Seth saint
JF-Expert Member
- Oct 27, 2020
- 1,903
- 4,673
Mimi ninao ushahidi kuwa Mungu yupo.Itatosha kumaliza hili au mpaka uone huo ushahidi?Lazima mwizi ahukumiwe kwa mujibu wa sheria.
Mkimalizana hapohapo, utakuwa hutumii sheria, unatumia maamuzi yako binafsi. Kinyume na sheria.
Sasa nyie mlihakikisha vipi na mna uthibitisho upi wa kwamba Mungu yupo?
Maana mpaka kufikia kusema Mungu yupo, ina maana kuna aliyewahi kumshuhudia.
Sasa ni nani aliwahi kumshuhudia huyo Mungu?
Ni nani alimshuhudia huyo Mungu yupo, akahitimisha kweli yupo?
Mungu angekuwepo wala kusingekuwa na haja ya kuhoji uwepo wake, Kila mtu angejua kwa uhakika kabisa Mungu yupo bila utata na imani.
Kila mtu angejua Mungu yupo kwa uhakika kabisa bila imani.
Kisicho kuwepo ndio hakijulikani.
Kilichopo kinajulikana.
Sasa ninyi mnadai Mungu yupo, ina maana mnaju yupo.
Sasa mlijuaje yupo?
Mnathibitishaje yupo?
Tutajuaje kwamba kitu hakipo kwasababu ni kweli hakipo au kipo ila umekosekana tu uthibitisho wa ku prove kipo?"