The World is a flat plane and not a globe

The World is a flat plane and not a globe

Aisee kweli kuna watu wako stone age, na huwez kubishana nao maana hawajui kwa nini USA anachukizwa zaidi na silaha za nyuklia za north korea kuliko za iran.
.
flat-earth-memes-23-20.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilichoka pale jamaa mwansayansi wa Nasa alipoulizwa why now hamuendi mwezini?? Akajibu eti tulidestroy tech iliyotufanya tukaweza kwenda kipindi kile so sasa hivi hatuna nyingine.. i was like whatttt? Seriuos????
Nikajua hizi ni kamba tu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shida ni pale unaweza kusema baiskel inatembea na hatuioni ikiwa katika motion

huwa najiuliza dunia inayozunguka km zaidi ya km9000 kwa saa inawezekanaje tusione ile purukushani sababu ya gravity force lakini tunawez akuliona tetemeko lililo na nguvu kidogo kuzidi ile speed tutaona upepo vimbunga na tsunami lakni sio ile speed kubwa zaidi
daaaa hapo najiuliza tu ila hakuna mwanasayansi wakukujibu kwa uthibitisho zaidi ya theory tu
Kweli kwa jinsi wanavyotetea eti dunua ni kubwa sana huwezi kuhisi. Basi tetemeko ni kitu kidogo sana kwenye hili gigantic world tusingetakuwa kulihisi kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baba Swalehe tuambie hapa!

Theory ya rotation of the earth speed yake ni uniform na inachukua saa 24 kukamilisha mzunguko ambao unazalish usiku na mchana. Kama mwendokasi wa Dunia ni Uniform katika mzunguko wake wa saa 24 usiku na mchana unapatikana tafsiri yake ni kwamba saa zake inabidi ziwe pacha. Mchana utachukua saa 12 na usiku saa 12.

Equinox mnasema when the sun crosses the equator! Usiku na mchana unakuwa the same length. Tafsiri yake ni kwamba masaa ya usiku na mchana yanatofautiana kwenye Dunia hii hii ambayo speed yake ni Uniform ambao kila siku unachukua saa 24 kukamilisha mzunguko wake ambao tunapata usiku na mchana.

Ajabu ni kwamba the sun linakuwa overhead at the equator twice per year! Inatokea mwezi March na mwezi September. Hii hali inakuwaje?wakati earth rotates at a uniform speed in 24 hrs siku zote? Kwa nini equinox isiwe daily?

Tupatie majibu msomi.
Sina jibu mkuu wangu

Mimi ni kilaza

The earth is flat

Satisfied ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahah akilindogosana yani unalinganisha diameter ya roller coaster, merry go around na diameter ya dunia???
Hem angalia torque Kwenye hivyo vitu na torque ya dunia respectively
Hivi unahisi bacteria aliyetua juu ya ngozi yako anajua unatembea au uko stationary hatakama unakimbia? Kumbuka yeye mkunjo wa ngozi yako anaona kama milima ya everest
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom