The World is a flat plane and not a globe

Tukianza kuingelea mambo ya kina Molniya orbits or Low Earth orbits. Hatutoelewana hapa

Sababu huwezi amini chochote baki na ujinga wako Zurri shida iko wapi

It was better ungekua mtu uliyetayari ku learn haupo hivyo sasa

You know everything

Ova
Kutokuelewa kwa jambo fulani husababishwa na sababu nyingi, moja wapo ni yule anae elewesha akawa hajui kile anachokielewesha, hili huwa tatizo.

Na changamoto ambayo tunayo kutana nayo na watu kama nyinyi ni kushindwa kwenu kujibu maswali marahisi kwa kichaka ya kuwa hatutaelewa na kwamba mnapoteza muda, huku mnajidanganya wenyewe.
 
Zurri pengine hujanielewa ,unachokisema ni sawa ina ukomo ila ukomo wa kitu husababishwa na vitu kama
Humidity
Fog
Rainfall
Snow
Dust
Rough weather
Dull light n.k ila kama hakuna hivi vitu utaona umbali mrefu sana kama telescope inavuta mwezi na ukauona vizuri kwenye straightline unajua mwezi ni uko mbali kiasi gani?na radius ya circle ya dunia unajua ni ngapi?sasa ukiondoa hizo factor hapo juu ukiwa tunisia unaona hata angola.kuhusu ukomo still cameras zinakuwa advanced
Kaka ndio maana nasema hivi, unacho kiona wewe ni ule ukomo wa hicho kifaa, ila kifaa hakionyeshi kwamba hapo ndio mwisho. Sijui kama unanielewa.

Ukiangalia hizo picha kwa umakini, ni kuwa inaonyesha matokeo ya utambarare kulingana na upeo yaani ukomo wa kifaa hicho. Maana ukisema usogee kutoka hapo ulipo ukaenda umbali wa mile kadhaa ukapima tena lazima utaona ukomo wa tambarare.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tukianza kuingelea mambo ya kina Molniya orbits or Low Earth orbits. Hatutoelewana hapa

Sababu huwezi amini chochote baki na ujinga wako Zurri shida iko wapi

It was better ungekua mtu uliyetayari ku learn haupo hivyo sasa

You know everything

Ova
Kaka mimi sio Wanasayansi ila nimesoma Sayansi na nina ishi katika shughuli za Kisayansi, na kuna mambo magumu kuliko hayo ya Sayansi tunayaelewa seuze mambo hayo, mambo ambayo mnaelezea "Observations" zenu kisha mnaziita "Evidence".

Wewe elezea tu, kisha tuulizane maswali.

Shida iko hapa, mnapojinadi mnajua mambo fulani halafu mnashindwa kuyaelezea, sasa kujinadi kwenu kinakuwa hakuna maana zaidi ya kujichoresha tu.
 
Satellite ni uongo nikuulize nasa imeanza 1958 satellite je?ukijibu ntakuambia kitu kuwa zipo ila una ushahidi wowote?zaidi sarakasi za NASA za kupotosha.
Tumia google yako vizuri usitake kurahisisha mambo. Ingia mtandaon soma unachokitaka. Usisingizie watu wa jf

We baki kusema story watu wanadiscover vitu huko mbele.

Kama ukiwa huamin sayans na utabir wa hali ya hewa usiuamin na ukiambiwa tetemeko linakuja usiamin. Kuna juha mwenzako hapo juu anasema et Hakuna satellite ni uongo tu. Hv mmekula maharage ya wap nyie viumbe???

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unayesema Quantum inakufanya ikuaminishe na kukupa logic yakuwa dunia haiwezi kuwa flat wacha nikupo pole
maana aliyekuletea hiyo Quantum Hakukupa kama hiki hapa
Quantum Physics, Spirituality And Your Life Experience : They're Not As Different Nor as Separate As You May Currently Think And Believe. Your Thoughts, Beliefs and Emotions Shape Your World. Now You'll FINALLY Understand Why in a Very Clear, Concise, Simplified
and Profoundly Empowering Kind of Way!!

Alikufanya uishie kuisoma Quantum pekee lakini hajakuambia ukitaka upate majibu sahihi nilazima utafute thamani ya X kwa kuongeza hayo yalioko mbele yake.

Kusoma Quantum Pekee nisawa na kupewa hesabu ya 1 + [__] = 2 Ukafutiwa mbili na kuambiwa jaza jibu ukajaza mbili kama ilivyo lakini ukasahau sana kuwa kunakutafuta thamani ya namba iliyowazi katika sanduku.

Jamaa nimekuona sehemu nyingi ukielezea Quantum kwakweli unaielewa vyema kwa kiasi chako ila naweza sema pole uliisoma kama somo la darasani haukusoma kama jambo lakuishi nalo na ku-apply katika maisha.

Laiti ungejua babu yake anyeroga kule kijijini hakusoma kabisa lakini katika ulozi wake anafanya hesabu basi leo hii usingekemea uchawi bali ungejiuliza kajuaje hesabu za ulozi na wakati hakusoma?

Point ni hii ukiileta hesabu in reality life na ukiaply katika globe nakosa majibu kabisa ila ukiapply katika flat earth unapata majibu

silazimishi kuamini katika flat earth ila najaribu kukufungua akili
chukua density kanuni yake iweke katika mafanikio ya maisha kwakufuata globe unafeli ichukue force ichukue speed ichukua gravity fanya kanuni katika maisha kwa logic ya globe unaangukia pua kabisa na hautapata majibu yoyote ila kumbuka ndio globe.

Ila wao wakisha inana katika masonic hall kule na katika cathedral kubwa zote kule roma na wakafanya hizo hesabu kwa msingi wa flat earth ndio unaanza kuliwa oooh wazungu wanatunyonya.

Sio mtaalamu wa Quantaum ila ninalojua nikuwa ukisoma Quantam unachopata ni hiki kiko katika bolded hapa chini

Quantum Physics, once understood not only can, but will, open your eyes
to an unseen world few are aware of. Once you're aware, you'll be enabled
and perhaps empowered to see the importance of consciously aligning your
thoughts, emotions and actions with your heartfelt desires, making the term
Heaven on Earth more than just a nice thought or novel idea, simply
because, You CAN...No...I mean you REALLY CAN, should you "choose" to.
 
Kaka mimi sio Wanasayansi ila nimesoma Sayansi na nina ishi katika shughuli za Kisayansi, na kuna mambo magumu kuliko hayo ya Sayansi tunayaelewa seuze mambo hayo, mambo ambayo mnaelezea "Observations" zenu kisha mnaziita "Evidence".

Wewe elezea tu, kisha tuulizane maswali.

Shida iko hapa, mnapojinadi mnajua mambo fulani halafu mnashindwa kuyaelezea, sasa kujinadi kwenu kinakuwa hakuna maana zaidi ya kujichoresha tu.
nianze kubishana na mtu ambaye hajui chochote na harespect hata kazi za kina erwin Schrödinger, Werner Heisenberg, Max Born and others
Mtu ambaye hajui chochote kuhusu mathematical function na wave function
Mtu ambaye nikimwambia momentum states is the space of square-integrable ataishia kunibishia
Mtu ambaye nkijaribu kumweleza kwambavectors ni elements of a complex separable Hilbert space

Mtu ambaye hajui chochote kuhusu eigenstates

Nianze kubishana nae hapa

I will be stupid
 
Zurri pengine hujanielewa ,unachokisema ni sawa ina ukomo ila ukomo wa kitu husababishwa na vitu kama
Humidity
Fog
Rainfall
Snow
Dust
Rough weather
Hizi ulizo zitaja ni sababu za nje na huwa kama dharura ila kua zile sababu ambazo ni za dhati ya kifaa kinyewe. Swalila msingi ni kuwa je zikiondoka sababu hizo za nje, kifaa kinaweza kukidhi mahitaji na je ukomo utaondoka na ukamilifu utafikiwa ?
Dull light n.k ila kama hakuna hivi vitu utaona umbali mrefu sana kama telescope inavuta mwezi na ukauona vizuri kwenye straightline unajua mwezi ni uko mbali kiasi gani?na radius ya circle ya dunia unajua ni ngapi?sasa ukiondoa hizo factor hapo juu ukiwa tunisia unaona hata angola.kuhusu ukomo still cameras zinakuwa advanced
Safi kabisa, je huo umbali ni timilifu yaani unafika nchani au ukisogea mbele ya ukomo wa kifaa utaona tena mbali zaidi ?

Sijui umbali wa Mwezi kutoka hapa duniani ni kiasi gani na kadhalika sina uhakika na hicho kipenyo cha dunia, kwani majibu haya mawili yanatakiwa kuhakikiwa na kujua kama ni ya kweli au si ya kweli.
 
Thumb up mkuu very intellectual
Unayesema Quantum inakufanya ikuaminishe na kukupa logic yakuwa dunia haiwezi kuwa flat wacha nikupo pole
maana aliyekuletea hiyo Quantum Hakukupa kama hiki hapa
Quantum Physics, Spirituality And Your Life Experience : They're Not As Different Nor as Separate As You May Currently Think And Believe. Your Thoughts, Beliefs and Emotions Shape Your World. Now You'll FINALLY Understand Why in a Very Clear, Concise, Simplified
and Profoundly Empowering Kind of Way!!

Alikufanya uishie kuisoma Quantum pekee lakini hajakuambia ukitaka upate majibu sahihi nilazima utafute thamani ya X kwa kuongeza hayo yalioko mbele yake.

Kusoma Quantum Pekee nisawa na kupewa hesabu ya 1 + [__] = 2 Ukafutiwa mbili na kuambiwa jaza jibu ukajaza mbili kama ilivyo lakini ukasahau sana kuwa kunakutafuta thamani ya namba iliyowazi katika sanduku.

Jamaa nimekuona sehemu nyingi ukielezea Quantum kwakweli unaielewa vyema kwa kiasi chako ila naweza sema pole uliisoma kama somo la darasani haukusoma kama jambo lakuishi nalo na ku-apply katika maisha.

Laiti ungejua babu yake anyeroga kule kijijini hakusoma kabisa lakini katika ulozi wake anafanya hesabu basi leo hii usingekemea uchawi bali ungejiuliza kajuaje hesabu za ulozi na wakati hakusoma?

Point ni hii ukiileta hesabu in reality life na ukiaply katika globe nakosa majibu kabisa ila ukiapply katika flat earth unapata majibu

silazimishi kuamini katika flat earth ila najaribu kukufungua akili
chukua density kanuni yake iweke katika mafanikio ya maisha kwakufuata globe unafeli ichukue force ichukue speed ichukua gravity fanya kanuni katika maisha kwa logic ya globe unaangukia pua kabisa na hautapata majibu yoyote ila kumbuka ndio globe.

Ila wao wakisha inana katika masonic hall kule na katika cathedral kubwa zote kule roma na wakafanya hizo hesabu kwa msingi wa flat earth ndio unaanza kuliwa oooh wazungu wanatunyonya.

Sio mtaalamu wa Quantaum ila ninalojua nikuwa ukisoma Quantam unachopata ni hiki kiko katika bolded hapa chini

Quantum Physics, once understood not only can, but will, open your eyes
to an unseen world few are aware of. Once you're aware, you'll be enabled
and perhaps empowered to see the importance of consciously aligning your
thoughts, emotions and actions with your heartfelt desires, making the term
Heaven on Earth more than just a nice thought or novel idea, simply
because, You CAN...No...I mean you REALLY CAN, should you "choose" to.
THUMB%20UP.gif

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nianze kubishana na mtu ambaye hajui chochote na harespect hata kazi za kina erwin Schrödinger, Werner Heisenberg, Max Born and others
Mtu ambaye hajui chochote kuhusu mathematical function na wave function
Mtu ambaye nikimwambia momentum states is the space of square-integrable ataishia kunibishia
Mtu ambaye nkijaribu kumweleza kwambavectors ni elements of a complex separable Hilbert space

Mtu ambaye hajui chochote kuhusu eigenstates

Nianze kubishana nae hapa

I will be stupid
Kijana nikisema naishi katika hayo mambo ujue na maanisha na ndio maana nimekuoa uwanja uandike unacho kijua una taja majina, kaka habari za kina Werner Heinsberg nazijua na nadharia yake tunaitumia sana katika method moja wapo ya kupima Earth Resistance, kijana kuhusu kina Schrodinger nakumbuka nilimsoma nikiwa chuo mwaka wa pili au wa kwanza, kwahiyo haya mambo nayajua kuliko unavyo fikiria.

Kijana weka mambo uone tofauti kati ya ushabiki, kukariri na kuelewa na kujenga hoja.

Kwahiyo sasa kama ukitaka tushindane kutaja majina, kazi hii rahisi sana. Wewe elezea vitu, au mpaka tuanze kuandika fani zetu ni zipi, ndio ujue unajadiliana na watu wa sampuli gani ? Sasa acha uoga.
 
Jamani masomo ya urubani ni free kabisa online ingia kasome ila ujue siri moja sio kuwa na malengo ya kua kuwa rubani

Hivi unajua ndege inaruka umbali mrefu sana pasipo kupaa kwa kujikunja kufuata the way dunia ilivyo but huwa inaenda straight tu?

Kama kuna satellite kwanini kuna mkonge duniani kote?
kwanini mmarekani mwenye teknolojia kubwa aliweza kupigwa na kushindw akujiokoa huko mapangoni kwa watu wa iran kisa tu hawawezi wasiliana na ndugu zao? na kumbuka wanasatellite yao binafsi?

Kwanini uwekewe mnara kwa babu yako kule upate shida ya network wakati ingeachiwa moja kwa moja kutoka juu ingefika kwa urahisi?

kwanini ndege zinawekewa rada chini duniani na hazitumii sattelite?

Siwaaaminishi muamini dunia flat ila nataka tujiulize na kujifunza kwanini baba anasema anahela laki mbili ndani lakini amekopa buku ya nauli
 
Kijana nikisema naishi katika hayo mambo ujue na maanisha na ndio maana nimekuoa uwanja uandike unacho kijua una taja majina, kaka habari za kina Werner Heinsberg nazijua na nadharia yake tunaitumia sana katika method moja wapo ya kupima Earth Resistance, kijana kuhusu kina Schrodinger nakumbuka nilimsoma nikiwa chuo mwaka wa pili au wa kwanza, kwahiyo haya mambo nayajua kuliko unavyo fikiria.

Kijana weka mambo uone tofauti kati ya ushabiki, kukariri na kuelewa na kujenga hoja.

Kwahiyo sasa kama ukitaka tushindane kutaja majina, kazi hii rahisi sana. Wewe elezea vitu, au mpaka tuanze kuandika fani zetu ni zipi, ndio ujue unajadiliana na watu wa sampuli gani ? Sasa acha uoga.
Eti unaniita kijana 😂😂😂😂

Hahaha...... Umeshinda the earth is flat be happy then

Hata shadow sticking umeshinda msomi gani wewe 😌😅
 
Jamani masomo ya urubani ni free kabisa online ingia kasome ila ujue siri moja sio kuwa na malengo ya kua kuwa rubani

Hivi unajua ndege unaruka umbali mrefu sana pasipo kupaa kwa kujikunja kufuata the way dunia ilivyo but huwa inaenda straight tu?

Kama kuna satellite kwanini kuna mkonge duniani kote?
kwanini mmarekani mwenye teknolojia kubwa aliweza kupigwa na kushindw akujiokoa huko mapangoni kwa watu wa iran kisa tu hawawezi wasiliana na ndugu zao? na kumbuka wanasatellite yao binafsi?

Kwanini uwekewe mnara kwa babu yako kule upate shida ya network wakati ingeachiwa moja kwa moja kutoka juu ingefika kwa urahisi?

kwanini ndege zinawekewa rada chini duniani na hazitumii sattelite?

Siwaaaminishi muamini dunia flat ila nataka tujiulize na kujifunza kwanini baba anasema anahela laki mbili ndani lakini amekopa buku ya nauli
Mimi mkuu nmeshindwa kuongea chochote humu tushadili sana humu ndan na hawa flat earth

Wagumu mno ni sawa na mkristo au muislamu umwambie dini yako sio sahihi 😅😂
 
Zurri kanishikia watu hapa..ngoja niangalie mpambano
Shida ni pale unaweza kusema baiskel inatembea na hatuioni ikiwa katika motion

huwa najiuliza dunia inayozunguka km zaidi ya km9000 kwa saa inawezekanaje tusione ile purukushani sababu ya gravity force lakini tunawez akuliona tetemeko lililo na nguvu kidogo kuzidi ile speed tutaona upepo vimbunga na tsunami lakni sio ile speed kubwa zaidi
daaaa hapo najiuliza tu ila hakuna mwanasayansi wakukujibu kwa uthibitisho zaidi ya theory tu
 
Eti unaniita kijana 😂😂😂😂

Hahaha...... Umeshinda the earth is flat be happy then

Hata shadow sticking umeshinda msomi gani wewe 😌😅
Sishindani,ndio maana nimekupa uwanja umeshindwa kuutumia.

Pili, mimi sisemi kama dunia ni flat, kama umeona navyojadiliana na mdau mwingine.

Tatu, imani yangu ni kuwa Dunia ni Duara na tunaiona flat kulingana na ukubwa wake. Na hapa nina hoja za kusimama na ibu hili.

Nne, wenzenu tunaishi katika Sayansi ila tunautanguliza uhalisia na kuhoji ndio maana tuko hapa leo hii.
 
Kijana nikisema naishi katika hayo mambo ujue na maanisha na ndio maana nimekuoa uwanja uandike unacho kijua una taja majina, kaka habari za kina Werner Heinsberg nazijua na nadharia yake tunaitumia sana katika method moja wapo ya kupima Earth Resistance, kijana kuhusu kina Schrodinger nakumbuka nilimsoma nikiwa chuo mwaka wa pili au wa kwanza, kwahiyo haya mambo nayajua kuliko unavyo fikiria.

Kijana weka mambo uone tofauti kati ya ushabiki, kukariri na kuelewa na kujenga hoja.

Kwahiyo sasa kama ukitaka tushindane kutaja majina, kazi hii rahisi sana. Wewe elezea vitu, au mpaka tuanze kuandika fani zetu ni zipi, ndio ujue unajadiliana na watu wa sampuli gani ? Sasa acha uoga.
Zurri kanishikia watu hapa..ngoja niangalie mpambano
Hajamshika mtu yeyote ni vile tu siwezi bishana na mtu mjinga

Da vinci kuwa muwazi you know Zurri well 😅

I will waste my energy here

Two weeks ago nlkueleza jinsi nlvyotumia AI kudevelop method flan ya kutibu mtu aliye paralyze mkono
And i was so busy nkakueleza nashindwa hata kukujibu now

Then mtu anakuja kukwambia quantum physics ni ushubwada tu aaah aisee nmemind sana kijana hizi ni dharau wazi wazi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom