The World is a flat plane and not a globe

duuh kama nimeachwa vile
 
Hiyo video hapo na zipo nyingi mno ambazo watu wamefanya experiment kuondoa hizo fikra zako.

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
Zipo tafiti nyingi sana zimekwisha fanyika kabla na baada ya uwepo wa hizo camera zinazotumika kurekodi hizo videos hivi sasa.

Kama ni suala la videos tu, ondoa shaka zipo tele zinazohusu tafiti mbalimbali ambazo watu wamekwisha zifanya kuzibadili hizo fikra zako.

Au kama ni suala la kuzituma humu? Na hilo pia ondoa shaka.
 
Ndiyo maana nilitoa angalizo pale awali kuwa, msikurupuke!

Someni kwa makini hoja za wengine kisha zitafakarini kwa kina kabla hamjazijibu.
 
mkuu emu niulize kidogo kama dunia ni spherical izo roketi wanazoenda nazo uko angani zinatoboa wapi sasa ili zitoke na wanasema ozone layer ndo inatukinga
 
Kitu kisicho make sense kwako hakimaanishi kuwa na kwa wengine kiko hivyo. Tena hususani kwa watu waliofanya tafiti zao kwa muda mrefu sana.

Ni sawa na mtu anayeamini kuwa chombo pekee kinachosafiri baharini ni meli. Siku ukija kumuambia kuhusu uwepo wa submarines atakukatalia kata kata na kukuambia kuwa hakina maana, "chombo hicho chawezaje kusafiri kikiwa kimezama?" Practically nonsense! Bila shaka tegemea majibu au maneno yanayoshabihiana na hayo kutoka kwake.

"Uongo mtakatifu ulio generated from Babylon"??? Nini mantiki ya uwepo wa maneno haya katika hoja yako, unaweza kuthibitisha, kwa sababu gani na ili iweje???

Unasema kuwa "Flat Eathers wako sahihi asilimia zote", ya kwamba wanayaelezea mambo katika uhalisia wake.

Sawa, tuanzie katika maswali machache tu yafuatayo;

Je, unawezaje kuuzungumzia mzunguko wa jua katika hiyo flat earth kwa mujibu wa Flat Earthers? Ni kitu gani hulifanya jua liweze kuzunguka pembeni mwa dunia bila kugongana na uso wa dunia? Nipatie maelezo yaliyo na huo "uhalisia".

Swali jingine, nini hutokea pale ambapo kitu chochote kitakapofika na kujaribu kuvuka pembezoni mwa hiyo dunia ya tambarare?

Nikukumbushe tena kuwa, usisahau kunipatia maelezo yenye huo "uhalisia" kwa mujibu wa Flat Earthers.

Asante!
 
mkuu emu niulize kidogo kama dunia ni spherical izo roketi wanazoenda nazo uko angani zinatoboa wapi sasa ili zitoke na wanasema ozone layer ndo inatukinga
Hakuna rocket imewahi kutoka nje ya dunia,zote zinaenda kwenye projectile motion na wanazielekezea baharini sehemu kama bermuda triangle halafu wanakuzuga na video editing kuwa wapo space jambo ambalo haliwezekani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…