The World is a flat plane and not a globe

The World is a flat plane and not a globe

Mayb it was fake, mayb it is too expensive, mayb ts too dangerous or mayb there is nothing there to waste resources for, or mayb the word is FLAT covered with glass hard to break. Let your brain decide.
This is not for my brain to decode as long as someone claims to have actually been there. It should be the matter of facts!!

Nimejaribu kutafuta mtandaoni nimeshangaa kuwa evidences zote zinazohusiana na hii program ya mwezini NASA wanadai zimepotea. Hapa kuna tatizo.

Lakini pia nikiweka maoni yangu kuhusu globe earth na flat earth, wengi katika wateezi wa globe earth nimegundua wanakimbilia kwenye kile walicholishwa vyuoni kuliko kujadili uhalisia wa mambo. Ndipo utaona wajivuni wa complex mathematical formulas, wanaoringia maelezo ya wanasayansi wa ulaya n.k. Sifurahishwi sana na jinsi wanasayansi wetu wenyewe wanavyoshindwa kujenga hoja nyepesi tu za kueleweka kwa wana jf wa kawaida kama mtoa mada alivyokusudia.

Kwa mwenye ufahamu kidogo tu, why on earth pale panapohitajika elimu kwa umma wote watu wakimbilie kwenye maformula ya chuo kikuuu ambayo hawajawahi hata kuyafanyia kazi zaidi ya kukariri ili kupata GPA nzuri? Can't we think and make sense on our own? Kwa nini tufanywe watumwa wa mitazamo ya wengine?

I mean, sipo kupinga globe earth ila sipendezwi na majivuno ya kina Einstein n.k. Be simple, elezea kile ulichokielewa sasa in a layman's language. Kutuletea maelezo complecated ni dalili ya kutoelewa hata kile unachokizungumza, just break it down in a simple to understand language.

Thanks in advance.

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
 
We ndo umeelimika unaamini dunia ni flat?
Mkiitwa monkeys mnalalamika, 2020 tukae tunadiscuss kama dunia ni flat?
Infact ukiniita monkey utakuwa umenionea tu, wewe unayesadiki kuwa dunia ni mpora unaozunguka basi imekupasa uamini katika evolution pia, hivyo wewe ni NYANI ANAYEZUNGUKA JUA.

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
 
SPACE CHIMPAZEE
Infact ukiniita monkey utakuwa umenionea tu, wewe unayesadiki kuwa dunia ni mpora unaozunguka basi imekupasa uamini katika evolution pia, hivyo wewe ni NYANI ANAYEZUNGUKA JUA.

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
images%20-%202020-01-29T140800.883.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya mambo ya Sayansi huwa yana uongo mwingi sana, tatizo watu wengi wanapenda story za Sayansi basi hata muda wa kuhoji hawaupati.

Nilishawahi kuwauliza humu wajinga fulani kwamba, kuna jafribio gani la Kisayansi liliwahi kufanywa likathibitisha ya kuwa Dunia inazunguka ? Auwatuthibitshie tu ya kuwa Dunia inazunguka, majibu yao ni vituko.

Sayansi ya maumbile na hasa ya anga niliachaga kuamini, pale niliposikia habari za mtu kwenda mwezini.
Wapo watakaopinga na kusema kuna wanasayansi wamefika mwezini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanini wafiche dunia sio tambarare ni tufe?Nini faida ya kuficha?Hasara ni zipi endapo binadamu watajua kwamba dunia ni tambarare?Mbona ni jambo zuri tu kuvumbua mambo kila siku.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mimi pia nimevutiwa na uzi huu, hivyo nikaamua kufanya uchunguzi wangu binafsi. Nilichoambulia mpaka sasa ni sababu mbili:

1. NASA program na space program nyinginezo duniani zinatumia mabilioni ya dola kila mwaka kufanya tafiti za anga za juu, hivyo ni njia nzuri na ya uhakika kuchota pesa za walipa kodi kwa amani kabisa. Bila hivyo ni ngumu kupata mafungu haya kwani watu hatakubali.

2. Kuwatoa watu kwenye kuamini kwamba Mungu yupo. Kumbuka tangu awali dunia iliaminika kuwa ni tambarare ambayo ni kama sinia. Kwamba bara la antarctica limezunguka ncha upande wote wa chini wa dunia. Sasa kusema kuwa dunia ni duara kunaondoa credibility ya Mwenyezi Mungu na hivyo kufanya vitabu vya dini kuwa ni hadithi za kutunga tu.

Bado naendelea kutafiti zaidi, lakini kama utafanya utafiti kwa kuwa na mtazamo huru, nakuhakikishia mada hii ni nzuri mno. Weka spoon feeding pembeni, shughulisha ubongo wako ije na mtazamo wako mwenyewe ulinganishe na scientific facts.

Naendelea....

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
 
Jamani masomo ya urubani ni free kabisa online ingia kasome ila ujue siri moja sio kuwa na malengo ya kua kuwa rubani

Hivi unajua ndege inaruka umbali mrefu sana pasipo kupaa kwa kujikunja kufuata the way dunia ilivyo but huwa inaenda straight tu?

Kama kuna satellite kwanini kuna mkonge duniani kote?
kwanini mmarekani mwenye teknolojia kubwa aliweza kupigwa na kushindw akujiokoa huko mapangoni kwa watu wa iran kisa tu hawawezi wasiliana na ndugu zao? na kumbuka wanasatellite yao binafsi?

Kwanini uwekewe mnara kwa babu yako kule upate shida ya network wakati ingeachiwa moja kwa moja kutoka juu ingefika kwa urahisi?

kwanini ndege zinawekewa rada chini duniani na hazitumii sattelite?

Siwaaaminishi muamini dunia flat ila nataka tujiulize na kujifunza kwanini baba anasema anahela laki mbili ndani lakini amekopa buku ya nauli
Mkuu unagonga penyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tumalize utata dunia imekaa kama Kigoda, ndoi maana tunaweza jamiiana na kufuga nguruwe. Pia ukitaka kuamini hilo ww chukua magimbi na rotation changanya kwenye atmospheric pressure, laazima itatokea digestion, hata constipation inakigodoro.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
What is flat? How do you know something is flat and another is not?

How can you say the earth is flat while it clearly has mountains and valleys?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mountains are formed from forces within crust,the water around nature is of high percent than the land,water takes it level,on water bodies water has no curvature but horizon hence flatness"for the last time ,we use the word flat or term earth flat circle to disprove man made spherical earth or curvature"

I think am done explaining this no extra explanations.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mountains are formed from forces within crust,the water around nature is of high percent than the land,water takes it level,on water bodies water has no curvature but horizon hence flatness"for the last time ,we use the word flat or term earth flat circle to disprove man made spherical earth or curvature"

I think am done explaining this no extra explanations.

Sent using Jamii Forums mobile app
Are mountains flat?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom