The World is a flat plane and not a globe

The World is a flat plane and not a globe

Sawa Shaban Robert wa Jf tumekuskia
Kama hujali kuhusu spelling, usingetumia herufi yoyote kuanzia a hadi z.

Umezitumia.

Inaonesha hata wewe unajali kuhusu spelling, halafu hata hujui kwamba unajali kuhusu spelling.

Unaonesha jinsi ulivyo mjinga.

Hujui hata unachojali na usichojali ni kipi.

Siwezi kushangaa ninapopata matatizo kujadiliana nawe.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha mkuu kuna eneo kubwa nje ya dunia yetu thats why imewekwa sheria ya Antarctica treaty iliyo sainiwa na nchi kumi na mbili ikiwemo south africa kupinga mtu yeyote asiende bara hilo kwakuwa wanadamu watajua dunia sio tufe bali ni tambarare

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kwahiyo unamaanisha mtu akifika huko anaweza kuja na ugunduzi mwingine? Maana wanasema huko kuna baridi sana
 
MOON LANDING PROCEDURE
HOAX
IMG_20200129_010136_759.JPG
IMG_20200129_005955_653.JPG
IMG_20200129_005928_250.JPG
IMG_20200129_005910_096.JPG
IMG_20200129_005833_189.JPG
IMG_20200129_005813_972.JPG
IMG_20200129_005750_251.JPG
IMG_20200129_005732_397.JPG
IMG_20200129_005707_364.JPG
IMG_20200129_005641_952.JPG
IMG_20200129_005624_873.JPG
IMG_20200129_005611_013.JPG
IMG_20200129_005524_485.JPG
IMG_20200129_005455_491.JPG
IMG_20200129_005441_058.JPG
IMG_20200129_005426_696.JPG
IMG_20200129_005409_925.JPG
IMG_20200129_005354_197.JPG
IMG_20200129_005254_070.JPG
IMG_20200129_005228_734.JPG


Sent using Jamii Forums mobile app
 
The Rod of Asclepius is an ancient Greek symbol associated with medicine, consisting of a serpent coiled around a rod.

In ancient Greek religion and mythology, Asclepius was the god of medicine and healing.

BY DEFINITION HAPO JUU USHAELEWA SAWA KUHUSU YA ALAMA ROD AND SNAKE OK.

BABU WA LOLIONDO ALIHITAJI MIA TANO KWASABABU ILIKUWA NA ALAMA YA IBILISI YA MUNGU WA MADAWA
Vp kuhusu 500 yetu yeny nyoka..?
images%20-%202020-01-29T122229.464.jpeg
images%20-%202020-01-29T121726.217.jpeg
images%20-%202020-01-29T121654.264.jpeg
images%20-%202020-01-29T121629.591.jpeg
images%20-%202020-01-29T121758.868.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
na nyumb yenu it's like sambusa on the upper part,,,,, VP utaamini kuw Dunia ni Kama KoNi za mazoezini Kwny soccer?
OK HUSU NYUMBA KUKAA KAMA PYRAMID NI KITU RAHISI,KUMBUKA JESUITS NI MAWAKALA WA SHETANI NA SHETANI NI ANAFANYA UNIVERSAL INDOCTRINATION.

BATI LIMEKAA KAMA TRIANGLE KUONESHA NCHA YA JUU NI MTAWALA HALAFU CHINI ULE MSTARI UNAOUNGA NCHA MBILI NI WATUMISHI AU WATUMWA ,KWAHIYO NI HIVI ZAMANI NYUMBA PAA ILIKUWA NI DOME SASA HIVI PAA NI PYRAMID ,HIVYO HIVYO WAMECHANGE KWA MUONEKANO WA DUNIA.IT MEANS UKIWEKA PAA HIVYO UPO CHINI YA MTAWALA WA DUNIA.
images%20-%202020-01-29T123852.361.jpeg
images%20-%202020-01-29T123906.221.jpeg
images%20-%202020-01-29T123922.038.jpeg
images%20-%202020-01-29T123743.733.jpeg
images%20-%202020-01-29T123758.652.jpeg
images%20-%202020-01-29T123807.610.jpeg
images%20-%202020-01-29T124008.216.jpeg
images%20-%202020-01-29T124017.196.jpeg
images%20-%202020-01-29T124029.424.jpeg
images%20-%202020-01-29T124107.169.jpeg
images%20-%202020-01-29T124139.769.jpeg
images%20-%202020-01-29T124155.216.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cash Money Forever,
Lenzi ya macho au ya kifaa cha kuonea ina ukomo wa kuona. Swali lako kuhusu kuonekana kwa meli kwa namna hiyo ni mwisho wa ukomo wa macho kuona ndiyo maana unaiona meli kama inazama na haimaanishi kwamba Dunia ni tufe. Ila ukitumia kifaa chenye uwezo wa kuona kuliko uwezo wa macho yako hii point yako utaibadili.

Ingia You Tube andika Unbelievable epic zoom power P900 Nikon utapata jawabu lako! Watakuonyesha hatua kwa hatua jinsi meli unavyoiona kwa macho na ukitumia kifaa chenye uwezo wa kuona mbali kuliko uwezo wa macho yako.
 
Asante mkuu
Lenzi ya macho au ya kifaa cha kuonea ina ukomo wa kuona. Swali lako kuhusu kuonekana kwa meli kwa namna hiyo ni mwisho wa ukomo wa macho kuona ndiyo maana unaiona meli kama inazama na haimaanishi kwamba Dunia ni tufe. Ila ukitumia kifaa chenye uwezo wa kuona kuliko uwezo wa macho yako hii point yako utaibadili.

Ingia You Tube andika Unbelievable epic zoom power P900 Nikon utapata jawabu lako! Watakuonyesha hatua kwa hatua jinsi meli unavyoiona kwa macho na ukitumia kifaa chenye uwezo wa kuona mbali kuliko uwezo wa macho yako.
IMG_20200129_124950_982.JPG


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom