The World is a flat plane and not a globe

The World is a flat plane and not a globe

Kuna video moja ilionyesha hili ilichukuliwa na mabaharia sijui ni wa nchi gani. Walionyesha vilevile mwezi ukionekana mpevu na mkubwa na upande mwengine kwa mbali kabisa nalo Jua likionekana ile umefika kwenye bahari yenyewe huoni chochote si mbele wala nyuma si kulia wala kushoto zaidi ya maji tu.

Upande wa Jua wingu likiwa na mwanga huku upande wa mwezi ukiwa na mwanga kidogo (giza kiasi). Jua na Mwezi vilionekana sawa na clip uliyoiweka inayoonyesha Jua na mwezi zikiizunguka Dunia. Nilishangaa sana!
mkuu kama una hio video itupie basi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee elimu yote ya quantum physics ni michezo ya kuigiza

Sent using Jamii Forums mobile app
Haya mambo ya Sayansi huwa yana uongo mwingi sana, tatizo watu wengi wanapenda story za Sayansi basi hata muda wa kuhoji hawaupati.

Nilishawahi kuwauliza humu wajinga fulani kwamba, kuna jafribio gani la Kisayansi liliwahi kufanywa likathibitisha ya kuwa Dunia inazunguka ? Auwatuthibitshie tu ya kuwa Dunia inazunguka, majibu yao ni vituko.

Sayansi ya maumbile na hasa ya anga niliachaga kuamini, pale niliposikia habari za mtu kwenda mwezini.
 
Hapana nakataa issue sio upeo wa macho issue ni humidity,vumbi,fog na vitu kama snow n.k zinapoteza sight .

Au tafuta camera au telescope ya P9 mkuu nenda baharini fungua app ya weather angalia mda huu kuna humidity kiasi gani kama ni ndogo anza kuvuta umbali kama kulikuwa na meli ambayo hata kwa darubini hukuiona ukijua curvature halafu ukaiona usione ni miujiza.
Dunia ni duara, ila kulingana ukubwa wake na upeo wa macho yetu tuaona ni tambarare.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nani kaenda mwezini ,mwezi ni kama illuminary object ukiwa na p9 camera unauona kama kioo flani hivi au gololi ya transparent yenye rangi ya pale light grey...ngoja nikupe picha ya hawa jamaa wanavyotuactia
Haya mambo ya Sayansi huwa yana uongo mwingi sana, tatizo watu wengi wanapenda story za Sayansi basi hata muda wa kuhoji hawaupati.

Nilishawahi kuwauliza humu wajinga fulani kwamba, kuna jafribio gani la Kisayansi liliwahi kufanywa likathibitisha ya kuwa Dunia inazunguka ? Auwatuthibitshie tu ya kuwa Dunia inazunguka, majibu yao ni vituko.

Sayansi ya maumbile na hasa ya anga niliachaga kuamini, pale niliposikia habari za mtu kwenda mwezini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Au tafuta camera au telescope ya P9 mkuu nenda baharini fungua app ya weather angalia mda huu kuna humidity kiasi gani kama ni ndogo anza kuvuta umbali kama kulikuwa na meli ambayo hata kwa darubini hukuiona ukijua curvature halafu ukaiona usione ni miujiza.
Unaujuaje uhakika wa hicho kifaa na matokeo yake ?

Unakubali kama hiyo Camera ina ukomo wake ?
 
Gravity wanaielezea hivi
Kwakuwa upo Kwenye flat disc inaaccelerate upwards with an acceleration of 9.8m/s2. Hii inatengeneza illusion ya kuwa unavutwa chini Kumbe earth ndo inaenda juuAlthough kusema ukweli HAKUNA tofauti ya muokota makopo Milembe na flat earther
Flat earthers wengi hata hawaamini flat earth lakini ni clout chasers tu
Hahaha huyo jamaa na wenzake waliomuaminisha ni wehu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nani kaenda mwezini ,mwezi ni kama illuminary object ukiwa na p9 camera unauona kama kioo flani hivi au gololi ya transparent yenye rangi ya pale light grey...ngoja nikupe picha ya hawa jamaa wanavyotuactia

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna wajinga ni mashabiki wa Sayansi, ndio huwa wanadanganyika na mastory ya Wanasayansi.

Nipe faida kaka.
 
Kuna wajinga ni mashabiki wa Sayansi, ndio huwa wanadanganyika na mastory ya Wanasayansi.

Nipe faida kaka.
Hizo hapo
IMG_20200126_002746_502.JPG
IMG_20200126_002735_654.JPG
IMG_20200126_002718_293.JPG
IMG_20200126_002636_498.JPG

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu neil armstrong moja hajawahai kwenda mwezini,pili sattelite ni uzushi wanatumia underground communication cables na long tower cameras pamoja na drones,mkuu dunia sio duara nasiokuwa ni mzaha am serious jiulize why wanasayansi wanatumia straightgeometry na sio sphericalgeometry jiulize kwanini ukitumia p9 camera unaona meli iliyo umbali mrefu sana hata zaidi ya mile 70 kukiwa na low humidity hakuna curve mkuu sema nikupe lengo lao kwanini wamedanganya mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Unaamini kwamba straight line inagusa point katika cycle??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo hoja yangu bado ina nguvu katika hilo au una kataa ?
Nachokueleza ni kuwa huo umbali ambao unaweza ukapata curvature na usione kitu kwa nadharia ya kuwa dunia ni tufe ni kuwa p9 camera inaona umbali zaidi ya hiyo nadharia na vitu unaviona mfano kila mile 1 ina mkunjo wa inch 8 progressively sasa watu washaona picha umbali wa mile 57 na hakuna curvature

Kaka hili unaweza kulithibitisha au kama una picha tuonyeshe humu.

Kutokuona curvature ndio inaonyesha ya kuwa ukomo wa kifaa ndio umeishia, kwahiyo, hoja ya kuwa dunia ni duara kwa kurejea matokeo ya kifaa hicho bado ina nguvu, sababu nikikuuliza ncha au ukomo wa dunia ni wapi, huwezi kujibu swali hili.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom