The World is a flat plane and not a globe

The World is a flat plane and not a globe

Mkuu tuvumiliane. Kuna watu wa uelewa tofauti tofauti hivyo ukiona mtu ana uelewa mdogo below your expectations usimtukane, mvumilie tu. Lakini pia tunatofautiana level ya uvumilivu naona wewe huko kama speaker mmoja wa bunge la south Africa ana hasira kama zako, kuna siku alimwambia mbunge, "honorable member you are worse than I expected". Nilicheka utadhani mazuri!
Wala hawana lolote wanabisha ilimradi wabishe na waonekane tofauti na wengine. Ukisema uanze kutaka kuwaelewesha unapoteza tu muda. Tulitakiwa tuwe tunabshiana kuhusu mambo ya maana na siyo yale ambayo yanajulikana tangia 5000BC.
 
safuher,
Obviously dunia na sayari nyingine zitakuwa zinazunguka. Ishara zipo mfano, usiku na mchana. Hata majira mbali mbali ya mwaka theory ya dunia kuzunguka au kujizungusha ndiyo pekee inayoweza kuelezea matukio kama hayo.

Zaidi, kama sayari azizunguki jua, basi nadhani baadhi ya sayari ikiwemo dunia yetu hii tusingepata kuliona jua. Tungekuwa tumezibwa na sayari nyingine, na hasa kama sayari zingekuwa flat kama wanavyodhani baadhi ya wajumbe.
 
Wala hawana lolote wanabisha ilimradi wabishe na waonekane tofauti na wengine. Ukisema uanze kutaka kuwaelewesha unapoteza tu muda. Tulitakiwa tuwe tunabshiana kuhusu mambo ya maana na siyo yale ambayo yanajulikana tangia 5000BC.
Okay huko sahihi. Lakini ujue obvious/trivial things are not always obvious/trivial to everybody. Ndiyo maana kuna baadhi ya technologies kule kwa wenzetu ni very trivial/common technologies lakini huku kwetu ni bonge la surprise
 
Sasa we ignorant fool hata kama hujaenda shule unashindwaje kujua kwamba Dunia ni duara mpaka uwasumbue watu hapa wakuelezee elementary knowledge?
Muwe mnaenda hospitali kuchunguzwa kama mna mtindio kwenye bongo zenu.
Mi nadhani wewe ndio una mtindio wa ubongo, kama isue ni kutumia common sense shule za nini? Yaani we punguani unajifanya msomi halafu unashindwa kujua kwamba sayansi is not the use of common sense. Nyie ndio mnaopewa digrii za chupi. Kuna haja gani watu kuwekeza katika tafiti mbalimbali wakati kuna common sense. Yaani leo nimekudharau sana na kukuona mtu wa hovyo kuliko nilivyokuwa nakuheshimu kwa michango yako.
 
According to hii takataka niliyoattach, Naomba tu niite takataka sababu mtoa maada alishindwa kuitolea maelezo.

Sasa according to hii takataka ni kwamba dunia ni flat na jua linazunguka huko pembeni, na bara la africa na ulaya ni almost tupo katika center ya dunia.

1. Sasa kwanini tunaona jua la utosi ikiwa jua linazunguka huko pembeni?

2. Sun rise na sun set inatokeaje?
tapatalk_1580258616483.gif

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kutoka Auckland New zealand kwenda Hawaii USA ni safari ya masaa almost 10 tu kwa ndege itakayoruka bila kutua viwanja vya hapo katikati.

Ila kutoka Auckland New Zealand kuja Seol South Korea inachukua almost 12 hours.

Hiki kitu kwa nadharia ya flat earth kinawezekanaje kutokea?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wala hawana lolote wanabisha ilimradi wabishe na waonekane tofauti na wengine. Ukisema uanze kutaka kuwaelewesha unapoteza tu muda. Tulitakiwa tuwe tunabshiana kuhusu mambo ya maana na siyo yale ambayo yanajulikana tangia 5000BC.
Good. Its a shame in this age and time kubishana kuhusu jambo dhahiri kabisa. Thread ifungwe tu .
 
We ndo umeelimika unaamini dunia ni flat?
Mkiitwa monkeys mnalalamika, 2020 tukae tunadiscuss kama dunia ni flat?
Mkuu, wala sijaongea kwa habari za flat ama globe earth. Nimeongea kwa sababu ya aina ya maoni yako. Mtu aliyeelimika anaelewa maana ya mtazamo huru na kuruhusu hoja, kwani humo ndimo huzaliwa challenges mpya zitakazoimarisha mtazamo wake kama zitatafutiwa majibu.

Acha kabisa tabia ya kuzuia hoja ambazo ni fikirishi, badala yako jaribu kutafuta mambo muhimu kwenye kila hoja hata kama huipendi. Usiishi kwa kukariri bali ruhusu mtazamo huru ili uweze kufikiri kwa kuoanisha na kile ulichojifunza.

Nilikushangaa kuwashutumu mods kuruhusu uzi huu kwa sababu tu umesoma shuleni hicho unachokiamini.

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
 
Hicho kioo kilicho funika Dunia anasema kiko kama Dome lakini bado hajaleta ushahidi wa kutosha ni jinsi gani Watu wasio weza kupaa juu kwa roket, wanaweza safiri aridhini Kilometers ngapi wafike kwenye kizuizi cha hicho kioo! Maana hapatokuwa na woga wa kutoka nje ya Dunia Mtu atagota kwenye kizuizi imara cha Dome ya kioo!
Daah, ookey.
 
Niwakumbushe tu wale wa dunia ni kama sahani wakati tupo hapa tunabishana wanasayansi weupe huko waliosemaga dunia ni duara wanaandaa kifaa kikubwa cha utalii nje ya dunia. Unalipa nauli unafanya utalii kama unavyoenda mbugani. Pia wanafikiria namna ya ku colonise mars iwe inafaa kuishi binadamu.
 
Nadhani wangeanza kwanza kwenda mwezini. Mimi najiuliza kwa nini hakuna tena mission ya lunar landing baada ya ile ya apollo? What went wrong?

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
 
Nadhani wangeanza kwanza kwenda mwezini. Mimi najiuliza kwa nini hakuna tena mission ya lunar landing baada ya ile ya apollo? What went wrong?

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
Mayb it was fake, mayb it is too expensive, mayb ts too dangerous or mayb there is nothing there to waste resources for, or mayb the word is FLAT covered with glass hard to break. Let your brain decide.
 
Haya kafungue tuition sasa, Nani anajali kuhusu spelling hapa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama hujali kuhusu spelling, usingetumia herufi yoyote kuanzia a hadi z.

Umezitumia.

Inaonesha hata wewe unajali kuhusu spelling, halafu hata hujui kwamba unajali kuhusu spelling.

Unaonesha jinsi ulivyo mjinga.

Hujui hata unachojali na usichojali ni kipi.

Siwezi kushangaa ninapopata matatizo kujadiliana nawe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom