Narudia tena msimamo inaonekana hujanisoma tangu kwanzo.Hakuna kitu kama hicho bro.!, Nimesoma sayansi japo si kwa sana but kuna vitu nilikuwa namezeshwa lakini naona ni ngumu kumeza.
Nikitumia akili yangu ya kuzaliwa kabisa inanituma Flat Ethers wako sahihi asilimia zoote.
Just imagine kuambiwa dunia ni duara kama tufe au yai then watu wanatembea juu na pembeni yake eti tumenata au tumeagama upande upande sometimes upsidedown ni idea za kijinga kuamini. Na haiingii akilini hata kidogo.
Watakuambia eti it's because of gravitatinal force, kitu ambacho ni uongo mtakatifu ulio generated from Babylon.
Ninachojua mimi na kukiamini hadi nakufa ni kwamba ili kitu kiwe pulled to the center of the earth lazima viwe ni magnetic substance, na hata earth. So haiingii akilini binadam na wanyama kuwa pulled at the center of the earth na kuishi pembezoni mwa dunia wakitembea upandeupande na wengine kichwa chini miguu juu.
Flat ether are absolutely right coz wanavijadili vitu kwa uhalisia wake including density as a key formular. Chukua sinia kuubwa na weka vitu juu yake, iwe wanyama, na vitu vingine. Ni rahisi saana kuishi juu ya sinia kubwa coz haihitaji formular yeyote ku exist hapo, no gravitation force is needed there, the more denser you are, the more you prevail. Ukiweka unyoya utapepea coz of its low density.
Hitimisho, Flat Eather wako sahihi sana coz;
1. Binadam, wanyama na vitu vingine haviwezi kuishi pembezoni mwa dunia wakitembea na kufanya shughuli zao huku wameegama upandeupande na wangine kichwa chini miguu juu eti wakiwa wamenatishwa na gravity, wakati wao ni non-magnetal.
2. Ni ngumu kwa maji kukaa kwenye kitu kilicho duara kikining'ina angani yasimwagikie upande mwingine wakati nayo ni non-magnetal.
3. Ni ngumu kwa maji kutengeneza mkunjo ili kuleta dhana ya uduara wa dunia.
4. Ni rahisi kwa PLATE EARTH ku-hold kila kitu juu yake without any assist of gravity.
GLOBE/ROUND EARTH IS ABSOLUTELY A FAKE IDEA GENERATED BY ILLUMINATI UNDERTAKING BABYLONIAN PLANS TO GLORIFY LUCIFER AS A SUPREME BEING..!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Sisi tunasema hivi, Dunia ni duara ila inaonekana tambarare kulingana na ukubwa wake.
Ila kusema flat kama meza mathalani, hapa wenye mtazamo huo wana maswali ya kujibu.
Kama hujaelewq nilicho kiandika unaweza kuniuliza tena.