The World is a flat plane and not a globe

The World is a flat plane and not a globe

Sio mpaka leo, yaani mpaka pumzi yangu ya mwisho, ile nakata roho. Sababu sisi tumeshalenga shabaha hata kabla ya Sayansi hii si yenye kutajika.
Tatizo waliozusha huo uzushi wana 'fact' kidogo, nyie wafuasi mnashindwa kutetea maelezo yanayoeleweka. Ni picha tuu
 
Lol, hii inamaanisha nini?
Hebu nielezee
tapatalk_1580280495027.jpeg
 
Tatizo waliozusha huo uzushi wana 'fact' kidogo, nyie wafuasi mnashindwa kutetea maelezo yanayoeleweka. Ni picha tuu
Kwanza unajua huwezi kuthibitisha ya kuwa huo ni uzushi.

Pili, kuna mapito mengi ya kuelezea jambo hilo. Mimi nina tumia mapito mawili au matatu kuwa na msimamo huo. Mapito ninayotumia mimi ni haya yafuatayo :

1. Hoja za kiakili
2. Hoja za kihisia (Hawasi/Sense Organs)
3. Ufunuo
4. Hoja za kisayansi (Hizi nazipa nafasi ndogo)

Kama umefatilia kuna wakati nilikuwa navutana na mtoa mada, kuhusu uwezo wa Camera kuona mbali na kuhitimisha wazo hili. Hapa kuna maswali nilimhoji, unaweza ukarejea ukaona ukipenda.

Msimamo wangu ni huu :
1. Dunia haizunguki bali jua lina tembea katika njia zake.
2. Dunia ni duara ila kulingana na ukunwa wake tunaona iko tambarare kama tandiko au kama kitanda, hapa nina hoja nyingi sana.

Tatizo liko kwenu yaani kuhoji mambo hamjui au mna uwezo mdogo kulingana na maarifa machache mliyonayo kuhuhusu jambo hilo.

Kwahiyo tunaweza kuwa na msimamo mmoja ila mapito tofauti na hiki ndicho kilivyo, mimi sipatilizi sana mapicha picha sababu najua ukomo wa vifaa vinavyotumika katika suala na kuna mengi ya kuzua pia. Kwahiyo mimi nahoji sana kulingana na uhalisia.
 
Sawa Zurri.
 
Kwa nini unatudanganya kuhusu allegory of the cave kijana

Kwamba inahusiana na earth flatness

Sent using Jamii Forums mobile app
wapi nimesema allegory of the cave inahusiana na flat earth?itakuwa una stress mkubwa dhumuni la ku pointout hiyo allegory of the cave, ni juu ya elimu wanazopewa watu ili kuwaficha reality ilivyo na hivyo kuwa rahisi kwa watu fulani kuwa control kwenye nyanja zote mfano ni wewe unayetumia mawazo ya kukaririshwa(unachukua nafasi ya wale wawili wenye minyororo pangoni) kupingana na mtu ambaye amejaribu kufikiri nje ya box (huyu namueka nafasi ya yule ambaye mnyororo ulikatika akatoka nje kuona reality ilivyo),mbaya zaidi haupingi kwa facts 😆😆 .
huo mfano kwako ulikuwa mgumu mno kwa kuwa hau think nje ya box.
 
Darkweb kuna siri zote ambazo hapa wakikimbilia google wanakutana na masatellite,mara mars mara omoaomoa objects mara sijui galaxy aisee

Hata videos zipo darkweb tena za siri mno sema hapa huwezi weka na youtube hata upige magoti na usali mbele ya pc au simu huoni.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua watu wangekuwa wanatafakari haya kuyajua si kazi ngumu.
 
Mkuu na hapa ndipo nilipojua hoja yako 😂😂

Good good man

I believe in existence of God but not this taka taka you wrote mr

Mani big bang happened.. Read here down what am writing i will relate it with presence of God not this pompous ideas of ya

Of course proton sio stable na huwa tuna estimate hakf life yake kuwa zaidi ya 10exp32 years kuna mpumbavu atauliza tunapimaje
Hizi proton it is believed zilikua separated mwanzoni kabisa mwa universe almost 10exp-5 s baada ya big bang kuna sababu kubwa sana ya hizi sekunde tutakesha
Sekunde 10exp-35 baadae universe ili consist of quarks, leptons bila kusahau bosons in a space more than a millimeter across, kwa sasa dunia ime expand zaidi ya 15000 million light years na ina consist mostly of quarks, down quarks, photons, electrons na neutrinos

Sasa ufundi wa Mungu ni hapa

Haijulikani ni nani aliorder hizi particlez zote hizi

Na hapo ndipo Mungu anaingia fundi mwenyewe

Ila hizi porojo hapana aisee.. Sorry sana mkuu

Nmeogopa nisiongee uongo wa bwana hawks kuhusu negative energies

Ila kwa leo niishie... You do great work to our Creator ila kuwa mkweli kidogo tafadhali
So you believe this proper/amazing arrangement of the universe is the result of big bang explosion???..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom