, not by preference.”
Kwenye ukristo, wana amini pia Jesus is God.

Na kama God ndio necessary being. Kuna Mungu wengi sana duniani .

Kuna Jesus, Allah, Krishna, Zeus na wengineo wengi.

Sasa kwa nini wewe unafosi tu kwamba "Allah" ndio necessary being, Wakati kuna Mungu wengi sana kwenye imani za watu mbalimbali Duniani?

Wewe unachofanya ni kufosi tu huyo Allah wako awe ndio Mungu pekee kwa watu wote duniani kote. Wakati sio kweli.

Kuna Mungu wengi sana kulingana na imani mbalimbali za watu.

Member Scars alikuwekea orodha nzima ya Mungu wote from A to Z. Wewe uka ignore. Una mtetea tu Mungu wako wa imani yako, Ambaye ni Allah.

Kitu ambacho hata mtu wa Dini na imani nyingine atamtetea Mungu wa imani yake.

Kuna jamaa mmoja, nilikuwa najadiliana nae haya masuala ya Mungu. Na yeye akawa anamtetea tu, Mungu wake wa jadi. Huyo Mungu wao wanamwita  Fumbakasa.

Na huyo jamaa akawa anatetea kama wewe kwamba, Fumbakasa ndio Mungu wa ukweli tu, duniani kote.

Hajui kwamba kila mtu ana Mungu wake kulingana na imani yake.

Kwa hiyo wewe usilazimishe kwamba "Allah ni necessary being" kwa kutetea uislamu wako. Tambua kwamba kuna watu wengi wana imani zingine tofauti kabisa na ya kwako. Wala huyo "Allah" hawamtambui kabisa.

Suala la Mungu ni imani tu. Halina uthibitisho.
 
Allah si imani tu , ni Kiumbe wa Lazima, chanzo cha kila kitu, huku miungu mingine yote ni contingent na tegemezi.
 
Utofauti wa vinasaba hauhitaji wazazi wengi wa mwanzo—mutation, recombination, na muda vinatosha. Kuanzia wawili hakuleti DNA sawa milele; biology yenyewe inakataa hoja yako.
Wewe hata hueleweki una ongea nini.

Unadakia tu hoja, na kuleta majibu yasiyo na kichwa wala miguu.

Nilikuwa namjibu member "Raymanu K" wewe unadakia mada njiani. Unapeleka kwa AI. Halafu unakuja na majibu yasiyo na kichwa wala miguu.
 
Huo ulazima wa kwamba "Allah ni kiumbe wa lazima" upo tu kichwani kwako kwenye ubongo wako.

Kuna Mungu wengi sana kulingana na imani mbalimbali za watu Duniani.

Kama huelewi na hapa, basi.

Najua utaona ume win. Lakini kumbe unashindwa kuelewa na kutambua kwamba kuna Mungu wengi sana duniani kulingana na imani za watu.

Najua, hutaelewa. Utarudi kulekule kufosi Allah awe necessary being.

I rest my case with you.

Nimefunga mjadala na wewe.

I'm out.

🚶
 
Allah is the Necessary Being , self existent and unlimited; all other gods are contingent and limited, so they cannot be the Source of everything.
 
Wewe hata hueleweki una ongea nini.

Unadakia tu hoja, na kuleta majibu yasiyo na kichwa wala miguu.

Nilikuwa namjibu member "Raymanu K" wewe unadakia mada njiani. Unapeleka kwa AI. Halafu unakuja na majibu yasiyo na kichwa wala miguu.

Itakuwa umeelewa kwani usingalinishambulia na kunishutumu nakwenda kwa AI , kama vile wewe umepigwa ban usiende au Ai imemilikiwa na waislamu . Nakujibu tena

Utofauti wa vinasaba hauhitaji wazazi wengi wa mwanzo—mutation, recombination, na muda vinatosha. Kuanzia wawili hakuleti DNA sawa milele; biology yenyewe inakataa hoja yako.
 
Hivi unajua kua Kuna watu wanaelimu ya kuja Kwako nakuingia ndani Kwako huku ukiwa umefunga mlango Kwa kupitia Kona ya ukuta tu? Na Elimu hio physics Wala biology haikubaliani na suala hili ..

Hivi una habari Kuna watu wanaelimu ya kumuita mtu na kuongea nae na akawapa majibu ya alichokifanya bila mtu kujua Kama aliitwa na akaongea usiku?
Bado unazidi kujaza madude ya ajabu ajabu yasiyo na kichwa wala miguu ya kiimani tu , wewe umeyajuaje hayo?
 
Anayetoa dai ana mzigo wa uthibitisho. Ukiambiwa “Kuna bangi chumbani”, anayesema ipo ndiye anatakiwa kuthibitisha; wewe kukanusha haitaji ushahidi. Hii ndiyo kanuni ya burden of proof
Wezi wakiiba nyumbani kwangu nikasema kuna watu wamebomoa kwangu wakaiba, wewe ukasema kwa nguvu zote kuwa si watu wamebomoa, hivyo na wewe una burden ya ku prove kuwa si watu bali viumbe fulani ambavyo vimekwiba.
 
Madai yako yanaweza kukataliwa kutokana na contradiction zilizopo, jukumu bado litamhusu mdai kuweka ushahidi wa wazi ili kuthibitisha madai yake
 
Contradictions zipi ? Nina haki ya kukuuliza na wewe una wajibu wa kujibu. Kushindwa kumshika mwizi haiondoi ukweli kuwa kuna wizi umefanywa na mtu. Hivyo wewe kukataa kata kata kuwa ni mtu kakwiba unatakiwa kutoa ushahidi mbadala nani kakwiba.

Back
Top Bottom