REALITY
JF-Expert Member
- Jul 2, 2014
- 4,391
- 1,960
- Thread starter
- #101
Mi nahisi lens sensor in zooming ability inauwezo kiasi gani kama ipo strong it can move far but not finity ila week hautaenda mbali ila hizo factor sio dharura ndo chanzo why we cant get far the horizonHizi ulizo zitaja ni sababu za nje na huwa kama dharura ila kua zile sababu ambazo ni za dhati ya kifaa kinyewe. Swalila msingi ni kuwa je zikiondoka sababu hizo za nje, kifaa kinaweza kukidhi mahitaji na je ukomo utaondoka na ukamilifu utafikiwa ?
Safi kabisa, je huo umbali ni timilifu yaani unafika nchani au ukisogea mbele ya ukomo wa kifaa utaona tena mbali zaidi ?
Sijui umbali wa Mwezi kutoka hapa duniani ni kiasi gani na kadhalika sina uhakika na hicho kipenyo cha dunia, kwani majibu haya mawili yanatakiwa kuhakikiwa na kujua kama ni ya kweli au si ya kweli.
Sent using Jamii Forums mobile app
