Thibitisha kwamba HAKUNA MUNGU

Thibitisha kwamba HAKUNA MUNGU

“We are born; Allah alone is uncreated, necessary
If "we are born" from our parents.

Then, Allah isn't the one creating us. And he is not our creator.

Allah doesn't create humans. And He is not necessary.

We are born.

We are self-existing.

Therefore, Allah doesn't exist.
 
Sasa point yangu ni kwamba kama imani ndio muongozo uliokufikisha kwenye Mungu yupo

Kuna vitabu vingi ambavyo ni vya imani na vinapingana.

Sasa ina maana kila kitabu ukipewa utakuwa unakubaliana nacho tu kwasababu ni imani?

Kwasababu at this point inaonyesha imani haipaswi kuaminika na sio kila kilichodaiwa kuwa ni imani ukipewa utakubaliana nacho.

Sasa hicho kitachokufanya kila kitabu ukisoma usikubaliane na vitabu vingine ndio mimi nakitaka hicho.
Kuweka mambo sawa ningeomba unaposema vitabu vinapingana nipate japo nukuu kutoka kwenye hivyo vitabu nione kama kweli vinapingana au ni watu tu ndio wanapingana.

Vitabu vinaweza kuwa sawa lakini tafsiri za watu zikawa tofauti.Kwahiyo lazima nione hizo sehemu zenye kupingana katika hivyo vitabu
 
Sasa huko ni kwenye uislamu. Sio kwenye uhalisia.

Kwenye uhalisia, Mungu hayupo.

Hakuna Mungu kwenye uhalisia.

These are just religious claims based on faith not facts.

Why is it necessary?

Allah is necessary because contingent things cannot exist by themselves.

Everything we see depends on causes, but that chain cannot go back infinitely.

There must be a self-existent, uncreated source — that is Allah. Logical necessity does not require physical proof; it follows from reasoning about existence itself
 
Yote haya umeyajuaje sasa? Kuna namna inaonekana unevuka hizo limitations ila unabania kutujuza
Hivi unajua kua Kuna watu wanaelimu ya kuja Kwako nakuingia ndani Kwako huku ukiwa umefunga mlango Kwa kupitia Kona ya ukuta tu? Na Elimu hio physics Wala biology haikubaliani na suala hili ..

Hivi una habari Kuna watu wanaelimu ya kumuita mtu na kuongea nae na akawapa majibu ya alichokifanya bila mtu kujua Kama aliitwa na akaongea usiku?
 
Nakuelewa Sana Sasa watu wanaoimba uthibitsho Kwa kupitia Elimu ambayo wanayo mfano ukisema kuona,kuhisi,kugusa,kunusa, wherever that's Science, Sasa science nikaji Elimu Kama tone tu

Hatujapewa kitu complex Kama ukitumia common sense TU ya kawaida Elimu ya uungu unailewa vizuri TU ndio maana Hata katika percentage wanaamini uwepo wa Mungu duniani ni wengi katka asilimia hivyo si kweli Kwa Jambo Hilo ni complex Kwa binadamu kuelewa.

Common sense inategemea umezaliwa wapi, umejazwa nini toka mdogo na uwezo wako wa kufikiria ipoje,

Percentage kubwa ya waumini sio issue kubwa sana maana mfano kama wewe ni muislamu na kwa sasa wakristo % yao ni kubwa unataka kusema wao ndo wapo upande sahihi?

Baada ya miaka 100, waislamu wakawa % kubwa inataka kusema ndo wapo sahihi?

Baada ya miaka 4000 mfano miaka hiyo wasio na imani wakawa ndo % kubwa tutasema ndo wapo sahihi?

Kuna mgogoro sehemu fulani, kushindwa kuukubali ni tatizo lingine haijalishi Yupo au Hayupo
 
If "we are born" from our parents.

Then, Allah isn't the one creating us. And he is not our creator.

Allah doesn't create humans. And He is not necessary.

We are born.

We are self-existing.

Therefore, Allah doesn't exist.

Being born doesn’t explain existence itself

humans reproduce within creation, but creation itself needs a Necessary Being. That is Allah
 
Tatizo ni kkufikiria kwamba anayepinga dini yako ni Atheist pekee.

Mkuu kama duniani kuna watu bilion 8 na katika hao bilion 8, bilioni 2 ni Wakristo, milioni 500 ni Atheist na hizo namba zingine ni waumini wa dini zingine.

Maana yake kwenye dini yako utakuwa unapingwa na watu zaidi ya bilioni 6, huku Atheism wakichukua asilimia 1 tu.

Hii ni sawa na kusema duniani kuna dini 5,000, ambazo zina amini Miungu 5,000.

Atheist haamini Mungu yeyote katika hao Miungu. Wewe ukaanza kumuona Atheist ni mtu wa ajabu kwasbabu haamini Mungu.

Lakini uhalisia ni kwamba Atheist haamini Miungu 5,000 wakati wewe huamini Miungu 4,999. So utofauti wenu nyinyi ni 1 tu.
Mungu wao wapo weengi na kila mungu ana tabia zake sasa which is which..
hawa mapimbi wa dini wanauana wanabaguana wao kwa wao wao yaani sijui huyo mungu wao yupo sehemu gani kichwani?
 
Common sensw inategemea umezaliwa wapi, umejazwa nini toka mdogo na uwezo wako wa kufikiria ipoje,

Percentage kubwa ya waumini sio issue kubwa sana maana mfano kama wewe ni muislamu na kwa sasa wakristo % yao ni kubwa unataka kusema wao ndo wapo upande sahihi?

Baada ya miaka 100, waislamu wakawa % kubwa inataka kusema ndo wapo sahihi?

Baada ya miaka 4000 mfano miaka hiyo wasio na imani wakawa ndo % kubwa tutasema ndo wapo sahihi?

Kuna mgogoro sehemu fulani, kushindwa kuukubali ni tatizo lingine haijalishi Yupo au Hayupo
Kwa mfano wewe hapo ulipo unatumia vigezo Gani kunipinga Mimi kuwa hayupo?
 
How can we know your claim is true without proofs?
We know Allah exists through logic: contingent things cannot exist by themselves; the chain of causes cannot be infinite.

Reason demands a Necessary Being — that is Allah
 
Nadhani umeenda mbali.Narudia nilichokuwa nasema, ni kwamba hakuna binadamu yoyote yule anayeweza kuprove kuwa Mungu yupo au hayupo.
Negative Proofs: 👇

It is generally unreasonable to demand proof of a negative, particularly if there is no evidence to support the positive claim.

Proofs ni kwa ajili ya kitu ambacho kipo au kinadaiwa kipo.

Proofs si kwa ajili ya kisicho kuwepo.

Kisichokuwepo, hakipo kwa namna yoyote ile ya kuthibitishika kipo.

Hivyo huwezi kutaka uthibitisho wa kutokuwepo Mungu. Uthibitisho unapaswa kutolewa na wanaodai Mungu yupo.

Yani ni sawa Mwizi amekamatwa ameiba na CCTV cameras zime muonyesha kabisa akiiba. Halafu unaambiwa, Thibitisha mwizi hajaiba.

Sasa hapo unathibitisha vipi mwizi hajaiba wakati CCTV cameras zime muonyesha kabisa akiiba?
Nimetoa maelezo kama wasemavyo watu wa dini(Ukristo,Uislam,na Uyahudi ambazo zina ufanano kidogo).Sina tatizo na mtu kuwa atheist maana ni uchaguzi kwasababu hajawahi kumuona Mungu ndio maana hana imani na mambo ya Mungu.

Pointi ya msingi:Hakuna mtu atakupa ushahidi kwamba Mungu yupo au hayupo.Na sio jukumu la anayeamini au asiyeamini
Kisichokuwepo hakihitaji uthibitisho wa kutokuwepo, kwa sababu hakipo kwa namna yoyote ile ya kuthibitishika kipo.
 
Nadhani umeenda mbali.Narudia nilichokuwa nasema, ni kwamba hakuna binadamu yoyote yule anayeweza kuprove kuwa Mungu yupo au hayupo.

Nimetoa maelezo kama wasemavyo watu wa dini(Ukristo,Uislam,na Uyahudi ambazo zina ufanano kidogo).Sina tatizo na mtu kuwa atheist maana ni uchaguzi kwasababu hajawahi kumuona Mungu ndio maana hana imani na mambo ya Mungu.

Pointi ya msingi:Hakuna mtu atakupa ushahidi kwamba Mungu yupo au hayupo.Na sio jukumu la anayeamini au asiyeamini
Namimi huko nilitoka kitambo

Hoja yangu imejikita kwenye ku question msingi wa kukubali Mungu yupo umejikita kupitia factor gani?

Hilo ndio swali langu
 
Mungu wao wapo weengi na kila mungu ana tabia zake sasa which is which..
hawa mapimbi wa dini wanauana wanabaguana wao kwa wao wao yaani sijui huyo mungu wao yupo sehemu gani kichwani?

Miungu yote mingine inategemea kitu kingine — haiwezi kuwepo peke yake. Allah pekee ndiye wa Lazima, asiyeumbwa, na chanzo cha yote. Hii ndiyo tofauti.
 
Dhana ya asili ya Mungu katika Uislamu ni kwamba Allah ni Necessary Being — asiyeumbwa, asiye na chanzo, na ndiye msingi wa uwepo wa kila kitu.

Hii ni tofauti na dhana ya Trinity inayokubali kwamba Mungu ana sehemu au wanakiri kuwa Yesu ni sehemu ya Mungu, jambo ambalo linapingana na uhalisia wa Allah.
Unaelewa ulicho kijibu na swali uliloulizwa lulingana na hoja niliyo ku quote?

Sasa kama ni asili ya Mungu ni definition inayotoka kwa mujibu wa Uislam, hayo makubaliano na Ukristo yanaingiaje?
 
Mkuu kama proof sio muhimu kwenye maswala ya revelations niambie kwanini huamini Ng'ombe ni Mungu?

Kwanini huamini imani zingine ambazo nazo zina hizo revelations, kwanini revelations za dini yako tu ndio unaziamini kama proofs si msingi?
Ng'ombe ni ng'ombe wote tunaifahamu hii haitaji proof wala revelation.Ng'ombe na Mungu ni concept mbili tofauti kabisa.

Sijawahi kumuona Mungu lakini Mungu sio ng'ombe maana naziona kila wakati.Sema kama kuna watu wanaoamini katika ng'ombe ni sawa kwa upande wao na sina mpango wa kuingilia taratibu zao.
 
We know Allah exists through logic: contingent things cannot exist by themselves; the chain of causes cannot be infinite.
Allah doesn't exist through logic.

Allah exists through faith.

Humans aren't contingent beings. Humans are self-existing beings.

Allah isn't necessary being.

In reality, Allah doesn't exist.

That's why you need faith to believe in him.

Allah is just a fictional character. He isn't necessary being.
Reason demands a Necessary Being — that is Allah
Allah is a FICTIONAL CHARACTER.

Allah isn't necessary being.

Reasons don't need necessary being (Allah).
 
Unaelewa ulicho kijibu na swali uliloulizwa lulingana na hoja niliyo ku quote?

Sasa kama ni asili ya Mungu ni definition inayotoka kwa mujibu wa Uislam, hayo makubaliano na Ukristo yanaingiaje?

Dhana ya asili ya Mungu katika Uislamu si mawazo ya binadamu — ni logic: Kiumbe wa Lazima.

Wakristo pia wanakubali kuna Mungu, lakini dhana ya Trinity inapingana na uhalisia huu.

Makubaliano yao ni kwenye uwepo, si tafsiri za binadamu.”
 
Kwa mfano wewe hapo ulipo unatumia vigezo Gani kunipinga Mimi kuwa hayupo?
Binafsi mimi sisemi Yupo au Hayupo, mimi imani yangu ni ya kwangu

mi nasupport kuuliza maswali tu mkuu kufahamu mawili matatu,
 
Allah’s existence is not a claim to be ‘proved’ physically — He is a Necessary Being, uncreated, and the source of all contingent things.
Who has demanded physically proof?

Nimekuambia thibitisha Allah yupo.
 
Back
Top Bottom