Thibitisha kwamba HAKUNA MUNGU

Thibitisha kwamba HAKUNA MUNGU

Dhana ya asili ya Mungu katika Uislamu si mawazo ya binadamu — ni logic: Kiumbe wa Lazima.

Wakristo pia wanakubali kuna Mungu, lakini dhana ya Trinity inapingana na uhalisia huu.

Makubaliano yao ni kwenye uwepo, si tafsiri za binadamu.”
Sasa kama inapingana na vile Uislam unavyoamini, kunakuwaje na makubaliano ya pamoja kuhusu asili ya Mungu?
 
Allah doesn't exist through logic.

Allah exists through faith.

Humans aren't contingent beings. Humans are self-existing beings.

Allah isn't necessary being.

In reality, Allah doesn't exist.

That's why you need faith to believe in him.

Allah is just a fictional character. He isn't necessary being.

Allah is a FICTIONAL CHARACTER.

Allah isn't necessary being.

Reasons don't need necessary being (Allah).

Calling Allah fictional doesn’t change logic: contingent things exist, the chain of causes can’t be infinite, so a Necessary Being must exist — that is Allah.
 
Calling Allah fictional doesn’t change logic: contingent things exist, the chain of causes can’t be infinite, so a Necessary Being must exist — that is Allah.
Where was Allah staying before creation?
 
Sasa kama inapingana na vile Uislam unavyoamini, kunakuwaje na makubaliano ya pamoja kuhusu asili ya Mungu?
Makubaliano ya pamoja hayako kwenye dhana za tafsiri za binadamu, bali kwenye ukweli wa uwepo wa Mungu.
 
Ng'ombe ni ng'ombe wote tunaifahamu hii haitaji proof wala revelation.Ng'ombe na Mungu ni concept mbili tofauti kabisa.

Sijawahi kumuona Mungu lakini Mungu sio ng'ombe maana naziona kila wakati.Sema kama kuna watu wanaoamini katika ng'ombe ni sawa kwa upande wao na sina mpango wa kuingilia taratibu zao.
Kwako wewe, Mungu ni nini?

Kwanini unaona Mungu hawezi kuwa Ng'ombe?

So awamu hii umeamua kuzikataa scriptures na kuziona za kizushi wakati mwanzo ulisema swala la Mungu ni swala la revelations na sio proof?
 
Makubaliano ya pamoja hayako kwenye dhana za tafsiri za binadamu, bali kwenye ukweli wa uwepo wa Mungu.
Kwa hiyo tafsiri ya kwamba Mungu hana utatu, na tafsiri ya kwamba Allah ni mmoja ni tafsiri za watu?
 
Kwa hiyo tafsiri ya kwamba Mungu hana utatu, na tafsiri ya kwamba Allah ni mmoja ni tafsiri za watu?

Sio tafsiri tu za watu—dhana ya Allah kuwa Kiumbe wa Lazima, asiyeumbwa, asiye na mwanzo wala mwisho, ni logic ya ontology, si maoni ya kibinadamu.

Utatu wa Trinity ni tafsiri ya binadamu; hauhusiani na uhalisia wa Mungu
 
Negative Proofs: 👇

It is generally unreasonable to demand proof of a negative, particularly if there is no evidence to support the positive claim.

Proofs ni kwa ajili ya kitu ambacho kipo au kinadaiwa kipo.

Proofs si kwa ajili ya kisicho kuwepo.

Kisichokuwepo, hakipo kwa namna yoyote ile ya kuthibitishika kipo.

Hivyo huwezi kutaka uthibitisho wa kutokuwepo Mungu. Uthibitisho unapaswa kutolewa na wanaodai Mungu yupo.

Yani ni sawa Mwizi amekamatwa ameiba na CCTV cameras zime muonyesha kabisa akiiba. Halafu unaambiwa, Thibitisha mwizi hajaiba.

Sasa hapo unathibitisha vipi mwizi hajaiba wakati CCTV cameras zime muonyesha kabisa akiiba?

Kisichokuwepo hakihitaji uthibitisho wa kutokuwepo, kwa sababu hakipo kwa namna yoyote ile ya kuthibitishika kipo.
Kama ina make sense hivi.Lakini mbona huyo mwizi akikamatwa bado anakuwa sio mwizi mpaka mfikishane kwenye vyombo husika kwanini pale pale msimalizane?hawezi kuwa mwizi mpaka pale atakapokuwa proved guilty(maana yangu ni kwamba huwezi kutoa hitimisho kuhusu jambo mpaka pale ushahidi ukamilike.So,what if kuna proof kwamba Mungu yupo?ukipata utabadili msimamo au utaendelea na msimamo wako wa siku zote? Ndio maana napingana na kila anayetaka kuprove kuwa Mungu yupo au hayupo).

Wote hatujui kama yupo au hayupo.Anayesema yupo ana hoja zake ambazo akikupa utazipinga kwa sababu hazitengenezi direct relationship kati ya concept(God) and physical being(na sababu ni kwamba Mungu haonekani kwahiyo maelezo yoyote yale hayawezi kueleweka).

Lakini mimi naweza kukuonyesha kitu kidogo ambacho kinaweza ku-guide kuwa kuna Mungu(au nguvu ya ziada nje ya binadamu).Hii mpaka unione physically ndio utaona hicho kitu
 
Allah was never ‘before’—He is the Necessary Being, uncreated and eternal.
These are just islamic claims based on Islamic faith only, Not fact, not proof, not evidence.

Even a Christian can tell you, Jesus was never "before" He is a Necessary Being, uncreated and eternal based on his christian faith.

Kwa hiyo, Hii ni imani yako tu.

This is just your faith.

It's not a fact supported by evidence .
 
How do you know?

Utasikia Quran imeandika

Tunajua kwa sababu ni mantiki, Logic, kila kiumbe contingent kina chanzo, msururu hauwezi kuwa usio na mwisho.

Hivyo lazima kuwe na Kiumbe wa Lazima—asiyeumbwa, asiye na mwanzo. Quran inathibitisha hili kwa maneno:
1.Sema: Yeye Mwenyezi Mungu ni wa pekee.
2.Mwenyezi Mungu Mkusudiwa.
3.Hakuzaa wala hakuzaliwa.
4.Wala hana anaye fanana naye hata mmoja..
(Surah Al-Ikhlas 112).

Mantiki inathibitisha, na revelation inathibitisha
 
Kwako wewe, Mungu ni nini?

Kwanini unaona Mungu hawezi kuwa Ng'ombe?

So awamu hii umeamua kuzikataa scriptures na kuziona za kizushi wakati mwanzo ulisema swala la Mungu ni swala la revelations na sio proof?
Sijasema revelations zinatoa proof kwamba Mungu yupo.Haya sio maneno yangu.Nimesema revelations zote zinabaki kama Miongozo tu ya kusema Mungu yupo lakini haziwezi kuprove chochote.

Mungu kwangu ni muumbaji,na mamlaka iliyo juu ya mamlaka zote(nimechukua maneno kutoka kwenye vitabu vya dini sio maneno yangu)
 
These are just islamic claims based on Islamic faith only, Not fact, not proof, not evidence.

Even a Christian can tell you, Jesus was never "before" He is a Necessary Being, uncreated and eternal based on his christian faith.

Kwa hiyo, Hii ni imani yako tu.

This is just your faith.

It's not a fact supported by evidence .

It’s not about faith—logic doesn’t depend on belief. Contingent beings need a cause; an infinite regress is impossible. Therefore, there must be a Necessary Being—uncreated, without beginning. This is reasoning, not mere faith
 
Kama ina make sense hivi.Lakini mbona huyo mwizi akikamatwa bado anakuwa sio mwizi mpaka mfikishane kwenye vyombo husika kwanini pale pale msimalizane?
Lazima mwizi ahukumiwe kwa mujibu wa sheria.

Mkimalizana hapohapo, utakuwa hutumii sheria, unatumia maamuzi yako binafsi. Kinyume na sheria.
hawezi kuwa mwizi mpaka pale atakapokuwa proved guilty(maana yangu ni kwamba huwezi kutoa hitimisho kuhusu jambo mpaka pale ushahidi ukamilike.
Sasa nyie mlihakikisha vipi na mna uthibitisho upi wa kwamba Mungu yupo?

Maana mpaka kufikia kusema Mungu yupo, ina maana kuna aliyewahi kumshuhudia.

Sasa ni nani aliwahi kumshuhudia huyo Mungu?

Ni nani alimshuhudia huyo Mungu yupo, akahitimisha kweli yupo?
So,what if kuna proof kwamba Mungu yupo?ukipata utabadili msimamo au utaendelea na msimamo wako wa siku zote? Ndio maana napingana na kila anayetaka kuprove kuwa Mungu yupo au hayupo).
Mungu angekuwepo wala kusingekuwa na haja ya kuhoji uwepo wake, Kila mtu angejua kwa uhakika kabisa Mungu yupo bila utata na imani.

Kila mtu angejua Mungu yupo kwa uhakika kabisa bila imani.
Wote hatujui kama yupo au hayupo.Anayesema yupo ana hoja zake ambazo akikupa utazipinga kwa sababu hazitengenezi direct relationship kati ya concept(God) and physical being(na sababu ni kwamba Mungu haonekani kwahiyo maelezo yoyote yale hayawezi kueleweka).
Kisicho kuwepo ndio hakijulikani.

Kilichopo kinajulikana.

Sasa ninyi mnadai Mungu yupo, ina maana mnaju yupo.

Sasa mlijuaje yupo?

Mnathibitishaje yupo?
Lakini mimi naweza kukuonyesha kitu kidogo ambacho kinaweza ku-guide kuwa kuna Mungu(au nguvu ya ziada nje ya binadamu).Hii mpaka unione physically ndio utaona hicho kitu
Tutajuaje kwamba kitu hakipo kwasababu ni kweli hakipo au kipo ila umekosekana tu uthibitisho wa ku prove kipo?"
 
Sio tafsiri tu za watu—dhana ya Allah kuwa Kiumbe wa Lazima, asiyeumbwa, asiye na mwanzo wala mwisho, ni logic ya ontology, si maoni ya kibinadamu.

Utatu wa Trinity ni tafsiri ya binadamu; hauhusiani na uhalisia wa Mungu
Hiyo tafsiri ya Allah inapatikana wapi?
 
Back
Top Bottom