Human beings and other species under the dome are just samples for experimental purpose....
Tushalisema hili na hapa kuelewa kuwa ,we are something else inahitaji akili nene sana...
We are slaves eclosed under the dome ,no body to escape until your mission is over ...hapa kuna uelewa mpana sana mtu kunasa point...
something( beyond mind) control s our minds who reside under the dome)
If you cant understand where you came from probably ni ngumu kuelewa where you will be after ....
What the fantasy paradox game being upheld above our thinking capacity, ?? it's a marvellous moment ever your mind has to think on the importance of you being here and the paradoxy surviving hoax being spread to us....
Something to delive the quantum paradoxy ambayo imetufanya tusinzie tuone kama maisha ya hapa duniani ni kulala kisha kuota na kuamka tena hakuna jipya ambalo tunalifanya hapa zaidi ya kuwa host wa mambo yanatoendelea kwetu bila kujua....( believe all these kind of actovities every individual doing ni kama game tunapewa ili kupoteza muda na kusukuma muda kwenda mbele while internally every human body ikirun process mbalimbali )
watu wana akili bwana( watu wa sayari zilee za mbali) wakaona tutengeneze mazingira ambayo tutatengeneza viumbe kwa ajili ya kufanya majaribio mbali mbali ya maendeleo ya hatua za kiteknolojia zetu... wakaona ni kuconstruct a dome like structure then feed every condition to allow newer constructed organisms wenye uwezo wa kuundergo self replication huku tukicontrol survival rate yao basi tutakuwa na uwezo wa kumonitor kwa asilimia kubwa sana lakini tunatakiwa tuwe na close relationship na baadhi ya constructed model organisms kwa ajili ya kuendeleza mission ya maisha haya... tutatengeneza mazingira ambayo ni automatic prenishing kwa hao viumbe katika enclosed dome hiyo ili kisiwepo kiumbe hata kimoja kitakachochungulia nje pakoje na kisiweze kutuona kabisaa sisi ( The dome is highly protected with unknown concrete materials)
does this sound good to your mind? try to rethink why you are here and who is benefiting with you rather than sleeping and receiving some illusion concepts ? ( dream and you wake up in the morning while being at the original place!!! what the idea trying to overcome the illusion of perception??? do you get something over here??
Na tutengeneze false beliefs kisha tuzipandikize kwa hao new constructed species with self replicating ability ili viweze kuwa busy kusujudu kitu flan ili visiwe too much concetrating nini hatima yao na who is behind the control wa mawazo yao!!!
tutengeneze ahadi fake ya " Into the good island" ili iwe ni ahadi hewa kila kiumbe aogope kuhoji ukomo na nguvu iliyo nyuma yake inayomuwezesha kufanya chochote atakacho ....
hebu kaaa kama dk mbili empty your mind ufikirie kwanini the truth have been passing under series of paradoxy ,,, what then for !!
There is no longer "the island where we are promised " but we are here to fulfil others idea and experiments
Utakesha ...Najaribu kuwaza alternative structure ya nyumba ili zisihusishwe na hizi mambo...
Dah ukifikiria hayo yote kuna ulazima wa kubeba sururu, fataki, jiwe fatuma kuelekea Antarctica kupasua glass.
Sent using Cash Money Wings
Umewahi kupata ushahidi nje ya kukariri ulicholishwa na wazungu? Namaanisha umewahi kufikiri kwa akili zako mwenyewe kupata ushahidi kwamba dunia ni duara? Au na wewe ni kasuku kueneza propaganda ambazo hata huwezi kuzithibitisha?Bwahahahahahhh.. Eti unipe msaada..
Msaada gani nitathubutu kuhitaji kwa kiumbe kama wewe..?
Mtu unaamini upuuzi ndo nihitaji msada wako?
Kwanza wacha nipige kimya tu, maana kubishana na kiumbe anaeamini dunia ni flat ni sawa na kubishana na ng'ombe tu..
ni kujipa mikosi tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Pamoja mkuuMleta uzi Kweli umejipanga kwenye hii ishu ya flat earth. HONGERA ZAKO kwa kuanzisha huu uzi na kuutetea kadri ulivyoweza.
Kuna Wengine umetufungua macho kama mimi katika kujiuliza maswali, sikuwahi kufikiria kama dunia inaweza kuwa flat, kuna DOOM n.k. umeniongezea maswali ya kujiuliza kuhusu spherical earth ninayoiamini. Nisibweteke.
Sent using Cash Money Wings
Mkuu yani habari za dome hawataki kuzisikia ila ukweli upo wazi na unajidhihirisha ,nachoshangaa ni support kubwa wanapewa na civilians kumbe hawajui wanasupport nini zaidi ya ushabiki usio na kichwa wala miguu.Alikufa kwa ajali ya helicopter mwaka 2012 katika mazingira ya kutatanisha.
Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
Hakuna kitu kama hicho bro.!, Nimesoma sayansi japo si kwa sana but kuna vitu nilikuwa namezeshwa lakini naona ni ngumu kumeza.Perspective???
Unapozungumzia Perspective na kinachotokea kadri meli inapoelekea mbali na kuonekana kama kuzama ni vitu viwili tofauti.
Perpective haikufanyi kukiona kitu kikizama na kupotea machoni hususani hiyo meli bali kitu hupotea machoni kwa mtindo huo kutokana na kufunikwa na kitu kingine.
Kadri kitu kinazidi kuelekea mbali zaidi ya macho ya anayekitazama kitu hiko ndipo kitu husika huonekana kuwa kidogo zaidi kwanza kabla ya kitu husika kushindwa kuonekana vizuri, hiyo ndiyo 'Perspective' lakini kitu kinapoonekana kama kuzama kadri kinaposogea mbali na macho ya anayekitazama ni kitu tofauti kabisa.
Muonekano huo wa "kuzama" ni kutokana na kitu husika kuelekea kufunikwa na kitu kingine kitu ambacho hufanya kianze kupotea machoni mwa anayekitazama kama nilivyosema hapo awali.
Ni kitu gani huanza kuifunika meli hiyo taratibu kadri inapoelekea mbali zaidi ya macho ya anayekitazama?
Si 'Perspective' bali ni 'Curvature of the Earth'.
Upeo wa macho kutazama vitu haupelekei vitu kuonekana kuzama ama kuonekana upande mmoja na kutoonekana upande mwingine na hapo ndipo wengi wanaoamini dunia ni tambarare wanapochanganya. Upeo wa macho unapoishia, hufanya kitu kutoonekana kabisa na si katika mtindo huo wa kuzama chini juu.
Hivyo basi, kusema kuwa utatumia camera kufanya 'zooming' bado utarudi pale pale tu kwamba kadri utakapoendelea kuitazama meli kwa hicho kifaa chako, muonekano ni ule ule wa kuelekea kuzama ama kufunikwa.
Mkui hapa kinachokutesa ni ugumu wa wewe kuelewa globe earth, na urahisi wa kuelewa Flat earth, pale juu kuna sehemu nilisema wale ni wana sayansi wavivu😃😃😃.Na wewe umekuwa mvivu, na umemalizia kwa kuongeza vitu usivyovijua Babylon,sijui illuminati e.t.c huko ndio kabisaa hauwezi kuongelea aisee sababu ni secret na hakuna anaejua.Hao flat earthers ni jumuiya ya kutafuta "ugali" tu hakuna kitu kule😂😂😂. Dome?Prove...tunaletewa sijui ajali, mara rocket iligonga.Wakati vyombo vimetumwa vikaingie katika jua kabisa nalo lisomwe nyie mnaita hoax, haya.Ndio dunia ilivyo wa kubaki nyuma anabaki kwa hiyari yake.Hili la dunia globe lilishaisha kabisa!Watu wanakomaa na masafari ya Mars ma project makubwa kama Space X kwenda Mars.Hakuna kitu kama hicho bro.!, Nimesoma sayansi japo si kwa sana but kuna vitu nilikuwa namezeshwa lakini naona ni ngumu kumeza.
Nikitumia akili yangu ya kuzaliwa kabisa inanituma Flat Ethers wako sahihi asilimia zoote.
Just imagine kuambiwa dunia ni duara kama tufe au yai then watu wanatembea juu na pembeni yake eti tumenata au tumeagama upande upande sometimes upsidedown ni idea za kijinga kuamini. Na haiingii akilini hata kidogo.
Watakuambia eti it's because of gravitatinal force, kitu ambacho ni uongo mtakatifu ulio generated from Babylon.
Ninachojua mimi na kukiamini hadi nakufa ni kwamba ili kitu kiwe pulled to the center of the earth lazima viwe ni magnetic substance, na hata earth. So haiingii akilini binadam na wanyama kuwa pulled at the center of the earth na kuishi pembezoni mwa dunia wakitembea upandeupande na wengine kichwa chini miguu juu.
Flat ether are absolutely right coz wanavijadili vitu kwa uhalisia wake including density as a key formular. Chukua sinia kuubwa na weka vitu juu yake, iwe wanyama, na vitu vingine. Ni rahisi saana kuishi juu ya sinia kubwa coz haihitaji formular yeyote ku exist hapo, no gravitation force is needed there, the more denser you are, the more you prevail. Ukiweka unyoya utapepea coz of its low density.
Hitimisho, Flat Eather wako sahihi sana coz;
1. Binadam, wanyama na vitu vingine haviwezi kuishi pembezoni mwa dunia wakitembea na kufanya shughuli zao huku wameegama upandeupande na wangine kichwa chini miguu juu eti wakiwa wamenatishwa na gravity, wakati wao ni non-magnetal.
2. Ni ngumu kwa maji kukaa kwenye kitu kilicho duara kikining'ina angani yasimwagikie upande mwingine wakati nayo ni non-magnetal.
3. Ni ngumu kwa maji kutengeneza mkunjo ili kuleta dhana ya uduara wa dunia.
4. Ni rahisi kwa PLATE EARTH ku-hold kila kitu juu yake without any assist of gravity.
GLOBE/ROUND EARTH IS ABSOLUTELY A FAKE IDEA GENERATED BY ILLUMINATI UNDERTAKING BABYLONIAN PLANS TO GLORIFY LUCIFER AS A SUPREME BEING..!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni sawa bro.! Lakini kuyafanya yote hayo hayahitaji dunia kuwa duara ka mpira, tufe, etc. Tena i think wanayafanya kwa urahisi zaidi coz our earth is flat but wametuficha kwa mission yao flan hivi ...Mkui hapa kinachokutesa ni ugumu wa wewe kuelewa globe earth, na urahisi wa kuelewa Flat earth, pale juu kuna sehemu nilisema wale ni wana sayansi wavivu.Na wewe umekuwa mvivu, na umemalizia kwa kuongeza vitu usivyovijua Babylon,sijui illuminati e.t.c huko ndio kabisaa hauwezi kuongelea aisee sababu ni secret na hakuna anaejua.Hao flat earthers ni jumuiya ya kutafuta "ugali" tu hakuna kitu kule
. Dome?Prove...tunaletewa sijui ajali, mara rocket iligonga.Wakati vyombo vimetumwa vikaingie katika jua kabisa nalo lisomwe nyie mnaita hoax, haya.Ndio dunia ilivyo wa kubaki nyuma anabaki kwa hiyari yake.Hili la dunia globe lilishaisha kabisa!Watu wanakomaa na masafari ya Mars ma project makubwa kama Space X kwenda Mars.
Ni kama huku kwetu bado hata humu kuna raia wanahangaika na uchawi wa babu zao.Raia walishamaliza hilo uchawi sio dili we are on techs hatuwezi kuwalazimisha wanaokumbatia tunguli wao waendelee tu.Huko ma "neon" yako tayari huenda mbele yakawa ma customer care yetu.Nyie endeleeni na misukule.Hairudi nyuma hii inazunguka orbit na katika axis mpaka next big bang bro
Hakuna kitu kama hicho bro.!, Nimesoma sayansi japo si kwa sana but kuna vitu nilikuwa namezeshwa lakini naona ni ngumu kumeza.
Nikitumia akili yangu ya kuzaliwa kabisa inanituma Flat Ethers wako sahihi asilimia zoote.
Just imagine kuambiwa dunia ni duara kama tufe au yai then watu wanatembea juu na pembeni yake eti tumenata au tumeagama upande upande sometimes upsidedown ni idea za kijinga kuamini. Na haiingii akilini hata kidogo.
Watakuambia eti it's because of gravitatinal force, kitu ambacho ni uongo mtakatifu ulio generated from Babylon.
Ninachojua mimi na kukiamini hadi nakufa ni kwamba ili kitu kiwe pulled to the center of the earth lazima viwe ni magnetic substance, na hata earth. So haiingii akilini binadam na wanyama kuwa pulled at the center of the earth na kuishi pembezoni mwa dunia wakitembea upandeupande na wengine kichwa chini miguu juu.
Flat ether are absolutely right coz wanavijadili vitu kwa uhalisia wake including density as a key formular. Chukua sinia kuubwa na weka vitu juu yake, iwe wanyama, na vitu vingine. Ni rahisi saana kuishi juu ya sinia kubwa coz haihitaji formular yeyote ku exist hapo, no gravitation force is needed there, the more denser you are, the more you prevail. Ukiweka unyoya utapepea coz of its low density.
Hitimisho, Flat Eather wako sahihi sana coz;
1. Binadam, wanyama na vitu vingine haviwezi kuishi pembezoni mwa dunia wakitembea na kufanya shughuli zao huku wameegama upandeupande na wangine kichwa chini miguu juu eti wakiwa wamenatishwa na gravity, wakati wao ni non-magnetal.
2. Ni ngumu kwa maji kukaa kwenye kitu kilicho duara kikining'ina angani yasimwagikie upande mwingine wakati nayo ni non-magnetal.
3. Ni ngumu kwa maji kutengeneza mkunjo ili kuleta dhana ya uduara wa dunia.
4. Ni rahisi kwa PLATE EARTH ku-hold kila kitu juu yake without any assist of gravity.
GLOBE/ROUND EARTH IS ABSOLUTELY A FAKE IDEA GENERATED BY ILLUMINATI UNDERTAKING BABYLONIAN PLANS TO GLORIFY LUCIFER AS A SUPREME BEING..!
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekwisha jibu kuhusiana na hilo katika andiko langu lililopita kuhusu 'Perspective'.FRANC THE GREAT, Labda nikuulizs swali, maana unabisha suala ambalo ni la kawaida mno. Kama kimefunikwa ni kitu kingine, kwa nini basi ukikisogeza karibu zoom ukione tena? Je, hakipaswi kuwa kimepotea kabisa? Nijibu hilo kwanza
Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
Hakuna kitu kama hicho bro.!, Nimesoma sayansi japo si kwa sana but kuna vitu nilikuwa namezeshwa lakini naona ni ngumu kumeza.Kutokuuona kwako ndio ukamilifu wake wa uduara hilo.
Ndio maana pakawa na ishara zinaonyesha uduara wa Dunia, ishara ambazo umbile lingine halikubali, suala la kuona hapa kuna mipaka, kama vile macho yalivyo kuwa na mipaka katika kuona.
Kama kweli nia ni kujua usiku na mchana inavyopatikana katika dunia flat, sina haja yakujihoji zaidi ya kuhoji kwanini tufundishwe ni mviringo.?Na wewe umewahi kujihoji kwanini kuna usiku na mchana? Maana kama dunia ni flat then jua tungeliona mpaka usiku mwaka mzima. nkumbison, p
Sent using Jamii Forums mobile app